Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Ebwna hapo umelenga jamaa ana haki ya kuchukua nchi hii kwa kweli tumechoka
 
napendekeza anayeongoza awe wa kwanza kwenye orodha, wa pili na mpaka wa mwisho
 
napendekeza anayeongoza awe wa kwanza kwenye orodha, wa pili na mpaka wa mwisho

Anayeongoza kivipi? Unamaanisha mwenye kura nyingi? Maana anayeongoza nchi ni Kikwete na hivyo ndiye aliye wa Kwanza katika orodha! Tafadhari fafanua unataka kifanyike nini? (tutamwomba Moderator afanye kulingana na matakwa ya wachangiaji).
 
Namaanisha mwenye kura nyingi
 
Namaanisha mwenye kura nyingi
Hofu yangu ni kwamba idadi ya kura inabadilika wakati wowote. Kwa hiyo si ajabu tukamweka mwenye kura nyingi wa kwanza halafu baada ya muda nafasi yake ikachukuliwa na mtu mwingine, tukatakiwa kubadilisha tena. Lakini kama hilo linawezekana (kubadilisha kila baada ya muda fulani) basi moderators watusaidie.
 
Ninadhani Dr Wilbroad Slaa anaweza hii kazi ya kuongoza nchi kwa sababu zifuatazo:
  1. Ni mtanzania
  2. Ni msemakweli
  3. Ni msomi wa Shahada ya uzamivu yaani PhD ya kweli Darasani.
  4. Ni mchapa kazi kweli bungeni na jimboni.
  5. Anajua kwanini nchi ya Tanzania ni maskini na umaskini wake unakujaje.
  6. Ni jasiri hana woga wowote
  7. Siyo rahisi kudanganyika kama inavyoonekana kwa mukulu wakaai
  8. Ni mtu wa kufundisha elimu ya jamii na maslahi ya nchi kutekwa na soko huria.
  9. Anaweza kuwakilisha hotuba yake kwa ufasaha zaidi.
  10. Ana hasira na umaskini wa mtanzania.
  11. Anayajua matatizo ya wafanyakazi wa Tanzania na suluhisho lao liko mikononi mwake.\\TUTAMUONESHA KWA KUPIGA KURA YA NDIO KWA "DR SLAA"
Nawakilisha kwa nia moja tuu NDIO KWA DR SLAA.Inawezekana.
GO GO GO GO "DR SLAA"
 
Ni Dr Slaa
Sababu
1. NI Mzalendo wa kweli
2.Anapenda Watanzania
3.Anajali Maskini
4.Mtetezi wa wanyonge
5. Anasifa kadhaa za Mwalimu
6.Anachukia Ufisadi
7. Hapendi uonevu
8.Anapenda Maendeleo ya Mtanzania
9. Ana Hofu ya Mungu
10. Si mbaguzi
11. Mzalendo wa kweli
12. Anaitakia Mema Nchi yetu
13. Hajajilimbikizia
14. Ni kiongozi wa kweli
15. Bila yeye tusingejua mafisadi
16. Hana woga
17. Kajitoa kutuokoa na wanyonyaji
18. Tukiwa naye nchi itafika mbali
19. Habagui rangi
20 Si mkabila wala mdini!
 
Ni Dr Slaa
Sababu
1. NI Mzalendo wa kweli
2.Anapenda Watanzania
3.Anajali Maskini
4.Mtetezi wa wanyonge
5. Anasifa kadhaa za Mwalimu
6.Anachukia Ufisadi
7. Hapendi uonevu
8.Anapenda Maendeleo ya Mtanzania
9. Ana Hofu ya Mungu
10. Si mbaguzi
11. Mzalendo wa kweli
12. Anaitakia Mema Nchi yetu
13. Hajajilimbikizia
14. Ni kiongozi wa kweli
15. Bila yeye tusingejua mafisadi
16. Hana woga
17. Kajitoa kutuokoa na wanyonyaji
18. Tukiwa naye nchi itafika mbali
19. Habagui rangi
20 Si mkabila wala mdini!

21. Ana mke mmoja: "maana yake ni mkweli"
 
Ni Dr Slaa
Sababu
1. NI Mzalendo wa kweli kwa vitendo
2.Anawapenda Watanzania angalia mfano wa Karatu
3.Anajali Maskini
4.Mtetezi wa wanyonge
5. Anasifa kadhaa za Mwalimu
6.Anachukia Ufisadi
7. Hapendi uonevu
8.Anapenda Maendeleo ya Mtanzania
9. Ana Hofu ya Mungu
10. Si mbaguzi
11. Mzalendo wa kweli
12. Anaitakia Mema Nchi yetu
13. Hajajilimbikizia
14. Ni kiongozi wa kweli
15. Bila yeye tusingejua mafisadi
16. Hana woga
17. Kajitoa kutuokoa na wanyonyaji
18. Tukiwa naye nchi itafika mbali
19. Habagui rangi
20 Si mkabila wala mdini!
 
Hofu yangu ni kwamba idadi ya kura inabadilika wakati wowote. Kwa hiyo si ajabu tukamweka mwenye kura nyingi wa kwanza halafu baada ya muda nafasi yake ikachukuliwa na mtu mwingine, tukatakiwa kubadilisha tena. Lakini kama hilo linawezekana (kubadilisha kila baada ya muda fulani) basi moderators watusaidie.

sijui ni program gani inatumika hapo, inaweza wekwa ambayo itakuwa ina update automatically, kama votes zimefungana then majina yao alphabetically
 
Wote waliosema Dr Silaa nakubaliana nao ila nchi haiongozi na mtu mmoja. Je ana timu ya kumsaidia kuongoza kuanzia Makamu wake, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya? Hapa namaanisha vile vyeo vya kisiasa.
 
Kikwete alisema anawajua wala rushwa,wauza madawa ya kulevya,wezi wa EPA waliorudisha fedha(???) na wale wahujumu wa Bandarini lakini kashindwa kuwataja wala kuchukua hatua ilihali yeye tumempa mamlaka yote kikatiba ili ailinde nchi hii na mali zake. Slaa ni mzalendo wa kweli maana pamoja na kuwa hana mamlaka ya kuwafanya lolote Mafisadi lakini kawataja hadharani bila woga au kuumauma maneno ingawa anajua hatari inayomkabili kupambana na watu wa aina hiyo. Huyu akipewa mamlaka ya kuongoza nchi mafisadi,wezi wa mali za umma nk, itabidi wakajichimbie makaburi wajizike wenyewe. Slaa ndio Rais anayefaa kwa wakati huu tulionao.
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge utakaofanyika October mwaka huu tuna wagombea wengi ambao hadi hivi sasa wameshajitokeza kuwania nafasi ya urais wa nchi. Nafikiri tujaribu kuangalia ni nani atafaa kuwa Rais wa Tanzania kati ya hawa wengi waliojitokeza na kwanini tunafikiri atatufaa. Ni rukhusa kuandika sifa zote ambazo tunazitaka kwa Rais wetu na kuelezea ni nani anazo na nani hana. Ukiweka na sababu kwanini anazo au hana, itapendeza zaidi.
Karibuni tuchangie na tupige kura.

Waliojitangaza hadi sasa ni
Jakaya Kikwete
Wilbroad Slaa
Ibrahimu Lipumba
Mutamwega Mugahywa na
Rungwe
Kama kuna anayemiss mnaweza kuongeza

Mbona jina hili limimeandikwa kwa kifupi?
Mengine yote yapo full name!!
 
Kikwete alisema anawajua wala rushwa,wauza madawa ya kulevya,wezi wa EPA waliorudisha fedha(???) na wale wahujumu wa Bandarini lakini kashindwa kuwataja wala kuchukua hatua ilihali yeye tumempa mamlaka yote kikatiba ili ailinde nchi hii na mali zake. Slaa ni mzalendo wa kweli maana pamoja na kuwa hana mamlaka ya kuwafanya lolote Mafisadi lakini kawataja hadharani bila woga au kuumauma maneno ingawa anajua hatari inayomkabili kupambana na watu wa aina hiyo. Huyu akipewa mamlaka ya kuongoza nchi mafisadi,wezi wa mali za umma nk, itabidi wakajichimbie makaburi wajizike wenyewe. Slaa ndio Rais anayefaa kwa wakati huu tulionao.

saaaaana tu
 
Mbona jina hili limimeandikwa kwa kifupi?
Mengine yote yapo full name!!
Sorry, nafikiri kulikuwa na makosa ya kiuandishi. Please mods tusaidieni kuliweka sawa hilo jina kama inawezekana.
 
sijui ni program gani inatumika hapo, inaweza wekwa ambayo itakuwa ina update automatically, kama votes zimefungana then majina yao alphabetically
Kwa kweli sijui kama hii program inaweza kufanya hivyo. Lakini kwa ajili ya objectivity pia si vibaya ibaki hivyo ilivyo, asije mtu akawa influenced na nani anaongoza kwa kura.
 
Wote waliosema Dr Silaa nakubaliana nao ila nchi haiongozi na mtu mmoja. Je ana timu ya kumsaidia kuongoza kuanzia Makamu wake, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya? Hapa namaanisha vile vyeo vya kisiasa.

Nchi hii ina wananchi takriban milioni arobaini na wasomi wenye uwezo wa kufanya kazi hizo na nyinginezo kwa ufanisi zaidi ni wengi sana nchini kwa sasa. Hizo nafasi za kisiasa hazifiki elfu moja kwa hiyo usiwe na shaka atapata tu wachapa kazi.
 
Kikwete alisema anawajua wala rushwa,wauza madawa ya kulevya,wezi wa EPA waliorudisha fedha(???) na wale wahujumu wa Bandarini lakini kashindwa kuwataja wala kuchukua hatua ilihali yeye tumempa mamlaka yote kikatiba ili ailinde nchi hii na mali zake. Slaa ni mzalendo wa kweli maana pamoja na kuwa hana mamlaka ya kuwafanya lolote Mafisadi lakini kawataja hadharani bila woga au kuumauma maneno ingawa anajua hatari inayomkabili kupambana na watu wa aina hiyo. Huyu akipewa mamlaka ya kuongoza nchi mafisadi,wezi wa mali za umma nk, itabidi wakajichimbie makaburi wajizike wenyewe. Slaa ndio Rais anayefaa kwa wakati huu tulionao.

Alisema pia kuwa amewapa muda majambazi wajirekebishe kwani atawashughulikia. Mpaka sasa majambazi wanapeta tu na kuua watu wanavyotaka.
 
Enyi Watanzania mlio kata tamaa ya maisha ninani aliyewaroga na kuwadanyanya ya kuwa CCM itawatawala milele ? Amkeni mpeni Dk. Slaa urais huo ndio uamuzi sahihi na wakati wenyewe ni Oktoba 2010.
 
Back
Top Bottom