Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi siwezi aisee, lazma nikupe hai usipo itika kama umesimama mahali au umekaa lazma nikurudie nikuambie kama kuna tatizo mbona salam yangu hujaitikia, wengi sana wananiomba radhi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe siwezi kumsikiliza mtu aliyenipita Bila kunisalimu.
Labda anisalimie kwanza japo mwanzo alinipita.
Nikiwa njiani nina siku na siku,
Siku nikiwa na mood nzuri basi ntasalimia watu wote,nikiwa sina mood nzuri napita kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoHaya mambo ya mood hua ni ya kujiendekeza/ujinga ujinga tu,yaani kuna siku una mood ya kutosalimia watu?
dodge
kweli we smart guyNikimsalimu mtu hasipoitika naendelea na mishe zangu kama kawa..sitaki kuumiza kichwa eti kwanini hajaitika au vipi.
Wapo wengine una make eye contact kwa ajili ya kutake his/her attention lakini bado anauchunaMy/our principal..
First make eye contact then greetings
Hawezi kuacha kuitikia.
Mpe tusi kaliiiiii la moyoniKuna mtu nimemsalimia ofisini akaniangalia tu akanyamaza,,, simsalimii tena,, akinianza ntaitikia sauti kama sitaki,, Sipendi ujinga
Sababu lazima itakuwepo sasa.Wapo wengine una make eye contact kwa ajili ya kutake his/her attention lakini bado anauchuna
Distributed Denial-of-Service
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uhamiaji!!!!! unaomba go a head ya Passport! uwahi Shule!