Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Madela Wa Madilu.

Mwadilifu, siyo Fisadi.
Ni haki yangu ya kikatiba
Nina agenda kabambe juu ya kubadili mwelekeo wa kiuchumi.
Kipaumbele Umeme, Maji, Viwanda,barbara,Kilimo.

Naahidi kuwabana Mafisadi wote.
Madela-wa-Madilu, chama chako kinaitwaje mkuu, na sera zako ni zipi tafadhali. Mi Dr. Slaa, siwezi kuusemea moyo wake lakini kama kweli anayoongea yanatoka moyoni mwake na uchungu unaouonyesha kwa wananchi wa Tanzania ni wa kweli kama vile alivyosema mishahara ya wabunge ipunguzwe kwa ajili yetu cc huu ni uzalendo tosha, sasa tatizo linakuja kwamba sijui tukimpa na yeye anaweza kuwa wale wale. Tumuombe Mungu Dr. anayoyasema awe anayamaanisha na kama amaanishi Mwenyezi Mungu aibadili nia yake aweze kumaanisha.
 
Ninajua kama mjuavyo kwamba watanzania wanataka mabadiliko kwa shauku kubwa. Lakini ninyi ni mashahidi kuwa watanzania wengi ukiwepo wewe mwenzangu hamko tayari kushiri kuleta mabadiliko yanayotakiwa. Mathalan kila mmoja wetu anayetaka na anayeona umuhimu wa mabadiliko kwa Tanzania ya sasa akianza kuomba kura mbili mbili kwa ajili ya Dr. Slaa kila siku kuanzia leo ni hakika kuwa atashinda kwa zaidi ya 80%.
 
utab adilishaje ilo when u planing to have 3 different governments and we both knw we dnt av enough funds?
 
mabadiliko ndio yatakuepo ila?wat mabadiliko?positive o negative maana we are living in a positive tanzania nd if u think we need change then am getting the picture we are looking for the negative tanzania:confused2:
 
u knw they say always ur conscious tells u the truth na kama wewe umekuwa na doubts abt our dr then sidhani anatufaaa.siwewe peke maana namimi nimefikiria kama anaweza kuzi abandon KAZI ZA MUNGU bwana asifiwe.itakuaje kwa nchi yake?
:confused2:
 
being a great thinkers means more than intelligency/beyond normal charisma " Slaa is the right prez da wa TZ
 
nchi inaendeshwa kwa misaada ya wahisani wakati tuna uwezo wakujitegemea...................pesa zinaishia mikononi mwa wachache YAANI MAFISADI...NATAKA RAIS ANAYECHUKIA RUSHWA NA UFISADI NA ASIYEKUWA TAYARI KUWALINDA MARAFIKI ZAKE KAMA WOSIA WA BABA WA TAIFA USEMAVYO hivyo kura yangu na ndugu zangu kwa DR.SLAA
CHADEMA JUUUUUUUU..........JUU SANAAAAAA
 
Kwa kuwa mara nyingi Watanzania huwa hatuko makini na mambo muhimu inatulazimu tutumie zaidi ya miaka mitano kufikiria jina la rais anayetufaa kuongoza nchi.....wakati ttukiendelea kuwaza tumwachie kwanza Kikwete amalizie anachodhani amekibakiza then by that time tutakuwa tumempata mwenye uwezo wa kuongoza nchi hii; tusingelipenda kufanya majaribio kwenye post nyeti kama hii.

Unajua Dalili za mvua ni mawingu, na uwezo wa uongozi huanza katika familia then kwenye chama hatimae taifa. Sasa hizo SILAHA nyumbani zimekwishawalipukia watoto, kwenye chama zimeuzwa kwa bei rahisi marikiti; zinakwenda sasa zinafyatuka tu(hazina control) halafu tuzipeleke Ikulu...anyway tusingelipenda Somalia ya pili........uongozi na jazba no.............kama tumekosa mtu basi tumpe mama Maria Nyerere atawale nchi kwa jina la mmewe tutadumu japo mwezi baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.
 
Kwa kuwa mara nyingi Watanzania huwa hatuko makini na mambo muhimu inatulazimu tutumie zaidi ya miaka mitano kufikiria jina la rais anayetufaa kuongoza nchi.....wakati ttukiendelea kuwaza tumwachie kwanza Kikwete amalizie anachodhani amekibakiza then by that time tutakuwa tumempata mwenye uwezo wa kuongoza nchi hii; tusingelipenda kufanya majaribio kwenye post nyeti kama hii.

Unajua Dalili za mvua ni mawingu, na uwezo wa uongozi huanza katika familia then kwenye chama hatimae taifa. Sasa hizo SILAHA nyumbani zimekwishawalipukia watoto, kwenye chama zimeuzwa kwa bei rahisi marikiti; zinakwenda sasa zinafyatuka tu(hazina control) halafu tuzipeleke Ikulu...anyway tusingelipenda Somalia ya pili........uongozi na jazba no.............kama tumekosa mtu basi tumpe mama Maria Nyerere atawale nchi kwa jina la mmewe tutadumu japo mwezi baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.

Kwa mawazo kama haya basi TAIFA linahitaji zaidi ya maombi kuweza kuwabadilisha hawa, unajua kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa maskini anapodumaa kiakili basi HUONA ule umaskini wake ndio destiny yake na hata kama utajaribu kumbadilisha vipi hatobadilika maana kwake yeye Umaskini ndio maisha. Sasa huyu Msafiri ndio aina hii ya watu, anafikiri kwa urefu wa pua, kisha danganyika na propaganda za kuwa Tanzania tulivu Bila CCM haipo. Maana ni maskini huyu wa akili ameisha dumaa hawezi fikiria zaidi ya alichoandika hapa.
 
Kufaa kuongoza Tanzania ya watu masikini ni lazima ujikane nafsini mwako ili uwafuate maskini walio wengi. Ila shida kubwa ambayo tunayo ni kuwa watanzania tumekuwa tukirejea makosa ya zamani na kuona kuwa "kiongozi ni safi ni yule ambaye anakubalika na wengi" pasipo kuzingatia vigezo (kuna wale ambao wamewahi kukubalika kwa kuwa waliowapendekeza nao wanakubalika - A.H. Mwinyi na B.W.Mkapa, hawa walipendekezwa na CCM kwa nguvu za Hayati baba wa Taifa - JK Nyerere ambaye kwa ujumla analikuwa akikubalika na anaendelea kukubalina milele. Wapo wale ambao wanakubalika kwa kuwa mwonekano wa sura, na bashasha zao zinakubalika na walio wengi huyu ndie JM Kikwete ambae japo alishindwa kupitishwa na Mwalimu enzi zile lakini kwa mvuto na mashuko yake kwa walio wengie (hasa akina mama) aliweza kuingia Ikulu 2005 na kuwa bwaga wakongwe.)

Sina hakika pia hata kwa hawa viongozi wa upinzani wengi wanapimwa kwa vigezo gani thabiti na imara zaidi ya mvuto binafsi.!!! Sina hakika leo iwapo CUF, NCCR. CHADEMA nk vinauwezo wa kuuunda Serikali thabiti itakayofanya watanzania walio wengi wakwamuke katika matatizo ya miaka zaidi ya 40 yaliyoletwa na CCM. Labda tungeangalia pia muundo wa Serikali utakavyokuwa ikiwa CCM inatashindwa uchaguzi na chama chochote cha upinzani kuchukua nchi. ...Je, wapo hao wanaofaa kuongoza Serikali toka kwa wapinzani au ndo blaha blaha zitaendelea???.
 
Naamini kila mtazania anayeulizwa kwa sasa atakwambia au atakubaliana kuwa:
-Dr.Slaa ndiye chaguo mwafaka
-Dr.Slaa ndiye chaguo la watu mwafaka
-Dr.Slaa ndiye chaguo la matatizo mwafaka
-Dr.Slaa ndiye chaguo la kizazi hiki mwafaka
-Dr.Slaa ndiye chaguo la wakati huu mwafaka
-Dr.Slaa ndiye tiketi mwafaka ya kuelekea maendeleo ya kweli
-Dr.Slaa ndiye engine mwafaka ya kututoa kutoka hapa tulipo
-Dr.Slaa ndiye chaguo la wendi kwa sasa ukiachia mbali ushabiki wa kisiasa
-Dr.Slaa ndiye chaguo la dini zote
-Dr.Slaa ndiye chaguo la makabila yote

=====tuseme nini basi====tumepewa rais na mungu tumchague====
 
^^ hizo ni requirements ambazo mtu anatakiwa ameet wakati wa uchaguzi, lakini kama ni hivyo, basi na mie nafaa kuwa rais wenu wazee, nianzishieni mipango ya kuwa rais !
Uroho wa madaraka huo
 
Mtanzania,miaka 35 na kuendelea,kwani kila mtanzania anayo haki ya kuchagua kiongozi au kuchaguliwa
 
View Poll Results: Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

Voters 1618. You have already voted on this poll This poll will close on 31st October 2010 at 01:06 PM

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)


    223 13.78%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)


    1,316 81.33%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)


    59 3.65%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)


    4 0.25%
  • Mutamwega Mutahywa (TLP)


    16 0.99%
Ingekuwa JF inasomwa na asimilia 50% tu ya watanzania wote basi Dr Slaa angepita kiurahisi sana. Lakini kwa kuwa watanzania wengi hawapiti humu inabidi juhudi za ziada zifanyike kushinda.

Just thinking aloud!
 
Mmejiandikisha kupiga kura kwa wale watanzania wenzangu wanaotoa maoni?? Au ndo mambo ya domo kaya kama enzi zile za 1995 ambapo Mh Mrema alikuwa anabebwa na vijana kumbe hawajajiandikisha!!. Kazi kweli kweli!!. Bad leaders are selected by good citizens who does not vote!!!
 
Hello

Hii ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa JF, Sina hakika kama hii hoja ni current au mimi ndio sio current, kama ni current naomba isitishwe, nguvu za Mawazo zielekezwe kwenye mchakato wa kumpata Rais unaoendelea. By the way, hakuna Mwanamke hata mmoja kwenye kiny'ang'anyiro.
 
its soo hard to make a decision since, SOO FAR i dont trust and speaking for all tanzanian we dont Trust any of the candidates, they seem smart and have a goal untill they win, then the only thing that matters is their POCKETS. we need completly New faces and people with good intentions. it Sucks to see something you LOVE go down like that. Tanzania
 
Hello

Hii ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa JF, Sina hakika kama hii hoja ni current au mimi ndio sio current, kama ni current naomba isitishwe, nguvu za Mawazo zielekezwe kwenye mchakato wa kumpata Rais unaoendelea. By the way, hakuna Mwanamke hata mmoja kwenye kiny'ang'anyiro.

Hoja ipi?
 
Back
Top Bottom