Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya ugonjwa huu wa Hydrocephalus maarufu kama Kichwa Kikubwa.
Picha kwa hisani ya New Jersey Pediatric Neuroscience Institute.
Naomba kuuliza je ni kweli ugonjwa wa Hydrocephalus, mtoto anaweza kurithi kupitia wazazi wake?
Naomba kuuliza je ni kweli ugonjwa wa Hydrocephalus, mtoto anaweza kurithi kupitia wazazi wake?