FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Mimi sijakataa, hapo kabla ya kabla, ambapo alikuwa hajaumba chochote, ndio alikuwa wapi? Au hapo alipokuwepo paliumbwa na nani? Maana alikuwa hajaumba kitu bado. Pia hatumpo specific location, tunaulizia generality ya uwepo wake, hata kama ni yupo sehemu zote mida wote, kabla hajaumba kitu, ni wapi alikiwepo, na hapo alipokuwepo , paliumbwa na nani wakati alikuwa hajaumba kitu bado?MUNGU alikuwaepo kabla ya hiyo ''Kabla'' kuwepo. Pili MUNGU hana nafasi kwa hivyo huwezi kumpa specific location, ukimpa specific location tayari umeshamlimit. MUNGU ni mmoja hagawanyiki, yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kila jambo, hana mshirika katika utendaji wake, hana mwanzo wala hana mwisho,, hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wowote na pia hafananishwi na chochote.