Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Wataalamu ya afya hawajui kitu,so far wamekuwa wanaongea udaku tu,aidha kwa makusudi au katika ujinga.Sisi wengine tusingekuwa wataalamu tungeingizwa chaka kweli kweli.Swala la Chanjo bado linahitaji Elimu ya kutosha, ni wakati sahihi Wataalamu wa Afya wajitokeze kutoa Elimu ya kutosha.