Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
come to think about this...Obama ametumia hiyo facebook forhis campaign na imemsaidia sana tuu...facebook kuna watu wanatumia kwa matumizi mabaya lakini ni network nzuri sana....hata Rush Limburgh ana faceboom,myspace,twitter you name it....sema sisi watanzania tunaitumia kwa matumizi mabaya ya kuchafuana...
aalfu sio watanzania ni wanawake/wasichana mnavipicha vichafu kule...
Ninasoma anachoandika ila nakuuliza unachokubaliana naye ni kitu gani...watu ku-network?

umenisoma?
 
aalfu sio watanzania ni wanawake/wasichana mnavipicha vichafu kule...

umenisoma?

No waaaay!...hakuna msichana mwenye vipivha vichafu ...you two mnajudge wanawake vibaya sana....kuna wanaume wanavipicha kule wamevaa boxer hamsemi...
 
Hakuna mwanamke anaweza kuongoza Tanzania....hakuna huyo Anna Makinda mbunge miaka zaidi ya 25 kafanya nini jimboni kwake

Anna Makinda hivi mume wake ni nani vile.....!
 
Now you are talking! Hillary is a tough cookie.....

ndiyo maana akashindwa hakutumia njia kama hizi....she only target watu wazima wakati vijana wengi wana network na njioa rahisi ya kuwapata huko.....you go wherever they are kama unataka kushinda.....siyo kila mtu anaangalia tv.....watu wengi washinda online..🙂
 
Anna Makinda hivi mume wake ni nani vile.....!

Itakusaidia nini ukishajua?

alafu shostito kely01 anamlinganisha na anna makinda.....utani huo...HC halinganishwi na mwanamke yoyote Tanzania...

hiyo ni dharau...kuwa hakuna mwanamke storng Tanzania...au kwa sababu ni mke wa bill clinton?...wakos trong women tanzania ila tuu hamtaki kuwa acknowledge them
 
No waaaay!...hakuna msichana mwenye vipivha vichafu ...you two mnajudge wanawake vibaya sana....kuna wanaume wanavipicha kule wamevaa boxer hamsemi...
Hicho ndio kinacho wa let down wanawake na mtakuwa chini ya wanaume daima!

nilimshangaa sana Womaninsubstanc aliposhadadia site ya utamu na hakujiuliza zile picha chafu za wenzie iweje waziweke online?

....anyway....nipe sifa za kiongozi shupavu mwanamke zitakazonishawishi mie nimpigie kura
 
tofauti ni hakuna mapicha hapa yanayoweza kubanduliwa na kupelekwa let's say sehemu kama zeutamu....halafu niko hapa for the intellectual value of the topics discussed....sasa huko facebook na myspace watu wanachofanya ni kubandika mapicha yao na watu ku-hook up and that' why they are called social networking sites.

Ndo mambo ya networking hayo,hata kazi siku hizi hupatikana kwa njia hiyo,in the current world without networking ni kama hau exist....Watu hawakutani na kujuana physically kama old times...Hata ma graduate wanaambiwa networking ndiyo the way to go.
 
Well said Jmushi!....tell them huyo NGWANINYAMI NA yo YO...WAO WANADHANI NI kutongozana tuu kuna a lot of things can be done on networking....
 
Hicho ndio kinacho wa let down wanawake na mtakuwa chini ya wanaume daima!

nilimshangaa sana Womaninsubstanc aliposhadadia site ya utamu na hakujiuliza zile picha chafu za wenzie iweje waziweke online?

....anyway....nipe sifa za kiongozi shupavu mwanamke zitakazonishawishi mie nimpigie kura

let me do my research on that alafu i will get back to you na sifa za kiongoz wa kike shupavu Tanzania....tena role model kwa watu wote...

I can smell something.....haya hii ni hint kabisa

Hkauna hint and you dont need to smell anything....ni fact tuu.
 
Wakuu!

JK bado ana nafasi kubwa 2010 atapita bila tatizo! Anayepinga hili amtafute🙂
 
Last edited:
Well said Jmushi!....tell them huyo NGWANINYAMI NA yo YO...WAO WANADHANI NI kutongozana tuu kuna a lot of things can be done on networking....
najua sana adv za social net hizo..lakn nyie wadada mmeharibu maana.....katoeni picha zenu za nusu utupu
 
Ndo mambo ya networking hayo,hata kazi siku hizi hupatikana kwa njia hiyo,in the current world without networking ni kama hau exist....Watu hawakutani na kujuana physically kama old times...Hata ma graduate wanaambiwa networking ndiyo the way to go.

Kazi gani za maana zinapatikana facebook wewe? Labda ma stripper....na ma model na mambo mengine ya burudani...
 
Back
Top Bottom