Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa naomba unitolee kamfano hapo ntashukuru, maana navurugwaNadhani wana panga bei ya hisa moja kisha wana divide by capital/stock.
Ingawaje thamani ya hisa itategemea demand and supply.
Demand ya hisa zako/zenu ikiwa juu that means thamani ya hisa lazima itapanda, vise versa is true.
Wataalamu watakuja kuelezea vizuri, mimi sina ufahamu mkubwa na haya mambo.
Mambo yenye tija kama haya sijui kwanini watu hawana mzuka nayo, hii ni Elimu nzuri na inaweza kumuongezea mtu maarifa.
Weka sasa bandiko kumuhusu Diamond au Harmonize au kuwahusu wanawake uone [emoji848]
Ungeanza wewe kuchangia mkuu badala yakuleta mipasho