Safina
JF-Expert Member
- Jun 18, 2009
- 497
- 64
Madela-wa-Madilu, chama chako kinaitwaje mkuu, na sera zako ni zipi tafadhali. Mi Dr. Slaa, siwezi kuusemea moyo wake lakini kama kweli anayoongea yanatoka moyoni mwake na uchungu unaouonyesha kwa wananchi wa Tanzania ni wa kweli kama vile alivyosema mishahara ya wabunge ipunguzwe kwa ajili yetu cc huu ni uzalendo tosha, sasa tatizo linakuja kwamba sijui tukimpa na yeye anaweza kuwa wale wale. Tumuombe Mungu Dr. anayoyasema awe anayamaanisha na kama amaanishi Mwenyezi Mungu aibadili nia yake aweze kumaanisha.Madela Wa Madilu.
Mwadilifu, siyo Fisadi.
Ni haki yangu ya kikatiba
Nina agenda kabambe juu ya kubadili mwelekeo wa kiuchumi.
Kipaumbele Umeme, Maji, Viwanda,barbara,Kilimo.
Naahidi kuwabana Mafisadi wote.