mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Forbes wenyewe waongo tu.Naijua mkuu ila ethics zinanibana siwezi sema mengi. Nikupe dodoso tu. Angalia net worth ya rostam ni trilioni ngapi jumla yote accordong to Forbes then utajua kuwa ukiigawanyisha kwenye investments zake zote utaona inakujaje angalau utakadiria.
R.Mengi aliulizwa khs taarifa za utajiri wake zilizoandikwa na Forbes akasema kama mwaka wangu wa kuzaliwa tu hawaujui/wamedanganya vipi kha ukweli khs Net worth yangu?
Forbes panawafaa wakina MO wanaopenda makelele kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app