Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?

Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?

Raisi anaruhusuwi kuwa na masafara wa watu wangapi heby tusaidie wewe unayejua mkuu maana wengine hatuna study mwisho wa msafara wa raisi ni kiwango kipi
Mfano kwa marekani 1st world country,na yenye ulinzi wa hali ya juu kabisa "The motorcade for the President of the United States comprises forty to fifty vehicles; in addition to the president, the motorcade may carry his or her spouse or children, members of the press, security, White House officials, and VIP guests."
 
Mama si kwa ubaya lakini msafara wako ni mrefu sana ukiwa katika Ziara unakua na magari takribani 110 mpaka 150 kwa wakati mmoja na sio gari la kawaida ni ndinga za maana!

Mama hebu fikiria hili , tunakopa pesa nyingi tufanyie maendeleo tujitahidi hat kubana matumizi yetu basi. Haimaanishi akaunti ikisoma basi ndio tuzifuje tu tusisahau ni za mkopo zile ......
 
Anakagua mradi wa mililni 200 anatumia msafara wa Bilioni tano😅😅
 
Mama si kwa ubaya lakini msafara wako ni mrefu sana ukiwa katika Ziara unakua na magari takribani 110 mpaka 150 kwa wakati mmoja na sio gari la kawaida ni ndinga za maana!

Mama hebu fikiria hili , tunakopa pesa nyingi tufanyie maendeleo tujitahidi hat kubana matumizi yetu basi. Haimaanishi akaunti ikisoma basi ndio tuzifuje tu tusisahau ni za mkopo zile ......
Ushauri wa kumpa ni kwenye ziara zake asafiri kwa ndege tu. Akitumia gari kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, msafara wake ni lazima utakuwa tu mrefu.

Hiyo ni tofauti na misafara ya kwenda na kurudi Airport. Misafara hii wamo na viongozi wa mikoa na hizo wilaya anazopita. Na baadhi ya wasaidizi wake wanaosafiri naye sehemu kadhaa.

Na bado walinzi wake, Rais wa nchi halindwi na watu 10 au 20, ni kundi kubwa. Maana ni afadhali gharama za kumlinda Rais kuliko gharama za kuunda upya serikali.

Ova
 
Ushauri wa kumpa ni kwenye ziara zake asafiri kwa ndege tu. Akitumia gari kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, msafara wake ni lazima utakuwa tu mrefu.
Mkuu Tabia ni kama ngozi hata Kwa Ndege anasafirigi na Dreamliner anajza chawa hadi 200😅😅

Kwenye safari ya Korea walienda na Gari?

Vipi safari ya kwenda kumpongeza Rais wa Malawai walienda na Gari?
 
Mkuu Tabia ni kama ngozi hata Kwa Ndege anasafirigi na Dreamliner anajza chawa hadi 200😅😅

Kwenye safari ya Korea walienda na Gari?

Vipi safari ya kwenda kumpongeza Rais wa Malawai walienda na Gari?
Kuna mahali hujaelewa hoja yangu, labda nijaribu kuelewesha kama nitaweza. Ni mara chache sana ziara ya Rais wa nchi kuwa na watu wachache.

Kutokana na ujumbe wa ziara hiyo, ndipo inaonekana awe na yupi na watu wangapi katika hiyo ziara. Lakini, bado Rais huwa na kundi kubwa la walinzi wake, hasa ikiwa atafanya mikutano ya hadhara.

Hapa nimemzungumzia Rais wa nchi yoyote. Usalama wa Rais wa nchi hutazamwa na gharama za kuunda upya serikali au kurudia uchaguzi wa Rais baada ya zahama.

Ova
 
Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa misafara ya raisi, ambayo mara nyingi inajumuisha idadi kubwa ya magari.

Hivi karibuni, suala hili limeibua hisia tofauti baada ya raia kuhesabu idadi ya magari kwenye msafara wa raisi unahusisha takribani magari 118.

Swali linalozuka ni je, hili ni uwajibikaji au matumizi mabaya ya rasilimali za umma?

Pia soma > Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe
Naunga mkono hoja Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!
P
 
Back
Top Bottom