Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna cha kuzani, kupendelea wala kutabiri hapa!!! Uhakika ni kwamba Jakaya ndo presdaa ajae!!! hali ya kisiasa ya africa sio volatile kiasi cha kuweka shaka hata mara moja!Wanajamii,
Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.
Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.
Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika
atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.
kama mimi leo ningepewa chance ya kuteua WATANZANIA wanne(4) ili kuwania kiti cha uraisi october 2010...bila kujali itikadi zao.. These are my choice.
A.JOHN POMBE MAGUFULI
B.DR.WILBROAD SLAA
C.MZEE MWANAKIJIJI
D.ZITO KABWE
Sina haja ya kutoa sababu kila jina linajieleza na mchango wao kwa jamii?...je wewe ungepewa hiyo nafasi ungemteua nani kugombea hii nafasi nyeti Kwa Taifa.....au waonaje mapendekezo ya hayo majina hapo juu?
Kwa nafasi ya urais ni kuanzia Miaka 40.Raia Wa Tanzania, mwenye miaka zaidi ya 35, ana akili timamu, hajawahi kushtakiwa kwa uhalifu, na anayependekezwa na chama cha siasa.
Kwa demokrasia tulioikubali... its J.MKikwete!!!! hadi watnzania tutakapofunguka na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi magumu na yatakayolisaidia taifa
Raia Wa Tanzania, mwenye miaka zaidi ya 35, ana akili timamu, hajawahi kushtakiwa kwa uhalifu, na anayependekezwa na chama cha siasa.