#COVID19 Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

#COVID19 Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

Swala la Chanjo bado linahitaji Elimu ya kutosha, ni wakati sahihi Wataalamu wa Afya wajitokeze kutoa Elimu ya kutosha.
Wataalamu ya afya hawajui kitu,so far wamekuwa wanaongea udaku tu,aidha kwa makusudi au katika ujinga.Sisi wengine tusingekuwa wataalamu tungeingizwa chaka kweli kweli.
 
Back
Top Bottom