Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.

Yakobo 1:13...
Lakini kwenye Biblia hiyo hiyo kuna story ambapo Mungu na shetani walikubaliana wamjaribu mtu fulani baada ya Mungu kusema hawezi tingishwa na shetani kusema akipata majanga atakengeuka tu.
 
Utamsaidiaje wakati hali yako ngumu. Kuna saa mnamsingizia Mwenyezi Mungu sasa subiria ajifungue kisha akukumbushe huyo mtoto sio wako
 
Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.

Yakobo 1:13...
Mwanzo 22:1

Baada ya muda fulani, Mungu alimjaribu Abrahamu. Mungu alimwita, “Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam nasikiliza.” Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo
 
Mkuu akili ni wasiwasi, kama unaona kabisa unapata mashaka na wasiwasi sana kila ukitaka kumsaidia. Fata hiyo hali ya wasiwasi na mashaka na hiyo ndiyo sauti sahihi inayokuepusha na hatari iliyo mbele yako.

Sitaki hata uje unishukuru ila ukipuuzia, hakika utakumbuka bandiko hili siku zote za maisha yako.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Maskini ujiona wema sana wanapobeba shhidaa za watu kwa ushauri angaika na yako mpe nauli aende kwao yesu mwenyewe hakuangaika na wajinga kama awoo
 
Jiulize Kwanini bwanake amfukuze akiwa kwenye hali hiyo,, huyo atakua na shida sio bure....anyway kama umewiwa msaidie tu
acha karoho kabaya kwamtoto wa mwanamke mwenzio jamani khaa hutaki apate msaada
 
Yakobo 1:13 BHN​

Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote
 
Saidia huyo mwanamke ila majibu yake utayapata tu ipo siku.

Mwanamke mwache akapambane na aliyempa tatizo..ohooo
 
Mwanzo 22:1

Baada ya muda fulani, Mungu alimjaribu Abrahamu. Mungu alimwita, “Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam nasikiliza.” Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo
Mkuu naon kun kit unachangany hapooo..
Andik linasem Mungu hamjaribu mtu yoyote na Mambo maovu.. Kwan hapo Kwa isak alifny tukio ovu lolote?
 
Back
Top Bottom