Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
2,054
Reaction score
2,902
Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?

Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao weupe??

Sina lengo la kuwasifia lakini najiuliza wao wamewezaje kugundua vitu tunavyoviona leo vikisaidia sana watu lakini kwa upande wetu sisi watu weusi hatujaonesha ugunduzi wowote wa kushtua dunia??

Hebu fikiria mfano teknolojia ya afya jinsi wazungu walivyoweza kugundua madawa mbalimbali ambayo mimi kama mmoja wa wanafunzi wa kozi hii huwa najiuliza hivi hawa watu walijuaje kugundua haya??

Madawa ya bacteria, fungi, protozoa na vaccinations mbalimbali za viruses hivi wao waliwezaje kugundua haya? Na kipindi wanagundua what we blacks were doing in this World??

Sometimes huwa nahisi labda Mungu aliwaumba wao kwanza halafu sisi baadae maana sioni kitu chochote kipya cha kujivunia kama mwafrika..

Technolojia za disease diagnoses kama X-rays, staining techniques, immunofluorescence, FBP, ELISA, microscope n.k Hivi wao waliwezaje kugundua? Au uwezo wa ugunduzi waliopewa wazungu ni tofauti na wa kwetu??

Ukija upande wa pharmacy utaona dawa ambazo ukizisoma utagundua nguvu kubwa ilitumika sana mpaka kuzigundua lakini kitu cha ajabu sisi weusi hakuna hata kitu tumegundua na hata kama vipo basi ni vichache mnooo!

Kuna maprofesa, madokta na PhD holders wengi tu hapa bongo lakini hakuna hata dawa moja wameweza tengeneza ikawa na brand ya kwetu tatizo liko wapi au ni mimi tu naona haya maendeleo ya watu weupe??

Ukija kuangalia teknolojia ya ujenzi wa majumba huko nako n watu hao hao weupe walio watalaamu wa kubuni mijengo mbalimbali na sisi tunaiga kwao...

Pia wameonesha uimara ktk mambo ya michezo,siasa imara,elimu za kiwango cha ajabu,n.k....sisi n miaka 50+ya Uhuru Ila hata handkerchief tunaagiza China HV where is the problem?? I ask myself the following questions..
1.Kama Mungu katuumba sawa,mbona hawa wao wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa kulko sisi?

2.Kama kila kitu chetu tunaiga kwa wazungu yaan utakuta kila kitu unachomilik hapo ulipo kimetengenezwa mbele ,so inamaanisha ili tuendelee lazma tujifunze kwao,je,wao wamejifunza wapi??

Kuna maneno Donald trump alitutukana waafrika lkn mm nikiyaangalia naona kama ni ukweli mtupu kabisa....anasema tumekalia Almas,dhahabu na aina zote za madini lkn bado sisi n maskini na tunaishia kugombana na kuuana sisi kwa sisi kisa Mali asilia hii,tatzo liko wapi wakubwa zangu..mm ndio naanza kukua na kuona Africa jinsi ilivyo..najiuliza kama hawa walionitangulia hawajaweza kutengeneza chochote kile hii inamaanisha sisi ni wa kuzaliwa,kukua,kuoa/kuolewa,kuzaa na kufa tu au??

Au sisi ni zao LA laana (mtanisamehe hapa) maana hamna mchango naoona uliotokana na waafrika ktk kuhakikisha a world is at good form and peace...civil wars,hunger and starvation,poverty,poor hygiene,poor housing,poor infrastructure, political intolerance, diseases,and all forms of bad issues are within us brothers and sisters!!!! Where have we messed??

I conclude kwa Leo kwa kusema HV:A world peace can be maintained without blacks in presence but the world can't run without whites??? Why???
 
Na Haya ni moja ya matokeo ya mfumo wetu wa elimu au mtaala.......

Mifumo yetu ya elimu imedizainiwa uwe msaidizi wa mzungu au uwe mtengenezaji wa alichokigundua mzungu.......

Na kibaya zaidi inakufanya Ina kufanya ujione mzungu na kujikataa.........

Naamini mtoa mada ameleta hii mada kwa mihemko na sio ki uchunguzi kama msomi

Lakini ndio hivyo kama hata cha kumfundisha mtoto tunapangiwa na wazungu unategemea huyo mtoto atakuwa na akili gani.....!!?

NB;

Kuna shida kwenye mitaala ya elimu na mataifa mengine yameligundua hayo mapema sana na kufanya mabadiliko na kupiga hatua kubwa......
 
Kabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
 
Hii elimu tuliyonayo ni ya kishenzi sana.Ni elimu ya kutambia tu mtaani na si elimu ya kuleta mabadiliko.Na hata serikali inavyolipa watu wake,hailipi utendaji bali inalipa cheti,kwa hiyo hata vyuoni zinafanyika faulo za hatari ili mtu apate cheti na kinakuwa kama kibali cha kulipwa zaidi.

Niliona tofauti kidogo kwa wazungu,wao wanalipa uwezo wa kazi.Hata kama mtu ni darasa la saba kama anauwezo wa kuzalisha,wanalipa pesa nzuri sana.Nimeshuhudia mtu mmoja aliajiriwa kama meneja Australia mgodini akiwa darasa la saba tu tena la Tanzania. Alibahatika kufanya mgodini na akonesha uwezo mkubwa sana kiasi kwamba wazungu ilibidi wamkubali.

Kama serikali zetu zingekuwa zinamiliki timu,ungeshangaa wachezaji wangekuwa wanalipwa mishahara kwa vigezo vya elimu hata kama hawashindi ama hawafungi magoli. Hii ndiyo inaua sana uwezo wetu na kuturudisha nyuma.

Wako watu wanaonesha vipaji vikubwa kama kutengeneza silaha,dawa n.k wanakamatwa au kufungiwa kabisa.Huu ni ushenzi mkubwa.
 
Huju jamaa alikuwa na akili sana

WAZUNGU.jpg
 
Kabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
Sasa kama waliwaua,HV wengne hawakuzaliwa wanaojua ugunduzi zaidi??
Na ukisema magonjwa wanayatengeneza sikatai ila %kubwa hawayatengenezi ndugu...
 
Afrika tuache kulaumu kila kitu...sisi tumekuwa watu wa kulaumu sana..Tufanye kazi, tujitume..,Tuwe waadilifu ...discipline is very important for us,....Waafrika hatujali mda, Tujali mda ...USIPOTEZE MDA WAKO KWA MAMBO YASIYO NA FAIDA KWAKO.,TUCHAGUE VIONGOZI BORA SIYO BORA KIONGOZI...
 
Kabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
Mkuu tukubali tu kwamba jamaa wanatuacha mbali sana katika kila sekta. Ukisema kuuawa wahandisi, vipi kuhusu michezo? Vipi kuhudu siasa? Vipi kuhusu elimu? N.k...

Nina hakika hata wakiuliwa wahandisi na wataalam wote wa kizungu, bado watazaliwa wengine na kufanya mambo, tena zaidi ya yanayofanyika sasa! Sisi laana inatutafuna tu
 
Hapana hutatui tatizo kwa fikra zako zilivyo unaangalia tulipoangukia huangalii tulipo jikwaa tunaweza hata sasa ipo mifano hai ya wahandisi wetu km yule bwana zanzibar katengeneza helkopta kakatazwa kulusha yupo wa makambako katengeneza umeme kazuiwa kuusambaza unaweza kuona tungewakamata mkuu
 
WAPO WENGI TU ..
 
Back
Top Bottom