🙏acha matusi basi, mbona unamlisha maneno huyo Kibwetere
ni lini alisema watu wapimwe kwanza ili wakachanjwe
wacha aingie kikaangono kazoea kuropoka kama Nchi ya babake mwendazake
sasa ndio kuna SerikaliView attachment 1903809
Unamsikiliza Gwajima?Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,
sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Wenye underlying conditions na wazee ndio walengwa wakuu wa hizo chanjo!Why?They are "useless eaters" and are not producers,so wanaichafua dunia bure,while using it's resources!Wow,a draconian logic indeed.Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,
sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Wanapapata lakini wanapaswa kusema kwamba wana magonjwa fulani fulani wakati wanapochanjwa. Wanapaswa kupewa kipaumbele sababu corona haiwakawizi kabisa hao..Tusubiri Waziri Daktari Gwajima atatolea ufafanuzi haya madai ya Shemeji yake..
Ni muongo tu.Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi kupata chanjo mpaka apone kabisa,
sasa haya madai ya Askofu leo yamenishangaza sana naomba wataalamu mnisaidie kujibu hili,
Thubutuuu !!! Hivi Kuna mtu utampenda zaidi ya mzazi? Ingewezekana Hilo angefufuliwa mzazi mkuu
He is a jack of all tradesGwajiboy is a bishop,a politician and a doctor.All at the same time
In english they call such a person "a jack of all trade"
Gwajima ni mtumwa wa free masonryAcha kubwabwaja!
Hoja ya Gwajima, watu wasichanjwe bila kupimwa afya.
. Tz watu wanachanjwa bila kupima.
Nia ya Gwajima na kundi lake wanao ipinga hii chanjo ni kuona watanzania wanakufa kama kuku wa mdondo ili wapate damu za kutolea kafara.Maswala kama hayo ndiyo anatakiwa kuhojiwa atoe ufafanuzi wa kisayansi na sio hizo ngonjera anazowaimbia misukule wake.
Wewe jamaa naona umeamua kuwadhalilisha watanzaniaWenye underlying conditions na wazee ndio walengwa wakuu wa hizo chanjo!Why?They are "useless eaters" and are not producers,so wanaichafua dunia bure,while using it's resources!Wow,a draconian logic indeed.
Sijawadhalisha Watanzania,hivyo ndivyo wenye mkakati wanavyosema.Kwa hiyo wao ndio wanao wadhalilisha Watanzania,sio mimi.Wewe jamaa naona umeamua kuwadhalilisha watanzania
Bahati mzuri msimamo wako juu ya chanjo tunaujua sana.Sijawadhalisha Watanzania,hivyo ndivyo wenye mkakati wanavyosema.Kwa hiyo wao ndio wanao wadhalilisha Watanzania,sio mimi.
A jackass.Gwajiboy is a bishop,a politician and a doctor.All at the same time
In english they call such a person "a jack of all trade"
Narudia tena,sio mimi ninao wadhalilisha,mimi nime quote maneno ya wenye mkakati wa chanjo.Bahati mzuri msimamo wako juu ya chanjo tunaujua sana.
Umeamua kuwatukana hata wazee wako na ndugu zako wenye magonjwa sugu
😲Nia ya Gwajima na kundi lake wanao ipinga hii chanjo ni kuona watanzania wanakufa kama kuku wa mdondo ili wapate damu za kutolea kafara.
Swala la Chanjo bado linahitaji Elimu ya kutosha, ni wakati sahihi Wataalamu wa Afya wajitokeze kutoa Elimu ya kutosha.Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,