DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
This is what we called Life Maisha yanahitaji compassion and composure that AllMtu kaachwa na bwanake halafu mtu baki anaumiza kichwa, kuna watu wana bahati, hicho kiumbe tumboni kitakuwa na kitu special sana
Lakini kwenye Biblia hiyo hiyo kuna story ambapo Mungu na shetani walikubaliana wamjaribu mtu fulani baada ya Mungu kusema hawezi tingishwa na shetani kusema akipata majanga atakengeuka tu.Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.
Yakobo 1:13...
kama haituhitaji kwani now tupo wapi?Huyo kakuambia ukweli dunia haitaji watu wa ajabu Ajabu Kama wewe
Sawa upo sahihikama haituhitaji kwani now tupo wapi?
Amina
Amina
Umemshambulia bure tu dada wa watu. Ndugu yangu hata jf haijuiMbona unaendeshwa na mihemko kiasi hiki?
Naijua hiyoo....
Au wewe ndo huyo mwenye mimba anayepigiwa promo na kutumika kutolea tangazo?
Mwanzo 22:1Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.
Yakobo 1:13...
Labda kweli🤷♀️🤷♀️Uenda hajui saikolojia ya ndoa,mtu akiwa na mimba ana tofaut na kichaa unamvumilia tu
Umebuni story ili upate kazi, ajira zimekuwa ngumu hadi watu wamekuwa wajanja hivi
Ndo namsaidia kumuelewesha jinsi ya kuishi kwenye hii mitandaoUmemshambulia bure tu dada wa watu. Ndugu yangu hata jf haijui
Ndo namsaidia kumuelewesha jinsi ya kuishi kwenye hii mitandao
acha karoho kabaya kwamtoto wa mwanamke mwenzio jamani khaa hutaki apate msaadaJiulize Kwanini bwanake amfukuze akiwa kwenye hali hiyo,, huyo atakua na shida sio bure....anyway kama umewiwa msaidie tu
Eleweka basiSasa unakosea kumnasabisha na ndugu yangu. Siko hapa kwa ajili ya utani
Mkuu naon kun kit unachangany hapooo..Mwanzo 22:1
Baada ya muda fulani, Mungu alimjaribu Abrahamu. Mungu alimwita, “Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam nasikiliza.” Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo