Not_James_bond
Member
- Sep 10, 2023
- 32
- 81
- Thread starter
-
- #21
Mfano kwa marekani 1st world country,na yenye ulinzi wa hali ya juu kabisa "The motorcade for the President of the United States comprises forty to fifty vehicles; in addition to the president, the motorcade may carry his or her spouse or children, members of the press, security, White House officials, and VIP guests."Raisi anaruhusuwi kuwa na masafara wa watu wangapi heby tusaidie wewe unayejua mkuu maana wengine hatuna study mwisho wa msafara wa raisi ni kiwango kipi
Walipoenda UK mazishi ya Malkia African leaders waliwekwa kwa mabusπWakodishiwe kimbinyiko mbili wapande waache ubadhirifu
Anakagua mradi wa mililni 200 anatumia msafara wa Bilioni tanoπ πMama si kwa ubaya lakini msafara wako ni mrefu sana ukiwa katika Ziara unakua na magari takribani 110 mpaka 150 kwa wakati mmoja na sio gari la kawaida ni ndinga za maana!
Mama hebu fikiria hili , tunakopa pesa nyingi tufanyie maendeleo tujitahidi hat kubana matumizi yetu basi. Haimaanishi akaunti ikisoma basi ndio tuzifuje tu tusisahau ni za mkopo zile ......
Najiuliza ofisini kwake kuna wasomi graduate kabisa na wanamshauri ? Inashangaza sanaAnakagua mradi wa mililni 200 anatumia msafara wa Bilioni tanoπ π
Ushauri wa kumpa ni kwenye ziara zake asafiri kwa ndege tu. Akitumia gari kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, msafara wake ni lazima utakuwa tu mrefu.Mama si kwa ubaya lakini msafara wako ni mrefu sana ukiwa katika Ziara unakua na magari takribani 110 mpaka 150 kwa wakati mmoja na sio gari la kawaida ni ndinga za maana!
Mama hebu fikiria hili , tunakopa pesa nyingi tufanyie maendeleo tujitahidi hat kubana matumizi yetu basi. Haimaanishi akaunti ikisoma basi ndio tuzifuje tu tusisahau ni za mkopo zile ......
Mkuu Tabia ni kama ngozi hata Kwa Ndege anasafirigi na Dreamliner anajza chawa hadi 200π πUshauri wa kumpa ni kwenye ziara zake asafiri kwa ndege tu. Akitumia gari kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, msafara wake ni lazima utakuwa tu mrefu.
"Big man/woman syndrome". Mtajuaje mkuu kaja? Wanaamini bila matumizi hayo, wananchi hawataamini ni wakuuAnakagua mradi wa mililni 200 anatumia msafara wa Bilioni tanoπ π
Tuna hasara kama Nchi."Big man/woman syndrome". Mtajuaje mkuu kaja? Wanaamini bila matumizi hayo, wananchi hawataamini ni wakuu
Kuna mahali hujaelewa hoja yangu, labda nijaribu kuelewesha kama nitaweza. Ni mara chache sana ziara ya Rais wa nchi kuwa na watu wachache.Mkuu Tabia ni kama ngozi hata Kwa Ndege anasafirigi na Dreamliner anajza chawa hadi 200π π
Kwenye safari ya Korea walienda na Gari?
Vipi safari ya kwenda kumpongeza Rais wa Malawai walienda na Gari?
Naunga mkono hoja Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa misafara ya raisi, ambayo mara nyingi inajumuisha idadi kubwa ya magari.
Hivi karibuni, suala hili limeibua hisia tofauti baada ya raia kuhesabu idadi ya magari kwenye msafara wa raisi unahusisha takribani magari 118.
Swali linalozuka ni je, hili ni uwajibikaji au matumizi mabaya ya rasilimali za umma?
Pia soma > Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe