Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KURUKA NA UFO KAMA UNGO FULANI HIVI, BILA MAFUTA AU MACHINE, NA BILA YA WATU KUJUA UTAALAM HUO.Mbona north Korea wako strict kulko hapa ila wanateknolojia kubwa,nuclear ,rockets,na sayansi mbalimbali mkuu....sisi labda kuna kasoro nyngne
Hao wachina marekani kipi wamegundua wao kama sio kukopi na kuendeleza teknolojia ya waislaelKutawaliwa sio sababu kabisa ya kufanya cc tushindwe kuwa na maendeleo ktk technolojia mkuu....marekani,China,n.k zimetawaliwa tena kwa miaka mingi lkn mpk sasa wamekuwa na maendeleo kulko hata aliewatawala!!!! Swali tu n where are we messing??
Shida sio mitaala ,shida ni sisi ambao tunakubali kupangiwa mitaala.Kwa nini tunakubali???Na Haya ni moja ya matokeo ya mfumo wetu wa elimu au mtaala.......
Mifumo yetu ya elimu imedizainiwa uwe msaidizi wa mzungu au uwe mtengenezaji wa alichokigundua mzungu.......
Na kibaya zaidi inakufanya Ina kufanya ujione mzungu na kujikataa.........
Naamini mtoa mada ameleta hii mada kwa mihemko na sio ki uchunguzi kama msomi
Lakini ndio hivyo kama hata cha kumfundisha mtoto tunapangiwa na wazungu unategemea huyo mtoto atakuwa na akili gani.....!!?
NB;
Kuna shida kwenye mitaala ya elimu na mataifa mengine yameligundua hayo mapema sana na kufanya mabadiliko na kupiga hatua kubwa......
Shida sio mitaala ,shida ni sisi ambao tunakubali kupangiwa mitaala.Kwa nini tunakubali???
Hili Swali lako pia linahitaji mjadala wake.....!!?
Kwa dunia ilipofikia hapa ukitumia akil yako kidogo utapata jibu la swali lako......!!!
Kulaumu sio njia ya kutatua tatizo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watu weusi bado sanaKama watu wanakimbizana na wanyoa viduku mpaka mwaka 2018, utapata wapi muda wa kugundua hata chanjo ya pepopunda?
Iyo inshalah ni lugha ya wapi?ndio hayo hayo mleta nyuzi aliyosema tunaletewa kila kitu hata lugha we unafikiri utagundua niniTUACHE STAREHE ZA NGOMA NA NGONO NA UBINAFSI.
TUPENDE KUJUA, KUFANYA UTAFITI, KUJIULIZA MASWALI NA KUJIPA MAJIBU ZAIDI YA MOJA.
NA KADHALIKA.
IN SHAA ALLAH, TUNAWEZA
Acha uongo na porojo za kijiweni inamaana walio uliwa ndio walikuwa wagunduzi hivyo kizazi chetu ni wajingaKabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
Duuuuh!Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?
Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao weupe??
Sina lengo la kuwasifia lakini najiuliza wao wamewezaje kugundua vitu tunavyoviona leo vikisaidia sana watu lakini kwa upande wetu sisi watu weusi hatujaonesha ugunduzi wowote wa kushtua dunia??
Hebu fikiria mfano teknolojia ya afya jinsi wazungu walivyoweza kugundua madawa mbalimbali ambayo mimi kama mmoja wa wanafunzi wa kozi hii huwa najiuliza hivi hawa watu walijuaje kugundua haya??
Madawa ya bacteria, fungi, protozoa na vaccinations mbalimbali za viruses hivi wao waliwezaje kugundua haya? Na kipindi wanagundua what we blacks were doing in this World??
Sometimes huwa nahisi labda Mungu aliwaumba wao kwanza halafu sisi baadae maana sioni kitu chochote kipya cha kujivunia kama mwafrika..
Technolojia za disease diagnoses kama X-rays, staining techniques, immunofluorescence, FBP, ELISA, microscope n.k Hivi wao waliwezaje kugundua? Au uwezo wa ugunduzi waliopewa wazungu ni tofauti na wa kwetu??
Ukija upande wa pharmacy utaona dawa ambazo ukizisoma utagundua nguvu kubwa ilitumika sana mpaka kuzigundua lakini kitu cha ajabu sisi weusi hakuna hata kitu tumegundua na hata kama vipo basi ni vichache mnooo!
Kuna maprofesa, madokta na PhD holders wengi tu hapa bongo lakini hakuna hata dawa moja wameweza tengeneza ikawa na brand ya kwetu tatizo liko wapi au ni mimi tu naona haya maendeleo ya watu weupe??
Ukija kuangalia teknolojia ya ujenzi wa majumba huko nako n watu hao hao weupe walio watalaamu wa kubuni mijengo mbalimbali na sisi tunaiga kwao...
Pia wameonesha uimara ktk mambo ya michezo,siasa imara,elimu za kiwango cha ajabu,n.k....sisi n miaka 50+ya Uhuru Ila hata handkerchief tunaagiza China HV where is the problem?? I ask myself the following questions..
1.Kama Mungu katuumba sawa,mbona hawa wao wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa kulko sisi?
2.Kama kila kitu chetu tunaiga kwa wazungu yaan utakuta kila kitu unachomilik hapo ulipo kimetengenezwa mbele ,so inamaanisha ili tuendelee lazma tujifunze kwao,je,wao wamejifunza wapi??
Kuna maneno Donald trump alitutukana waafrika lkn mm nikiyaangalia naona kama ni ukweli mtupu kabisa....anasema tumekalia Almas,dhahabu na aina zote za madini lkn bado sisi n maskini na tunaishia kugombana na kuuana sisi kwa sisi kisa Mali asilia hii,tatzo liko wapi wakubwa zangu..mm ndio naanza kukua na kuona Africa jinsi ilivyo..najiuliza kama hawa walionitangulia hawajaweza kutengeneza chochote kile hii inamaanisha sisi ni wa kuzaliwa,kukua,kuoa/kuolewa,kuzaa na kufa tu au??
Au sisi ni zao LA laana (mtanisamehe hapa) maana hamna mchango naoona uliotokana na waafrika ktk kuhakikisha a world is at good form and peace...civil wars,hunger and starvation,poverty,poor hygiene,poor housing,poor infrastructure, political intolerance, diseases,and all forms of bad issues are within us brothers and sisters!!!! Where have we messed??
I conclude kwa Leo kwa kusema HV:A world peace can be maintained without blacks in presence but the world can't run without whites??? Why???
Hapana mkuu..! Wakati sisi tunatengeneza pyramids wao walikuwa wapo hohe haheWakati wa hiyo technology hapa Africa huko kwinginrko walikua wapo mbali tayari
Tunahitaji tuamke waliogundua chuma huku bado hawakuwa wagunduzi sijajua unaelewaje maana ya ugunduzi hapo unisaidie pengine mimi ndio sijuiAcha uongo na porojo za kijiweni inamaana walio uliwa ndio walikuwa wagunduzi hivyo kizazi chetu ni wajinga
Bro unanitia uchungu nasoma hadi mwili unatetemeka aisee.Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?
Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao weupe??
Sina lengo la kuwasifia lakini najiuliza wao wamewezaje kugundua vitu tunavyoviona leo vikisaidia sana watu lakini kwa upande wetu sisi watu weusi hatujaonesha ugunduzi wowote wa kushtua dunia??
Hebu fikiria mfano teknolojia ya afya jinsi wazungu walivyoweza kugundua madawa mbalimbali ambayo mimi kama mmoja wa wanafunzi wa kozi hii huwa najiuliza hivi hawa watu walijuaje kugundua haya??
Madawa ya bacteria, fungi, protozoa na vaccinations mbalimbali za viruses hivi wao waliwezaje kugundua haya? Na kipindi wanagundua what we blacks were doing in this World??
Sometimes huwa nahisi labda Mungu aliwaumba wao kwanza halafu sisi baadae maana sioni kitu chochote kipya cha kujivunia kama mwafrika..
Technolojia za disease diagnoses kama X-rays, staining techniques, immunofluorescence, FBP, ELISA, microscope n.k Hivi wao waliwezaje kugundua? Au uwezo wa ugunduzi waliopewa wazungu ni tofauti na wa kwetu??
Ukija upande wa pharmacy utaona dawa ambazo ukizisoma utagundua nguvu kubwa ilitumika sana mpaka kuzigundua lakini kitu cha ajabu sisi weusi hakuna hata kitu tumegundua na hata kama vipo basi ni vichache mnooo!
Kuna maprofesa, madokta na PhD holders wengi tu hapa bongo lakini hakuna hata dawa moja wameweza tengeneza ikawa na brand ya kwetu tatizo liko wapi au ni mimi tu naona haya maendeleo ya watu weupe??
Ukija kuangalia teknolojia ya ujenzi wa majumba huko nako n watu hao hao weupe walio watalaamu wa kubuni mijengo mbalimbali na sisi tunaiga kwao...
Pia wameonesha uimara ktk mambo ya michezo,siasa imara,elimu za kiwango cha ajabu,n.k....sisi n miaka 50+ya Uhuru Ila hata handkerchief tunaagiza China HV where is the problem?? I ask myself the following questions..
1.Kama Mungu katuumba sawa,mbona hawa wao wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa kulko sisi?
2.Kama kila kitu chetu tunaiga kwa wazungu yaan utakuta kila kitu unachomilik hapo ulipo kimetengenezwa mbele ,so inamaanisha ili tuendelee lazma tujifunze kwao,je,wao wamejifunza wapi??
Kuna maneno Donald trump alitutukana waafrika lkn mm nikiyaangalia naona kama ni ukweli mtupu kabisa....anasema tumekalia Almas,dhahabu na aina zote za madini lkn bado sisi n maskini na tunaishia kugombana na kuuana sisi kwa sisi kisa Mali asilia hii,tatzo liko wapi wakubwa zangu..mm ndio naanza kukua na kuona Africa jinsi ilivyo..najiuliza kama hawa walionitangulia hawajaweza kutengeneza chochote kile hii inamaanisha sisi ni wa kuzaliwa,kukua,kuoa/kuolewa,kuzaa na kufa tu au??
Au sisi ni zao LA laana (mtanisamehe hapa) maana hamna mchango naoona uliotokana na waafrika ktk kuhakikisha a world is at good form and peace...civil wars,hunger and starvation,poverty,poor hygiene,poor housing,poor infrastructure, political intolerance, diseases,and all forms of bad issues are within us brothers and sisters!!!! Where have we messed??
I conclude kwa Leo kwa kusema HV:A world peace can be maintained without blacks in presence but the world can't run without whites??? Why???
[emoji2] [emoji2] mwafrika itakua alikuta foreni kubwa barabarani Siku hiyo,Na Umeme kulikua hakunaMungu alimuitaga mzungu na mwafrica ili awape akili.akawaambia wawai saa kumi na mbili asubuhi.mzungu kaja mda wa saa kumi na mbili asubuhi,mwafrica kaja saa nne asubuhi.nafkiri jibu umelipata
Umenea vema....n ukweli kabisa...wachina ktk list ya watu wagunduzi hawamo kabisa ila wao n wez wakubwa wa technoljia ...kitu cha kushangaza cc tumeshindwa hata kuiba etWatu watambishia mleta mada kwa kiasi fulani lakini ukweli utabaki pale pale akili ya mweusi na mweupe nj tofauti tena kubwa sana wakuu ata kuiga na kutengeneza hatuwezi mbona wachina wanaiga technology za wengine na wanafanikwa kutengeza vya kwao kwa kuiga au kuiba technolojia? Sisi hapana aisee kuna kitu sio bure.