No. Siyo kila mkuu wa nchi ana wekwa na Mungu. If that was the case tusinge kua tuna ongelea tunayo ongelea leo na dunia hii ingekua paradiso. But God helps those who help themselves so maybe it's an indication that we have failed to help our saves find good leaders.
Zitto Kabwe.
Hana lolote huyuNdio nani huyo shibuda?????????????????????
Hana lolote huyu
Rafiki wangu ,lakini bado muda wake, one daya he will be. Hawezi mikimiki ya uraisi kwa sasa mpeni muda
Viongozi wazuri wasipokua na wasaidizi wazuri ni bure tu, sasa hivi TZ tubadilike ,tuwe wazalendo na wasomi waache ubinafsi na ulimbikizaji wa mali ambazo hauna maana sana. Lakini Kiwkwete ndie raisi kwa kipindi kinachokuja kama mungu ataendelea kumpa uhai
Msijisumbue, wala msiwape watu uhodari eti wa kutabiri. Raisi ni mmoja tu, Mtoto wa mjini Dar, Meja, Raisi JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Swali au hoja ya msingi ni Unayependelea kuwa Raisi. Kardinali Pengo na wafuasi wake wa kanisa wangependelea Spika Sitta. Lakini ndio kama unavyojua yuko mbioni kungolewa na kumalizwa kisiasa kama Mrema.
One day he will be or one day he might be? Ulivyo sema wewe ni kama vile imesha andikwa kwenye nyota kuwa Zitto Kabwe ata kuja kuwa raisi mkuu.
Huenda alitaka kuonyesha utabiri wake mkuu.
Lakini wewe unamuonaje Zitto?
Is he the ideal?
Wanajamii,
Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.
Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.
Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika
atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.
Mgombea yoyote atakayesimamishwa na CCM ni lazima tume imtangaze mshindi. Kwa sababu tume ya uchaguzi si huru na inafanya kazi kutokana na maagizo ya CCM.
.