jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Mangi na wewe bana....
Kwi kwi kwi...Do you believe Miafrika ndivyo tulivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangi na wewe bana....
Kwi kwi kwi...Do you believe Miafrika ndivyo tulivyo?
Mangi acha vimitego vyako vya kitoto bana....we unadhani mi shorwe bwenzi wa kunitegeshea ulimbo usionata....Miafrika inakujaje hapa? We unam-miss Ngabu wewe....
Fuatilia mjadala utaona kuwa mapendekezo ni rais mwanamke na kina mama kadhaa walishatajwa kama kina Anna Killango, Mama,Kelly,Makinda na Sophia Simba,fuatilia mjadala taratibu ndugu yangu na utaelewa tu,mara nyingi mijadala haiendi tunavyotaka lakini ukifuatilia na kuchangia then mjadala eventually utakuwa constructive,only if you carefully read and participate accordingly.
Fuatilia mjadala utaona kuwa mapendekezo ni rais mwanamke na kina mama kadhaa walishatajwa kama kina Anna Killango, Mama,Kelly,Makinda na Sophia Simba,fuatilia mjadala taratibu ndugu yangu na utaelewa tu,mara nyingi mijadala haiendi tunavyotaka lakini ukifuatilia na kuchangia then mjadala eventually utakuwa constructive,only if you carefully read and participate accordingly.
On a serious note,what about Dk Slaa? Ama imani ishatutoka kabisa baada ya Dowans? Binafsi sioni kama Slaa alikuwa na kosa lolote lile na the man is more than qualified to be a president.
Jmushi i think ili wanawake waweze kuingia kwenyeuchaguzi wa raisi Tanzania inabidi wawape nao at least opportunity...tatizo ni kwamba kwenye nchi yetu culture, taboo, traditions, attitudes and beliefs zimetawala sana kiasi kwamba they make us women to look down upon ourselfves and especially during elections without supprting us.
ooh well back to your question...if a woman choosen kugombania kiti cha uraisi this is what i would like her to change...
- to have a president who is ready to listen and relate to people insted of dominate with powerfull.
-a president who is ready to work not for his own action but to fight for those who are being discriminted to get jobs (especially women)
-A president who is ready for change and progress on economy(our economy is unbalanced),security for our country,education (kila siku watu wanagoma why)etc...politics in tanzania has been gumed up with money and all kind of curruptions so we need a president who will engaged in working together with her people and his cabinet badala ya kusafiri kila siku alafu cha maana hatukioni (decision making).
-And also bring our country together...and we need new kind of politics na siyo same politics ambayo bado tunayo since utawala wa nyerere.
-
Uuuuuuwiiiiii...Yesu na Maria! Ki-ghosti Kelly...wewe jikite tu kwenye mambo ya entertainment na u-miss. Haya ya siasa is not your forte!
YAh sure, DR. Silaa ni mwanamke sasa, na anafit ...... na wewe fuatilia mada, maybe i am too slow to catch up with you guys
Uuuuuuwiiiiii...Yesu na Maria! Ki-ghosti Kelly...wewe jikite tu kwenye mambo ya entertainment na u-miss. Haya ya siasa is not your forte!
Ng'waninyami,
Unless you are joking to Kelly, but i think she is alright! She might not know the complexity of politics, but she is political on her own right. Give her respect, mind you she started this thread.
Mimi nadhani ni wakati muafaka akijitokeza mwanamke hii 2010 kugombea hicho kiti cha raisi, it doesnt matter anatokea chama gani.Wako smart women kwenye Tanzanian politics wengi tuu ambao wana qualify.Mfano akina Anna Makinda (very smart and strong woman) na wala siyo FISADI.
Heading inasema "Sasa nani anafaa 2010?" Halafu kuna wakao suggest kuwa lets try a woman president,tukajadili na majina kadhaa yakatajwa,ndio maana nikasema fuatilia.
Based on nani anafaa kama heading inavyosema,hatuna limit ya gender,so nikapendekeza Slaa,anything wrong?
Ninachojua ni kwamba Kikwete hafai kabisa kurudishwa madarakani kutokana na udhaifu mkubwa aliounyesha katika awamu yake ya kwanza. Labda Mwandosya, Mwakyembe n.k. lakini kamwe siyo Kikwete. Itakuwa ni ufisadi kwa yeyote atayemfanyia Kikwete kampeni ili arudi madarakani. Siyo siri kwamba uongozi umemshinda na Watanzania tunahitaji kiongozi mpya na juhudi za kumtafuta kiongozi huyo mapema labda zitazaa matunda.
Mbavu zangu wajameni,ama kweli duniani wawili wawili.