Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,
sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,