Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .


Mbalamwezi, basi kama ni hivyo mimi naona wananchi wasiji-involve moja kwa moja kumchagua rais tuwe kama Marekani, wananchi wachague wabunge kama wawakilishi wao bungeni, bunge kama mwakilishi wa wananchi lipendekeze majina matatu na kuyapigia kura angalau moja kutoka chama tawala na jingine toka upinzani, atakayepata kura nyingi ndiye awe rais mshindi wa pili awe makamu wa rais, hii si tu itasaidia kupunguza gharama za uchaguzi pia italifanya bunge kuwa na nguvu kwenye utendaji wa rais.

Kazi itakatakiwa kwa vyama vyote kuhakikisha kinapata wabunge wengi ili kiweze kutoa rais na hata makamu wake.
 

Kweli mkuu?
 
Atatoka CHADEMA.
 
Ehe,
Mawazo makubwa haya.
 
jakaya mrisho kikwete. If history and status quo is anything to go by then he will be president for a second term.

Irrespectve of his first term poor rating as a President and compromised health status?Wadanganyika tuamke ama sivyo iko siku tutatawaliwa na misukule!!
 
Profesa Mwesiga Baregu. Huyu hayuko ktk chama cha mafisadi na ndiye atakayeshughulikia ufisadi na unyonge wa Wananchi kwa vile chama chake kina sera zinazoeleweka na zinazolenga kutekeleza hayo.

MWESIGA BAREGU FOR PRESIDENT 2010!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JK ataendelea lakini naomba a pull up his socks, awe serious na kwendesha nchi sio kurukaruka hapa na pale na kuchekacheka tu.Asahau urafiki ashugulikie wahalifu,achaguwe viongozi wenye uwezo wa kuongoza siyo marafiki tu.
 
sina mengi ila watanzania mnamfahamu vizuri rais wa zanzibar mh. karume
jinsi alivyoleta amani zanzibar je tujiulize anafaa kuwa rais wa tz mwaka 2010?
 
sina mengi ila watanzania mnamfahamu vizuri rais wa zanzibar mh. karume
jinsi alivyoleta amani zanzibar je tujiulize anafaa kuwa rais wa tz mwaka 2010?

Una mengi sana wewe acha uongo....breaking news?

Unafaa uingizwe kule kwenye ignore list
 
Watu wengine bwana kwa kutafuta umaarufu wa ghafla? Acha ujinga
 
This aint breaking news ni hoja mchanganyiko/jukwaa la siasa. change title yako fasta
 
Godwine Jamhuri ya tanzania ndio ipi hiyo??au kuna Nchi mpya inaitwa Jamhuri ya Tanzania.Tupe ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…