Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability?

Mkuu huyu Msigwa hata kile kitengo cha Idealogy and Publicity pale CCM hakiwezi na anapwaya vibaya mnoo. Nadhani CHADEMA alikuwa anapewa mentorship sasa kule CCM kila mtu yupo kivyake atapata tabu sana
 
Msigwa huko CCM ni kama zigo la mavi habebeki. Kumtukana Mbowe hakuisaidii chochote CCM.

Na aliwaaminisha ccm kwamba akiondoka CHADEMA.. Chama kitayumba maana ataondoka na FUSO la wanachama!!!
 
Pale ni dustbin yule ndugu, sio wote ila ngozi nyeusi tupo na laana nyingi na zingine za kujitakia tu
 
Kuhusu Msigwa ndani ya CCM, maoni yanaweza kutofautiana kulingana na mtazamo wa kisiasa wa mtu.

1. Assert (Faida):
Wanaweza kusema kwamba Msigwa ni faida kwa CCM kutokana na uzoefu wake, ujuzi wa kisiasa, na uwezo wa kuwasiliana na wapiga kura. Anaweza kusaidia katika kuimarisha chama na kujenga uhusiano mzuri na jamii.

2. Liability (Hasara):
Wengine wanaweza kuona kwamba Msigwa ni hasara kwa CCM, hasa kama anakuwa na mtazamo tofauti na sera za chama, au kama anashindwa kuendana na matarajio ya wapiga kura.
Pia, ikiwa kuna migongano ya ndani ya chama, anaweza kuonekana kama chanzo cha matatizo.

Kimsingi, inategemea jinsi watu wanavyoona mchango wake katika chama na kwenye siasa kwa ujumla.
 
Wafahamu watu watatu Tanzania wanaodaiwa BILLIONS kwa kosa la kuchafua watu bila ushahidi (Defamation)
1-Cyprian Musiba aliyakanyaga kwa Membe (2B)
2-Mwijaku Mwemba kwa Masoud Kipanya (5B)
3-Peter Msigwa kwa Mbowe,(5B)

Midomo iliponza kichwa 😂😂😂
 
Wafahamu watu watatu Tanzania wanaodaiwa BILLIONS kwa kosa la kuchafua watu bila ushahidi (Defamation)
1-Cyprian Musiba aliyakanyaga kwa Membe (2B)
2-Mwijaku Mwemba kwa Masoud Kipanya (5B)
3-Peter Msigwa kwa Mbowe,(5B)

Midomo iliponza kichwa 😂View attachment 3089783View attachment 3089783😂😂
 
Hivi bado hajapata ukuu wa wilaya ama wa mkoa kumbe yuko chini ya uangalizi? mimi nilidhani ukijiunga tu unapewa, I thought it is an easy go
 
Msigwa ni mwanaccm sasa, kama ni asset au liability wewe mwanachadema inakuhusu nini? Mambo ya ccm waachie ccm wenyewe wataamua kumtumia kadri wanavyoona inawafaa. Inaelekea Msigwa amewashika pabaya chadema
 
Ni liability minus asset😀
 
Kama vile ambavyo CCM kilivyokuwa "net loss" ndani ya taifa hili ndivyo hata ambavyo alvyokuwa "liability" mtu huyu ndani ya chama hiki.
 
Attachments

  • IMG_20240904_154630.jpg
    40.5 KB · Views: 1
Msigwa kaenda kuji boost ccm,atakuwa aliishiwa kabisa ujanja wa kuishi.
Ana bwabwaja haelewi tena anachosimamia.
Ni bonge la Liability
 
Hivi bado hajapata ukuu wa wilaya ama wa mkoa kumbe yuko chini ya uangalizi? mimi nilidhani ukiingia tu unapewa, I thought it is an easy go
Huwa wanaangalia wa Kuwapa..😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…