aalfu sio watanzania ni wanawake/wasichana mnavipicha vichafu kule...come to think about this...Obama ametumia hiyo facebook forhis campaign na imemsaidia sana tuu...facebook kuna watu wanatumia kwa matumizi mabaya lakini ni network nzuri sana....hata Rush Limburgh ana faceboom,myspace,twitter you name it....sema sisi watanzania tunaitumia kwa matumizi mabaya ya kuchafuana...
Ninasoma anachoandika ila nakuuliza unachokubaliana naye ni kitu gani...watu ku-network?
aalfu sio watanzania ni wanawake/wasichana mnavipicha vichafu kule...
umenisoma?
Now you are talking! Hillary is a tough cookie.....
Hakuna mwanamke anaweza kuongoza Tanzania....hakuna huyo Anna Makinda mbunge miaka zaidi ya 25 kafanya nini jimboni kwake
Anna Makinda hivi mume wake ni nani vile.....!
Now you are talking! Hillary is a tough cookie.....
Anna Makinda hivi mume wake ni nani vile.....!
alafu shostito kely01 anamlinganisha na anna makinda.....utani huo...HC halinganishwi na mwanamke yoyote Tanzania...
Heheheheheeee....huko mi siko sasa
HC tunajua mume wake ni Bill sasa huyu Anna Makinda....jamani tusaidiane hapa!! sitanii
Hicho ndio kinacho wa let down wanawake na mtakuwa chini ya wanaume daima!No waaaay!...hakuna msichana mwenye vipivha vichafu ...you two mnajudge wanawake vibaya sana....kuna wanaume wanavipicha kule wamevaa boxer hamsemi...
Itakusaidia nini ukishajua?
tofauti ni hakuna mapicha hapa yanayoweza kubanduliwa na kupelekwa let's say sehemu kama zeutamu....halafu niko hapa for the intellectual value of the topics discussed....sasa huko facebook na myspace watu wanachofanya ni kubandika mapicha yao na watu ku-hook up and that' why they are called social networking sites.
Umeshaulizwa itakusaidia nini...didn't you get the hint?
Ndo mambo ya networking hayo,hata kazi siku hizi hupatikana kwa njia hiyo,in the current world without networking ni kama hau exist....Watu hawakutani na kujuana physically kama old times...Hata ma graduate wanaambiwa networking ndiyo the way to go.
Hicho ndio kinacho wa let down wanawake na mtakuwa chini ya wanaume daima!
nilimshangaa sana Womaninsubstanc aliposhadadia site ya utamu na hakujiuliza zile picha chafu za wenzie iweje waziweke online?
....anyway....nipe sifa za kiongozi shupavu mwanamke zitakazonishawishi mie nimpigie kura
I can smell something.....haya hii ni hint kabisa
Hkauna hint and you dont need to smell anything....ni fact tuu.
najua sana adv za social net hizo..lakn nyie wadada mmeharibu maana.....katoeni picha zenu za nusu utupuWell said Jmushi!....tell them huyo NGWANINYAMI NA yo YO...WAO WANADHANI NI kutongozana tuu kuna a lot of things can be done on networking....
Ndo mambo ya networking hayo,hata kazi siku hizi hupatikana kwa njia hiyo,in the current world without networking ni kama hau exist....Watu hawakutani na kujuana physically kama old times...Hata ma graduate wanaambiwa networking ndiyo the way to go.