Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Bravo
Nasema qumamacoWasalamu wakuu.
Kuna baadhi ya watu hawanaga tabia ya kuitika salamu za wengine kutokana na sababu/tabia wanazojua wao.
Ikitokea umemsalimu mtu na ukahisi amesikia Ila hajaitika chini chini huwa unasema nini?
Mimi huwa nasema;
1/ Akiipata tena akafanye sherehe
2/ Kafie mbele
3/ Endelea kujiona wa special
4/ Utaiskilizia kwenye radio next time
5/ .....
6/ .....
View attachment 1327144
Distributed Denial-of-Service
[emoji23][emoji23][emoji23]Siyo lazima mtu aitike kwa sauti, hivyo nikijua huyu huwa anaitika kimoyo moyo, next time namsalimia kimoyomoyo pia.
Yaani kukonda kumehusiaje?[emoji23][emoji23][emoji23]kuna ka rafiki kangu kAmekondaa huwa kakisalimia mademu wasipoitika kanawatukana[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namsalimia tena na tenaWasalamu wakuu.
Kuna baadhi ya watu hawanaga tabia ya kuitika salamu za wengine kutokana na sababu/tabia wanazojua wao.
Ikitokea umemsalimu mtu na ukahisi amesikia Ila hajaitika chini chini huwa unasema nini?
Mimi huwa nasema;
1/ Akiipata tena akafanye sherehe
2/ Kafie mbele
3/ Endelea kujiona wa special
4/ Utaiskilizia kwenye radio next time
5/ .....
6/ .....
View attachment 1327144
Distributed Denial-of-Service
Unaweza kujikwaa mbele ukakosa msaada
Acha huo uswahili boyMimi nikiwa road nasalimia mmoja mmoja nahakikisha hanipiti mtu bila kumsalimia hadi madogo hadi watoto wadogo nawapa hai nasepa zangu...
Ukinipita bila kunipa hai then umefika mbele ukapata tatizo au unataka kuulizia mahali halafu umenipita bila kunipa hai au salamu, aisee nakupa sheet halafu sikusaidiiiiiiiiii...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta wa kuku support kwenye kutukana ?Ila unamsindikiza na tusi la kimoyo moyo
Distributed Denial-of-Service
In short heshima huna ila una pretend maana heshima haina rika. Ukishaanza kubagua vijana na wazee au watu wazima ujue kuna shida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kijana mwenzangu nikahangaike namna hiyo Mimi?
Kwanza huwa naangalia hata mtu wa kumsalimia ..nikiona huyu Mambo mengi, napita kimya.
Wale wakubwa kwa kweli huwa nawaheshimu Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
High maturity level[emoji23][emoji23] Mimi siwezi aisee, lazma nikupe hai usipo itika kama umesimama mahali au umekaa lazma nikurudie nikuambie kama kuna tatizo mbona salam yangu hujaitikia, wengi sana wananiomba radhi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujakomaa kihisiaKuna mtu nimemsalimia ofisini akaniangalia tu akanyamaza,,, simsalimii tena,, akinianza ntaitikia sauti kama sitaki,, Sipendi ujinga
Mwambie huo ni utoto. Aachekuna ka rafiki kangu kAmekondaa huwa kakisalimia mademu wasipoitika kanawatukana[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili uonekane una heshima
Umesoma comments zangu za mwanzo au umejisikia kuidandia hii na kuropoka?Ili uonekane una heshima
In short heshima huna ila una pretend maana heshima haina rika. Ukishaanza kubagua vijana na wazee au watu wazima ujue kuna shida.