Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
aalfu sio watanzania ni wanawake/wasichana mnavipicha vichafu kule...come to think about this...Obama ametumia hiyo facebook forhis campaign na imemsaidia sana tuu...facebook kuna watu wanatumia kwa matumizi mabaya lakini ni network nzuri sana....hata Rush Limburgh ana faceboom,myspace,twitter you name it....sema sisi watanzania tunaitumia kwa matumizi mabaya ya kuchafuana...
Ninasoma anachoandika ila nakuuliza unachokubaliana naye ni kitu gani...watu ku-network?
umenisoma?