Je, mtoto wako angekuwa na umri gani endapo ungepata mimba wakati ukishiriki ngono kwa mara ya kwaza?

unaweza kuwa mweusi na ukatoa rang tofaut vile vile,ukweli ni kwamba wanawake weng wanaweka avatar ya picha zinazoendana nao
Wee hizi avatar bwana hata zisikuchanganye kama mimi naweka yoyote tu itakayonivutia. Hiyo avatar hapo hata hatufanani, mimi npo na rangi kama Flavi Matata na nywele nakata kama yeye .
 
Mkuu una uhakika gani ukimwoa huyo mwanamke utaweza kumfanya ilhali hujawahi kufanya maishani mwako?
 
Kwa umri huo ukipiga bao anatoka mtoto kabisa sio mbegu. Maana zishakomaa mpaka kuwa kiumbe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila wanaume wa jf mna visebengooo, swali waulizwe wanawake mjibu nyie[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Au ndio nyie baada ya muda mnakuja na id mpya kujitanabaisha[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Tukiwaachia mada nyie wanawake bc uzi ungebaki page ya kwanza na comments ungekuta ziko 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…