sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Umeongea bro.Uzungu unawacost sana smile. Kuna style flani wanalazimisha waonekane ni premier wakati soko la sasa watu wanapenda ofa na bwerere....
Sales persons wao wanapitaga maofisini na wanatafuta managers wa kampuni na wahasibu na mabosi wengine. Wao wateja wanataka kuanzia level ya supervisor kwenda juu sio chini ya hapo.Umeongea bro.
Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua laini yao kwa elf 24 yani basi tu sikuwa na namna, siku hizi naskia wanauza elf 6, yani wanafanya biashara kwa kujiona wao ni premium flan hivi...
Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa, hao jamaa naona strategically walikuwa sifuri, maana mtandoa huu naskia ulianza huko nigeria saizi wana matawi congo, uganda na tz...Yani hapo uganda kupata kifurushi cha siku ni gb 4 na ni elf 10 ya huku.Sales persons wao wanapitaga maofisini na wanatafuta managers wa kampuni na wahasibu na mabosi wengine. Wao wateja wanataka kuanzia level ya supervisor kwenda juu sio chini ya hapo....
Uzungu unawacost sana smile. Kuna style flani wanalazimisha waonekane ni premier wakati soko la sasa watu wanapenda ofa na bwerere...
Nyie jamaa mnaona biashara ni mchezo mchezo tu?Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa, hao jamaa naona strategically walikuwa sifuri, maana mtandoa huu naskia ulianza huko nigeria saizi wana matawi congo, uganda na tz...Yani hapo uganda kupata kifurushi cha siku ni gb 4 na ni elf 10 ya huku...
Walichokitafuta wamekipata, walijua bongo kama mbele.Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa, hao jamaa naona strategically walikuwa sifuri, maana mtandoa huu naskia ulianza huko nigeria saizi wana matawi congo, uganda na tz...Yani hapo uganda kupata kifurushi cha siku ni gb 4 na ni elf 10 ya huku...
Umenena kweli.Nyie jamaa mnaona biashara ni mchezo mchezo tu?
-Vodacom part ya Vodafone kampuni papa Duniani lina MA asset mengi, matrilioni ya Hela, pato LA mwaka tu ni budget ya Nchi nzima ya miaka kadhaa...
umenena vizuri mkuuNyie jamaa mnaona biashara ni mchezo mchezo tu?
-Vodacom part ya Vodafone kampuni papa Duniani lina MA asset mengi, matrilioni ya Hela, pato LA mwaka tu ni budget ya Nchi nzima ya miaka kadhaa...
Nyie jamaa mnaona biashara ni mchezo mchezo tu?
-Vodacom part ya Vodafone kampuni papa Duniani lina MA asset mengi, matrilioni ya Hela, pato LA mwaka tu ni budget ya Nchi nzima ya miaka kadhaa....
better late than never, wangeanza mapema sana kubadili strategy kile kipindi na hata sasa tunavyoona biashara nyingi zinafungwaUmenena kweli.
Ila wangeamua kubadili market strategy yao wangefuata watu wa hali ya chini huku wawateke.... Mtandao ukiamua kudeal na coorperate tu haya ndio matokeo.
Hao jamaa msiwatetee huwezi uza Fast Moving Consumer Goods halafu ukabase tu kwenye corporate customers ukadharau mass market.umenena vizuri mkuu
kiukweli tangu mwaka 2016 kampuni nyingi na biashara kibao zimefungwa, mifano ni kama fast jet na hotel kubwa ambazo zilikuwa zinatumia smile.
ila ilibidi wabadili strategy kuliko kudeal na strategy ile ile ambayo imepata pigo kubwa kulingana na macro environment ya soko
Kwa minara ipi? Ili waweze kuhudumia mass market wa nahitaji kueneza minara nchi nzima,better late than never, wangeanza mapema sana kubadili strategy kile kipindi na hata sasa tunavyoona biashara nyingi zinafungwa
ila smile wana speed aisee, yani nikitumiaga facebook kwenye laptop yani inafunguka fasta sana kuzidi mtandao wowote hapa tz
Kuna kampuni ni b2b muda wote na zina nguvu sana, Japan wao makampuni Yao mengi yapo Hivyo yaliondoka consumer markets siku nyingi na yapo vizuri kupitia kiasi.Hao jamaa msiwatetee huwezi uza Fast Moving Consumer Goods halafu ukabase tu kwenye corporate customers ukadharau mass market.
Unajua kwanini baresa hafilisiki? Mass market inamlinda na itamlinda milele. Mass market ndio mpango mzima.
Rostam hayupo mass market? Acha kutuangusha mwamba.Kuna kampuni ni b2b muda wote na zina nguvu sana, Japan wao makampuni Yao mengi yapo Hivyo yaliondoka consumer markets siku nyingi na yapo vizuri kupitia kiasi....
Network coverage yao inafika nje mji kweli?Umeongea bro.
Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua laini yao kwa elf 24 yani basi tu sikuwa na namna, siku hizi naskia wanauza elf 6, yani wanafanya biashara kwa kujiona wao ni premium flan hivi wakati wenzao usajili ni buku tu...
Shida hao mapapa wezi wa data,voda kifurushi chao cha gb 10 kwa wiki kwa elfu 10 kinaisha ndani ya siku 2!Nyie jamaa mnaona biashara ni mchezo mchezo tu?
-Vodacom part ya Vodafone kampuni papa Duniani lina MA asset mengi, matrilioni ya Hela, pato LA mwaka tu ni budget ya Nchi nzima ya miaka kadhaa...