Jamani hatuitaji kufikiria mno juu ya jambo hili maana Afrika imeshaonyesha jinsi demokrasia yake inavyokunjwa. "Kivuitu" pale NEC akishaona mambo yanamuelemea mpangaji wa Ikulu atamtangaza mshindi na kuapisha mara moja. Mfano: Kenya, Zimbabwe, Gabon, Niger na Zanzibar. Nchi tofauti barani Afrika ni Ghana na Botswana.