Racso G
Member
- Jun 19, 2017
- 57
- 29
Hivi mnafikiri kutawaliwa kote tangu karne ya 17, education system walio anzisha kipindi hicho mpaka saivi bado tunaitumia itatufanya vipi kujiendeleza kiteknolojia kama mababu zetu kabla ya wakoloni huh!? education system inayotufunga huwezo wetu wa kufikiri kimantiki na kutufanya tukatae kitu kipya ambacho hakipo kwenye syllabus yao huh?!