Umesahau ana fufua watuGwajiboy is a bishop,a politician and a doctor.All at the same time
In english they call such a person "a jack of all trade"
askofuWatu wanaopewa kipaumbele kupatiwa chanjo ya UVIKO-19 ni wenye magonjwa ya muda mrefu (chronic diseases) ikiwemo kisukari !
Ni kawaida sana ya mtu mwenye vinasaba vya free mason kuwa na tabia kama za GwajimaaaKwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,
sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Gwajima ni kibwetereaskofu
gwajima anaipinga hiyo sasa anadai sio sahihi
Hana uwezo wa kufufua huyo
hivyo vipande vidogo vimezungumzwa na gwajima au nani? unataka yulete kipande chote cha masaa manne?Tatizo ni kuwa huwa mnachukua tuvipande vipande ndo mnamjibu,muwe mnasikiliza full maelezo yake ndipo mmjibu,maelezo yake yako wazi tu hata hayahitaji kelele
😀😀Ni kawaida sana ya mtu mwenye vinasaba vya free mason kuwa na tabia kama za Gwajimaaa
Acha kubwabwaja!Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,
sasa
yule ni fala kabisa, kisukari inahusiana vipi na chanjo ya kirusi cha Korona atawashika misukule kama nyieAcha kubwabwaja!
Hoja ya Gwajima, watu wasichanjwe bila kupimwa afya.
. Tz watu wanachanjwa bila kupima.
Huyo mzinzi na tapeli hajui kitu na apeleke uongo wake huko huko kwa misukule wake wanaoamini anao uwezo hata wa kufufua. Watu wenye ugonjwa wa Kisukari ni miongoni mwa wanaopewa kipumbele kwenye chanjo.Watu wanaopewa kipaumbele kupatiwa chanjo ya UVIKO-19 ni wenye magonjwa ya muda mrefu (chronic diseases) ikiwemo kisukari !
gwajima anapenda sifa,Huyo mzinzi na tapeli hajui kitu na apeleke uongo wake huko huko kwa misukule wake wanaoamini anao uwezo hata wa kufufua. Watu wenye ugonjwa wa Kisukari ni miongonu mwa wanaopewa kipumbele kwenye chanjo.
With clinical data supporting a robust neutralizing antibody response in COVID-19 patients with DM, vaccination in individuals with DM is justified. In fact, as the burden of the disease is borne by people with DM, COVID-19 vaccination should be prioritized in individuals with DM.
acha matusi basi, mbona unamlisha maneno huyo KibwetereAcha kubwabwaja!
Hoja ya Gwajima, watu wasichanjwe bila kupimwa afya.
. Tz watu wanachanjwa bila kupima.