Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Bado itakuwa ni hatua nyingine ya kumsaidiaNgoja akuangushie mzigo wa ulezi ndipo akili itakaa sawa.
Sijamgegeda dada. Hata rangi ya andasleti yake siijuiMtu akugande tu na hujamgegeda? Jifunze kuheshimu dada wa rafiki zenu
Kila la kheriBado itakuwa ni hatua nyingine ya kumsaidia
Tuliachana baada ya kumaliza msingi, hatujawahi kuonana tena. Nilihama mkoaKwani kaka ake yu wapi?
Niombee tu Mungu aniwezeshe kumsaidia dada Sikitu, anatia huruma kwa kweliKila la kheri
Toa msaada kijana.Hiyo ni interview.Ukifaulu tu na kazi unapata.Sijamgegeda dada. Hata rangi ya andasleti yake siijui
Sina mbele wala nyuma, bloo kama kwako kuna kazi yoyote hata ya kulima, kusafisha nyumba, kufua, saidia fundi niko tayari kufanya nimsaidie huyu dadaToa msaada kijana.Hiyo ni interview.Ukifaulu tu na kazi unapata.
Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea.
Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi.
Nimemwambia urudi kijijini, anasema bora afe kuliko kurudi kijijini na hali ile. Ndugu zake niliachana nao siku nyingi sina namba zao za simu.
Kwa hali ya huyu dada anatakiwa kukaa chini ya uangalizi, sio ghetto.
Je namsaidiaje? Kwanini Mungu huu mtihani kanidondoshea mimi?
Yakobo 1:14Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.
Yakobo 1:13...