#COVID19 Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

Gwajima pastor fake anajifanya anajua sana ila ni hovyo sana, hataki chanjo ila anakubali utafiti wa wazungu, katoa haya maneno kwenye new Vaccine inaitwa Booster vaccine. Sasa kama anakubali kuwa Booster vaccine ndio kwa watu wenye immunocompromised individuals, yaani wenye kisukari, HIV, Cancer, Hepatitis B etc, yaani chanjo ya sasa hv in madhara kwa hawa watu wenye kinga ndogo sana, hivyo Booster vaccine inakuja kwa ajili yao..

Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,

watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,

mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,

sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Unamsikiliza Gwajima?
 
Mimi ninachojua ni kuwa ukichanjwa kulingana na ulivyoumbwa huwa kuna kupata maumivu na kuumwa hadi unakuwa taabani lakini baadae hali ya kawaida inarudi nimesikia wenye kisukari wakichajwa huumwa sana na huchukua muda mrefu hadi kurudi kwenye hali zao za kawaida, lakinipia nimeona jamaa wenye ukimwi wakiwa wamechanja na hawajapata madhara yoyote hadi sasa.
 
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,

watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,

mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,

sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Wenye underlying conditions na wazee ndio walengwa wakuu wa hizo chanjo!Why?They are "useless eaters" and are not producers,so wanaichafua dunia bure,while using it's resources!Wow,a draconian logic indeed.
 
Tusubiri Waziri Daktari Gwajima atatolea ufafanuzi haya madai ya Shemeji yake..
Wanapapata lakini wanapaswa kusema kwamba wana magonjwa fulani fulani wakati wanapochanjwa. Wanapaswa kupewa kipaumbele sababu corona haiwakawizi kabisa hao..
 
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,

watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,

mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,

sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Ni muongo tu.
 
Maswala kama hayo ndiyo anatakiwa kuhojiwa atoe ufafanuzi wa kisayansi na sio hizo ngonjera anazowaimbia misukule wake.
Nia ya Gwajima na kundi lake wanao ipinga hii chanjo ni kuona watanzania wanakufa kama kuku wa mdondo ili wapate damu za kutolea kafara.
 
Wenye underlying conditions na wazee ndio walengwa wakuu wa hizo chanjo!Why?They are "useless eaters" and are not producers,so wanaichafua dunia bure,while using it's resources!Wow,a draconian logic indeed.
Wewe jamaa naona umeamua kuwadhalilisha watanzania
 
Sijawadhalisha Watanzania,hivyo ndivyo wenye mkakati wanavyosema.Kwa hiyo wao ndio wanao wadhalilisha Watanzania,sio mimi.
 
Bahati mzuri msimamo wako juu ya chanjo tunaujua sana.

Umeamua kuwatukana hata wazee wako na ndugu zako wenye magonjwa sugu
 
Narudia tena,sio mimi ninao wadhalilisha,mimi nime quote maneno ya wenye mkakati wa chanjo.
 
Ni kupoteza muda kumjibu MTU amabye tayari huwezi mbadilisha ni sawa na kupigana na MTU aliyetayari kufa-hana chankupoteza.
 
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,

watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,

mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,

sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Swala la Chanjo bado linahitaji Elimu ya kutosha, ni wakati sahihi Wataalamu wa Afya wajitokeze kutoa Elimu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom