Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Wadau,

Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:

Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya kuiongoza Tanzania? Wachangiaji wanaweza kupendekeza majina MATATU.

Itakuwa vyema kama wachangiaji watatoa sababu zinazowafanya watoe mapendekezo hayo?

Nawasilisha hoja:

UPDATE:

Majina Matatu (makubwa) Yaliyopendekezwa:

  1. Jakaya Kikwete - CCM
  2. Willibrod Slaa - CHADEMA
  3. Ibrahim Lipumba - CUF

Hii poll member hawezi kupiga kura mara mbili lakini non-member anaweza, my worry non members wanaweza kuchafua matokeo kwani naona za JK zinaongezeka kwa kasi sana possibly wana-CCM na UWT wanapiaga kura mara mia mia. Je control kwa non member ikoje? IP address, domain name?
 
Hiyo 15% aliyopata Kikwete naona ni haki yake. Anaweza kupata hata 20%. Ni kiongozi mbaya, lakini wako wengi (kama 20%) ambao hawajagundua hilo bado.

Naamini kama gazeti la UHURU lingekuwa na uthubutu wa kuanzisha oponion poll, basi JK angepata kama 20%, na Slaa 75%
 
Nachukua fursa hii kuwaeleza watanzania wenzangu anayefaa kuwa Rais 2010 , huyo si mwingine bali ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Ametekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM KWA VITENDO. Hivyo apewe nafasi ya kukamilisha mema aliyoanza na kulisukuma mbele gurudumu la mendeleo .

Yes we can tumpe wote kura za ndio tarehe 31 Oktoba 2010
 
Kuna propaganda au ushawishi unafanywa kumnyanyua nyanyua Jakaya. Siku chache tu zilizopita alikuwa chini ya aslimia kumi. Ghafla ameanza kupanda kwa kasi ya ajabu na kifisadi na kufikisha asilimia 15.

Nadhani lile gazeti la mwanahalisi la wiki hii limewashtua mafisadi, wakaanza kubofya kwenye mitandao ili kusave face. aaaah wapi?!
 
Nachukua fursa hii kuwaeleza watanzania wenzangu anayefaa kuwa Rais 2010 , huyo si mwingine bali ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Ametekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM KWA VITENDO. Hivyo apewe nafasi ya kukamilisha mema aliyoanza na kulisukuma mbele gurudumu la mendeleo .

Yes we can tumpe wote kura za ndio tarehe 31 Oktoba 2010

Siku Moja Utayakumbuka mananeo Yako.
 
Pili, jumla ya kura pendekeza ya wagombea wote sio ya uhakika. Mpigakura anaweza kupigakura yake ya maoni leo asubuhi, akapiga kura tena mchana, akapiga kura tena jioni, akaendelea kupiga kura kesho, juma lijalo na mwezi ujao hadi hapo kufunga kwa kura hizo eti za maoni, kama anatumia kumputa tofauti! Hili nimelihakiki mimi mwenyewe!

Kunradhini:

Ukweli ni kama huo aliosema Mwanawayu!
 
Pengine tunajaribu kubahatisha kama kweli tutaithibitishia dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia ya kweli.
Lakini itawezewezekana vipi wakati CCM kwa kuwa madarakani muda mrefu wamejichukulia madaraka ya kuamini na kuwatisha wananchi na kuwatia woga kuwa jeshi, polisi, mahakama na hata Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni mali yao na wanaweza kuitumia katika kulazimisha matokeo hata kama wananchi wengi watawakataa. Nina wasi wasi kama Tume ya Uchaguzi isiyo kuwa huru, ambayo imeteuliwa na Rais ambaye pia anagombea kurudi Ikulu itakuwa na ujasiri wa kuthubutu kutangaza kuwa mgombea wa chama cha upinzani ameshinda. Itakuwa kama Kenya mwaka 1997 na matokeo yake ilikuwa ni vifo vya wananchi wasio na hatia. Hivyo hatima ya nchi hii iko mikononi mwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
La muhimu ni kwamba Watanzania tuamke na tufanye maamuzi October,31, 2010 na kama nguvu za dola zitatumika kama CCM ilivyozoea kwa kujifanya kuwa vyombo hivi ni mali yao ya kuwalinda ktk kuendeleza ufisadi wao ulioifilisi nchi basi hapo wananchi hawana budi kuamua kama ilivyofanyika, Indonesia, Yogoslavia n.k. ambapo njia mbadala ilitumika kupata demokrasia ya kweli.
Kwani mafisadi ambao ni wachache sana ambao ndio wanaoiyumbisha nchi, wasifikiri kuwa hili wimbi la kutaka mabadiliko litakoma ila litazidi kupamba moto siku hadi siku, kwa sababu kizazi kipya kinazaliwa kila siku na ndicho kinachotaka kuona mageuzi ya kweli kwa kuwaletea maendeleo na si uchumi wa nchi unahodhiwa na wachache na wengine hawana hata uzalendo na uchungu na nchi kwani hata hawawekezi hapa ila London. canada, Ulaya na uarabuni. Watu kama huyu mhindi Rostam ndio wanaowafanya Watanzania wanateseka ktk nchi yao. Watanzania tuamke wakati ni sasa tumchague Doctor wa kweli kweli Slaa na si Doctor wa kupewa offer kama ya kinywaji. Aliye na uchungu na nchi, na matatizo ya wananchi, mwenye ujasiri wa kuthubutu kupambana na maovu yaliyokithiri ktk nchi yetu.
Tunataka Rais ajaye asitangulize mbele urafiki ktk utawala wa nchi, apambane na kutokomeza kabisa ufisadi na rushwa. Kwa nini isiwezekane?. Kwani nchi hii hatuna wazalendo kama marehemu Sokoine? . Na mtu wa aina ya Kagame je? ambaye hata amethubutu kuwatoa mhanga marafiki zake wa karibu ili nchi isonge mbele. Kulindana ndiko kumemmaliza Kikwete asitafute mchawi. hatutaki utawala wa kifalme nchi hii. Akitoka baba, anaingia mtoto, akitoka anaingia mjukuu. Hii ni nchi yetu sote twapaswa kwa pamoja kufaidi matunda ya uhuru.
Je mmeonaje Ridhiwan anavyoandaliwa kwa ajili ya Ikulu baada ya baba?. jibu unalo fanya kweli watanzania hatuna cha kupoteza ila nguvu zetu za maamuzi ya kweli. Change , we can believe in. Miaka 50 inatosha na katika historia ya Siasa hakuna chama kilichokuwa imara na mawazo mapya baada ya kutawala kwa muda huo, ila kuporomoka kwa kasi kwani tayari wanakuwa wameshajiandalia kundi la wateule wachache kwa kuiba tu na si kuwatumikia wananchi. Ni kwa nini Tanzania tusiwe na Rais ambaye atajitolea mhanga kwa ajili ya wananchi hata kama ikibidi afe maskini?. Kipengele katika katiba yetu cha kumhudumia yeye ma familia yake yote hadi anaenda kaburini kwa nini isitoshe na badala yake anashirikiana na mafisadi kutuibia?.Na kututia ktk umaskini uliokithiri?. Jibu ni moja tu, hatudanganyiki tena, CCM basi. Inatosha, kwaheri.
 
Mbaya zaidi hao hao vyombo vya dola wanawalinda hao waovu wa CCM huku wao na familia zao wakilala kwenye nyumba za mabati kuanzia chini hadi paa. Jiulize na joto hili la Dar. Mishahara yao ndo usiseme. Nani kawaroga hawa kiasi kwamba unamalinda mtu asiyekujali, mwenye kujijali yeye tu na familia yake na rafiki zake wachache? Vyombo vya dola amkeni mseme hapa kwa Kikwete na CCM yake.
 
I am not good in statistics. However, there is a theory out there that states that when the sample taken in the poll is about 1024, the poll should be very close to certainity. So far the number of people who have participated in this poll is well above 1024, and the candidate who has accumulated the most votes here is not going to win. Therefore my conclusion is this; this board is heavily biased and does not reflect the will of Tanzanian people.
Why do you put Dr. Slaa at the helm of this poll when you know for sure that the guy can't even win a single district with a convincing margin? Do not get me wrong. But it is quite clear that the participation of opposition parties in presidential elections warrants nothing. This is because the imitation of democracy in Tanzania has not helped the country. So the best way is to stop pretending and try to fix the real problem.
This election is not for Tanzanians people, you know better that. As a matter of fact democracy in Tanzania was design as a showcase for donor countries because they wanted to channel foreign handouts (foreign aid) though elected officials. In the past democracy was not the precursor of foreign aid. Rich countries gave aid to anybody who was willing to advance their interests. They gave aid to Mobutu, Banda, Idd Amin, Bokassa and dictators. They financially backed up dysfunctional policies such as Ujamaa in Tanzania and Humanism in Zambia. They spent billions of money in five decades, but the African continent is still poor.
Surprisingly, about 10 years ago, it came to their sensors that Africans need good governance, freedom to choose and trade, and above all democracy in order to get out of the abyss of social and economic backwardness. Nonetheless, they have continued to repeat the same mistakes. They want Africans to imitate their form of democracy which is based on fighting for ideologies. However, in Tanzania stakes are not delineated by ideological orientation. For example, in Tanzania, it true that there is a small group of intelligentsia who understand very well the theories of capitalism and socialism. However, their experiences are limited to class room attendance or observation of other cultures. They cannot point out a simple example from their own culture or work environment.
In politics you cannot apply theories upon imaginary scenarios. Our political pluralism is false because stakes that define Western political and social spectrum do not exist or are not matured enough.
For example, today CCM pretend to be the gatekeeper of socialism ideas in Tanzania. But how could you follow socialism when the best thing you know is to beg for foreign aid.
Now back to the topic. I can attest that Dr. Slaa or for that matter Pr. Lipumba are presidential Materials. Nonetheless, the outcomes of presidential elections and other type of elections in Tanzania are not decided on the substance of the candidates. Rather it is the loopholes and our own deficiencies which elect the president, the president of SMZ, MPs and perhaps your lazy diwani. We know these loopholes and deficiencies, but why don't we rectify them before we vote?
For example, Simba or Yanga supporters will not consciously offer their opponents competitive advantages. They would rather boycott a match than face bragging right humiliations. Therefore, I don’t see a point for this poll and this election when we clearly know that CCM has created favorable environment to win.
 
We need a Tanzanian who has a vision of where he want Tanzania to be in five years to come
One with intergrity,honest ,bold and truthfull.Asiye na mitandao ya ajabu ajabu na makundi ya aina ya watu.Anayesimamia haki,mwenye kupata apate na mwenye kukosa akose.Mwenye kauli moja ndio au hapana.Ndio yake ni ndio na hapana yake ni hapana,asiwe mbabaishaji,anayetoa ahadi bila ya kuzitekeleza.Mwenye kumcha Mungu asiyemtumaini mwanadamu bali Mungu.
 
Binafsi naona zile sifa alizotoa Mwl. J. K. Nyerere pale Kilimanjaro Hotel (sasa Hotel Kempenski) na katika sherehe za Mei Mosi kule kwenye Uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya zinatosha. Yaani kuna mambo ya msingi ambayo huyo Rais lazima akubali kutekeleza, awe MJAMAA au BEPARI. Mengine yapo katika hotuba zake nyingine pale RTD (sasa TBC). Ebu zirusheni hewani tuzisikie! Ingawa najua Tido Mhando hawezi kuruhusu!
 
Tanzanians don't stop to amaze me. 15 years is a very long period time and I don't see the reasons why the choice for your current president should be inline with what Nyerere said. You know exactly what Kikwete promised 5 years ago and you know exactly what he has failed to deliver. So try to make your judgements based on what you have experienced so far.
 
awe mwadilifu na upendo kwa watanzania na rasilimali zake.
apate uchungu anapoona watu wake wakilalamikia hali ngumu kimaisha.
sio kuwa shujaa wa kutoa ahadi zisizotekelezeka huku mtanzania akipata mlo mmoja kwa siku ama kwa siku mbili
 
Back
Top Bottom