bibla haijamtaja na haimtambui kabisa.Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
Qur’an haijamtaja yesu wala mama yake na sidhani kama biblia imemtaja MuhammadKama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
Toa popote leta andiko linalotambua Biblia, hakuna maandiko yanayotambua kitabu kinachoitwa Biblia kwahiyo waislam hawaamini kitabu kinachoitwa Biblia.Hilo andiko nilitoe kwenye Qur'an ama wapi?
Biblia imejitosheleza. Badala ya Muhamad imemtaja Allah kama shetaniKama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
Biblia Imemtaja mtume Muhammad kwa mafumbo.Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
NdioKama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?