Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Wanajamii,

Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.

Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.

Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika

atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?

Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.
Hamna cha kuzani, kupendelea wala kutabiri hapa!!! Uhakika ni kwamba Jakaya ndo presdaa ajae!!! hali ya kisiasa ya africa sio volatile kiasi cha kuweka shaka hata mara moja!
 
Natakusema siasa za Tanzania bado zinafuata mfumo wa Uongozi wa Wazee kwanza (gerontocracy
n, pl -cies [F gerontocratie, fr. geronto- geront- + -cratie -cracy] (1830): rule by elders; specif: a form of social organization in which a group of old men or a council of elders dominates or exercisescontrol -- ge.ron.to.crat n -- ge.ron.to.crat.ic adj)Basi fahamu hivi wazee bado hawabadilisha uongozi, bila shaka rais ni yule yule.
 
kama mimi leo ningepewa chance ya kuteua WATANZANIA wanne(4) ili kuwania kiti cha uraisi october 2010...bila kujali itikadi zao.. These are my choice.

A.JOHN POMBE MAGUFULI

B.DR.WILBROAD SLAA

C.MZEE MWANAKIJIJI

D.ZITO KABWE

Sina haja ya kutoa sababu kila jina linajieleza na mchango wao kwa jamii?...je wewe ungepewa hiyo nafasi ungemteua nani kugombea hii nafasi nyeti Kwa Taifa.....au waonaje mapendekezo ya hayo majina hapo juu?
 
Kwa demokrasia tulioikubali... its J.MKikwete!!!! hadi watnzania tutakapofunguka na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu na yatakayolisaidia taifa
 
kama zito na mwankijiji nao wameingia kwenye mawazo yako, basi nadhani hata maana ya urais huijui
 
Zitto alidai kuwa aliingia kwenye siasa accidentally, remove him from the list, pls!
 
labda ungetueleza ni vigezo gani zaidi umechukua kutoa mapendekezo yako,maana swala la uongozi wa ngazi ya Juu siyo tu mchango katika jamii.ni lazima tuangalie kwa undani zaidi kwani vigezo vyinavyoonekana kwa nje vinaweza kutupoteza sana.
 
hakuna hata mmoja hapo anaweza, but Magufuli anafaa kuwa kilanja mkuu - prime minister
 
kama mimi leo ningepewa chance ya kuteua WATANZANIA wanne(4) ili kuwania kiti cha uraisi october 2010...bila kujali itikadi zao.. These are my choice.

A.JOHN POMBE MAGUFULI

B.DR.WILBROAD SLAA

C.MZEE MWANAKIJIJI

D.ZITO KABWE

Sina haja ya kutoa sababu kila jina linajieleza na mchango wao kwa jamii?...je wewe ungepewa hiyo nafasi ungemteua nani kugombea hii nafasi nyeti Kwa Taifa.....au waonaje mapendekezo ya hayo majina hapo juu?

You must be joking inavyoonekana hujui hata maana ya urais kumbe hata mimi nikiwa natoa thread nyingi kwa siku kuna siku utanipendekeza ha ha haaa.
 
Kwa demokrasia tulioikubali... its J.MKikwete!!!! hadi watnzania tutakapofunguka na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu na yatakayolisaidia taifa

Kwa kuwa swali linauliza ni nani anayefaa. Basi katika jibu lako Jina tu uliloweka linatosha. Ina maana JK anafaa au vipi.
 
Tatizo sio rais, ni system.

Kila rais wa tanzania analinda system iliyowekwa na nyerere!

Wala rushwa bado wako CCM na ni NEC members. What do you think? Chukua chako mapema, who cares!
 
Raia Wa Tanzania, mwenye miaka zaidi ya 35, ana akili timamu, hajawahi kushtakiwa kwa uhalifu, na anayependekezwa na chama cha siasa.

Katiba inasemaje, rais asiwe chini ya umri wa miaka 40 kwa wazo lako labda pendekeza kwanza katiba ibadilishwe.
 
Back
Top Bottom