Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hahahahah akili ndogo utazijua haya na Wewe Lete Hayo majitabu uliyosoma hapa nikutoe baru!Kwa hoja gani ulio ileta wewe??
Mambo yakukopi mijitabu ya watu ndo unatuletea eti nihoja??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahah akili ndogo utazijua haya na Wewe Lete Hayo majitabu uliyosoma hapa nikutoe baru!Kwa hoja gani ulio ileta wewe??
Mambo yakukopi mijitabu ya watu ndo unatuletea eti nihoja??
Mungu akiwa kila Mahali maana Yake hata Hapo Mfukoni mwako Yupo.. Humo Tumboni mwako YupoKwani sasa hivi Yuko wapi? Najua kuwa kiroho yupo kila mahali, lakini je, Kiti chake cha Enzi kiko wapi? Ukijua mahali kilipo muda huu Kiti chake cha Enzi, basi ndiyo huko ambako amekuwepo milele yote
Kwaiyo ayo maviumbe yako sijui ma annunak yali jali zaidi kumuumba binadamu ila kuusu samaki na viumbe vingine hayakujali??hahahahah akili ndogo utazijua haya na Wewe Lete Hayo majitabu uliyosoma hapa nikutoe baru!
Ukiangalia Mazingira yako Utatambua Kitu Kilifanya Jambo Hayo Mazingira yakawepo. UKijiangalia Wewe mwenyewe utatambua Kwamba Una mifumo ambayo Kuna Kitu Kilifanya Hiyo Mifumo IkawepoMungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
Tatizo lako Wewe ni mjingaKwaiyo ayo maviumbe yako sijui ma annunak yali jali zaidi kumuumba binadamu ila kuusu samaki na viumbe vingine hayakujali??
Utajiju na maelimu msenge yako.Tatizo lako Wewe ni mjinga
(samahani sikutukani ujinga sio tusi)
Wewe nimekwambia Annunak ndio waliproject smart human being na sio Hivyo tu Bali walifanya cloning project nyingi Sana za viumbe hai na mimea Kaa ukijua Hii Dunia Miaka millions iliyopita haikua Hivi ilikua na viumbe wa tofauti Kabisa na Sasa ila yakaja tokea mabadiliko makubwa Sana na wanasayansi wamethibitisha Hilo Kuna kitu kiliingilia mfumo wa nature na kupandiza DNA Kwa viumbe na mimea ambayo kiasili inaonesha vilitoka Nje ya mfumo wetu wa Nyota
Nenda kule jukwaa la intelligence Kuna Uzi kapost mwamba #Artificial intelligence unaitwa
Annunak walimuumba mtu(modern human)
Utapata maarifa siwezi kukuweka Kila kitu hapa utanichosha kule Kuna michango yangu itakufungua usiwe brain washed!
Mungu akiwa kila Mahali maana Yake hata Hapo Mfukoni mwako Yupo.. Humo Tumboni mwako Yupo
Na inaposemwa ana Kiti Cha Enzi.. Kwahiyo anaweza Kukaa Kama Mimi na Wewe?
Maandiko Yamepumbaza Sana Watu
Ulishawahi kumuona kichaa anayeokota makopo barabarani anacheka? Kama ulishawahi, je ulishawahi kujiuliza kwa nini anacheka? Ni lazima huwa kuna sababu tena ya msingi sana inayomchekesha, pamoja na kwamba ni kichaa. Kwa hiyo usije ukamuona kichaa anacheka, uka-assume amacheka tu kwa sababu ni kichaa, hapana lazima kunakuwa na sababu, tena ya msingi sanaMungu akiwa kila Mahali maana Yake hata Hapo Mfukoni mwako Yupo.. Humo Tumboni mwako Yupo
Na inaposemwa ana Kiti Cha Enzi.. Kwahiyo anaweza Kukaa Kama Mimi na Wewe?
Maandiko Yamepumbaza Sana Watu
Nenda kasome Accient Tablets za Mesopotamian yaani Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian, Kush, nk utajua ni nani aliyemproject modern human yaani homo sapiens Sapiens,Ukiangalia Mazingira yako Utatambua Kitu Kilifanya Jambo Hayo Mazingira yakawepo. UKijiangalia Wewe mwenyewe utatambua Kwamba Una mifumo ambayo Kuna Kitu Kilifanya Hiyo Mifumo Ikawepo
Anyway jiulize Hili Pia Binadamu tunaongezeka kwa Kuzaliana. Maana Yake Hapo Mwanzoni kulikuwa na Wazazi wa Kwanza kabla Hatujawa Mamillioni ya Sasa
Mzungu wa kwanza kuelimika ni Mgiriki. Wanasifa kubwa sana bara la Ulaya na ulimwenguni kwenye sunapozungumzia masuala ya elimu. Hawa ndiyo wanaitwa mabwana wa falsafa.Hadith na nadharia za Mungu Zina utata na contradictions kibao,Watu was kwanza kuanza kuanzisha nadharia za Mungu ni wa accient civilization za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus, valley nk
Hawa walianza Hizo nadharia baada ya Dunia kutembelewa na viumbe kutoka nje ya mfumo wetu wa Nyota yaani
ANNUNAK
Hao ndio waliomproject maabara Mwanadamu na kumpa ujuzi wote lengo atumike kama nguvu KAZI ya kuchimba dhahabu,dhahabu ilihitajika na hao viumbe kuizirudisha Sayari zao katika Hali ya kawaida baada ya kuharibiwa na vita vya
Nuclear reactors baada ya viumbe wale kumaliza mission na kuondoka Watu wakaanza waabudu kama Miungu na hata mwanzilishi wa Imani za Abrahamic alitokea Uru ya Ukaldayo Mesopotamia alikua akimuabudu Mungu El au Elohim (YHW)
Huyo alikua ni Moja kati ya Miungu wa Annunak na mapokeo mengi ya wayahudi Yana masimulizi ya sifa za huyo Mungu wao El mpaka pale zilipokuja zaliwa dini zenye mlengo wa huyu El kama Judaism, Christianity and Islamic
Na sio Kwamba El alikua ndie Mungu pekee hapana kulikua na Miungu wengi sana ukienda Kwa wahindi Wana Mungu wao Rama mwenye sifa kama za El
Ukienda misri Kuna Ra
Mesopotamia Kuna Anu
Kuna Enki
Na wengine wengi sana wote Wana mapokeo tofauti tofauti ila asili Yao ni Moja na Hao Miungu baadhi Yao walikua na bifu Kali sana mfano
Elohim YHW aliingia mkataba na agano na Abraham Kwamba uzao wake wote Watakua Watu wake na ni Marufuku kujihusisha na miungu mingine lengo lake awe na Watu wa kukamilisha mission zake Kwa urahisi na lengo la huyo Annunak El ni gold na dio maana mmoja wa uzao wa Abraham yaani Suleiman alikua na uwezo mkubwa sana na akili nyingi aliweza kukusanya gold Kwa maelfu ya matani na baadae zikapotea ghafla tu hata hatujui zilienda wapi hao ndio ANNUNAK na mission zao duniani
Nahitimisha ya Kwamba Hizo Hadith za Mungu mkuu muumbaji wa ulimwengu ni uongo na huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo ila tu Watu waliamua kuwaita accient ANNUNAK miungu ila walikua Alliens tu!
Akiwa katika MBINGU YA MBINGU YA MBIGU, JUU, JUU SANA! Unahitaji upate msaada zaidi ya akili zako kulielewa hili. Kwani hilo ni suala la IMANI na zaidi iwe IMANI kwa MUNGU ALIYE HAI!Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
mkuu kn uzi humu .una madini km haya yakoNenda kasome Accient Tablets za Mesopotamian yaani Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian, Kush, nk utajua ni nani aliyemproject modern human yaani homo sapiens Sapiens,
Utakuja kunishukuru!
Achana na story za kuumbwa za kijitabu kinaitwa Biblia au Quran hizo ni hekaya ndogo tu kati ya ule ukweli halisi uliopo kwenye Hayo maandiko na utapata picha ni nani aliyefanya formation ya viumbe walioko Sasa,
Kwa muhtasari tu
Hakuna kiumbe anaitwa Mungu aliyeumba Dunia Wala kumuumba Binadamu na mtu
Bali Kuna viumbe kutoka galaxies za mbali Huko waliifanyia hiyo shughuli ya kupandikiza DNA na cloning project ya viumbe wa kisasa unaowaona Leo including you dude!
Mungu wanasema ana nafsi tatu. Tayari ni mgawanyiko.MUNGU alikuwaepo kabla ya hiyo ''Kabla'' kuwepo. Pili MUNGU hana nafasi kwa hivyo huwezi kumpa specific location, ukimpa specific location tayari umeshamlimit. MUNGU ni mmoja hagawanyiki, yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kila jambo, hana mshirika katika utendaji wake, hana mwanzo wala hana mwisho,, hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wowote na pia hafananishwi na chochote.
Hao viumbe kutoka sayari nyengine mwisho wa hii project yao juu yetu ni nini?Nenda kasome Accient Tablets za Mesopotamian yaani Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian, Kush, nk utajua ni nani aliyemproject modern human yaani homo sapiens Sapiens,
Utakuja kunishukuru!
Achana na story za kuumbwa za kijitabu kinaitwa Biblia au Quran hizo ni hekaya ndogo tu kati ya ule ukweli halisi uliopo kwenye Hayo maandiko na utapata picha ni nani aliyefanya formation ya viumbe walioko Sasa,
Kwa muhtasari tu
Hakuna kiumbe anaitwa Mungu aliyeumba Dunia Wala kumuumba Binadamu na mtu
Bali Kuna viumbe kutoka galaxies za mbali Huko waliifanyia hiyo shughuli ya kupandikiza DNA na cloning project ya viumbe wa kisasa unaowaona Leo including you dude!
Ewaa!Naam uko sawa kabisa. Hilo swali nililomuuliza mleta mada lilikuwa rhetorical. Nilitaka kumjengea picha akilini kuwa kabla hajawaza kuwa Mungu alikuwa wapi wakati anaumba....
Awaze kwanza kuhusu viumbe hai na visivyo hai...vionekanavyo na visivyoonekana. Hivi vyote vilikuwa brought into existence by the majestic power of God..kwa kuvitamka tu navyo vikawepo na kutokea.
Sasa ukijaribu kuwaza kuwa inawezekanaje kuwa something to be created out of nothing...imagine materials zote zilizohitajika kuumba nyota, zote, sayari, miezi n.k ziliumbwa kwa kutamkwa tu na Mwenyezi-Mungu. Then God must be so powerful kiasi kisichoelezeka.
kibinadamu hauwezi kuelewa. Ila kwa imani tunaamini kwani uwepo wa creation tu ni somo tosha juu ya ukuu wa Mungu ambao kamwe hatuwezi kuuelewa wote.
yeah ni wa jamaa yetu #Artificial intelligence nae ni mdau mkubwa wa maswala haya hua tunashare maujuzi haya na wanajamii Intelligence wapate kufunguka akili na kuunganisha dot!mkuu kn uzi humu .una madini km haya yako
safi sana uwe unanitag mkuuyeah ni wa jamaa yetu #Artificial intelligence nae ni mdau mkubwa wa maswala haya hua tunashare maujuzi haya na wanajamii Intelligence wapate kufunguka akili na kuunganisha dot!
Project iliyowaleta kwenye Accient civilization ilikua ni Gold,Hao viumbe kutoka sayari nyengine mwisho wa hii project yao juu yetu ni nini?