Endeleeni na mazungumzo ya kijiweni maadam NEC ama hii inayoitwa tume ya uchaguzi ni CCM vipi wapinzani wanaweza kushinda??
Ikiwa wasomi wenyewe wanazungumza utumbo basi ni CCM mpaka kiayama. zungumzieeni tume ya uchaguzi isiwe ya CCM kwanza halafu ndio mgombea.
Ningependa Nchi Iongozwe hivi....
Rais mwanamke anaweza kuwa: Anna Tibaijuka tu kwa kuwa ndani ya CCM wanawake wengine ni niwakolezaji wa mapambio tu! Makamu wa Rais Salim Ahamed Salim. Spika wa Bunge: Samwel SittaWaziri mkuu Dr Wilbroad Slaa Waziri wa Mambo ya Nje Bwana Mdogo Zitto Kabwe. Waziri wa Fedha Dr. Cyril Chami Waziri wa Utawala Bora Anna Kilango Waziri wa Miundombinu John Pombe Magufuli Biashara Seif Khatib Waziri wa Sheria: Harisson Mwakyembe Mwanasheria Mkuu Tundu Lissu Waziri wa Ndani Selelii Mambo ya Muungano: Hussein Mwinyi Wizara ya Uchumi: Prof. Ibrahim Lipumba Tawala za Mikoa: Aggrey Mwanri Wizara ya Katiba Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi jina silikumbuki lakini ana mawazo mazuri juu ya katiba Wizara ya Michezo Jakaya Mrisho Kikwete. Utalii.... Elimu ya Juu....
Ningependa Nchi Iongozwe hivi....
Rais mwanamke anaweza kuwa: Anna Tibaijuka tu kwa kuwa ndani ya CCM wanawake wengine ni niwakolezaji wa mapambio tu! Makamu wa Rais Salim Ahamed Salim. Spika wa Bunge: Samwel SittaWaziri mkuu Dr Wilbroad Slaa Waziri wa Mambo ya Nje Bwana Mdogo Zitto Kabwe. Waziri wa Fedha Dr. Cyril Chami Waziri wa Utawala Bora Anna Kilango Waziri wa Miundombinu John Pombe Magufuli Biashara Seif Khatib[/B] Waziri wa Sheria: Harisson Mwakyembe Mwanasheria Mkuu Tundu Lissu Waziri wa Ndani Selelii Mambo ya Muungano: Hussein Mwinyi Wizara ya Uchumi: Prof. Ibrahim Lipumba Tawala za Mikoa: Aggrey Mwanri Wizara ya Katiba Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi jina silikumbuki lakini ana mawazo mazuri juu ya katiba Wizara ya Michezo Jakaya Mrisho Kikwete. Utalii.... Elimu ya Juu....
People let us be serious CCM hawawezi kubadilika, Rais ni nafasi ya Dr. Slaa sasa kwa ajili ya kusafisha na kuziba mianya ya ufisadi mkubwa. Baada ya hapo tunaweza kuchagua Rais mchumi ili ajenge uchumi wa nchi. Kwasasa lazima tuondoe ufisadi kwanza na CCM hawawezi kuondoa hata upinzani si wote wenye nia na uwezo wa kupambana na ufisadi. Dr. Slaa for president.
Naona kuna tatiz la wishful thinking na kutoangalia reality ya nchi yetu kwa sasa. Being in JF na kujua mengi mabaya ya CCM hayapelekei CCM kukosa kura!
CCM na JK wao watashika nchi tena hii haina ubishi, unless watanzania hawa hawa ninaowajua watabadilika, na hii lazima external force should be applied,
bado jamani
Jibu ni obvious. JK Mrisho