Je! Mungu ni yule yule?

Kiranga, Jina laki linatumiwa katika waabuduo miwili kwani wao husadiki kuwa Kiranga ni muweza mke japo wanamtofautisha na Mungu. Alama

uitumiayo kama utambulisho huenda yaonyesha Kiranga aonaye. Utasadikiwa kubadili imani za watu juu ya Mungu endapo utawezawathibitishia vyanzo vya viumbe. Mfano mahusiano ya mwili na utashi na kwa nn vinatenhana (kifo) na utengano huo hupelekea nn na nini kinafuata.
 
Mpeni majibu ya maswali yake sio nnaaza kufarijiana
Ngoja nikuambie kitu kimja ili wakati mwingine usije kujisumbua kuni quote....

Yaani kwangu wewe ni kilaza na post zako huwa nazi ignore tu....

Kwa maana hiyo usije kujisumbua ku quote hata hii hapa maana nitakuona una matatizo zaidi ya ambayo umeshaji expose hapa....

Ni bora ukaonesha angalau unaelewa hata maandishi machache kama haya....
 
Unaweza ukaona mimi ni kilaza kutokana na ufinyu wako wa kufikiri!
Lakini hata siku moja siwezi kufikia ukilaza wako na wa huyo mungu uliyeshindwa kumtetea.
Sababu kushindwa kwako kujibu maswali ya kiranga ndio kumekuchanganya mpaka kuandika uliyoyaandika
 
Eiyer said:
Ulichoki quote umekisoma/
Huwa nasema kila siku hapa,huwezi kuamini bila kuwa na sababu.

Unapoamini Mungu,lazima uwe na sababu iliyokufanya uamini

Kuwa na hoja ya kutetea unachoamini,ni hatua ya kwanza ya uthibitisho

Sasa leteni sababu/hoja zinazo-support imani yenu

Kisha na sisi tutawapa sababu zilizotufanya tukatae hizo hoja au sababu zenu za kuamini uwepo wa Mungu

Mtashindwa na hapo?
Hishakiye1 said:
Kiranga, Jina laki linatumiwa katika waabuduo miwili kwani wao husadiki kuwa Kiranga ni muweza mke japo wanamtofautisha na Mungu.
Hiki ni kiswahili?😀😀

cc😡Jimena
Alama
uitumiayo kama utambulisho huenda yaonyesha Kiranga aonaye. Utasadikiwa kubadili imani za watu juu ya Mungu
Hapo sijaelewa.
endapo utawezawathibitishiavyanzo vya viumbe. Mfano mahusiano ya mwili na utashi na kwa nn vinate (kifo)na utengano huo hupelekea nn na nini kinafuata.
Sayansi ina majibu sahihi ya hayo maswali uliyouliza

Lakini hatuwezi kukujibu hapa
 
Huwa nasema kila siku hapa,huwezi kuamini bila kuwa na sababu.

Unapoamini Mungu,lazima uwe na sababu iliyokufanya uamini
Ni kweli kabisa na sababu zipo milioni nyingi tu....
Kuwa na hoja ya kutetea unachoamini,ni hatua ya kwanza ya uthibitisho
Inawezekana unauliza kitu ambacho hujajua nini tofauti yake....

Unataka ushahidi au uthibitiosho?
Sasa leteni sababu/hoja zinazo-support imani yenu
Nitakupa,jibu kwanza hilo swali hapo juu....
Kisha na sisi tutawapa sababu zilizotufanya tukatae hizo hoja au sababu zenu za kuamini uwepo wa Mungu
Sawa......
Mtashindwa na hapo?
Hakuna aliyeshindwa cochote,tujadili hili hapa hapa.....
 
Eiyer said:
Inawezekana unauliza kitu ambacho hujajua nini tofauti yake....

Unataka ushahidi au uthibitiosho?
Kwenye bandiko langu hapo juu,umeona neno ushaidi?

Sitaki ushaidi wala uthibitisho,nataka sababu zinazowafanya muamini uwepo wa Mungu

Na hoja zinazotetea imani yenu.

Kuthibitisha unachoamini na kuwa na sababu ya kuamini ni vitu viwili tofauti.

Haya lete hizo sababu
 
Ok....

Mntiki inakataa vitu kuwepo from no where....

Kwasababu hiyo kuna mwanzilishi/kianzilishi......
 
Eiyer said:
Ok...

Mntiki inakataa vitu kuwepo from no where
Hizo sentensi umeziandika wewe,usije kuzikataa

Na mimi nitazitumia hizo hizo

Kwasababu hiyo kuna mwanzilishi/kianzilishi......
Zile sentensi zako hapo juu,

Si tu zinakataa kitu kutokuwa na chanzo/exists out of blue,pia zinakataa kitu kuwa na mwanzilishi

Kama kila kitu lazima kiwe na chanzo,Je kipi ni chanzo cha mwanzilishi wa kwanza?

Kama ulimwengu unamuhitaji Mungu[Mwanzilishi]

Na hata Mungu mwenyewe anahitaji mwanzilishi

Na kama Mungu haitaji mwanzilishi

Kwanini ulimwengu unatakiwa uwe na mwanzilishi?

Kusema Mungu hana mwanzilishi
[Hana mwanzo wala mwisho]

Ni sawa na kusema,Mungu katokea from no where,kinyume kabisa na zile sentensi zako hapo juu.

Kama sheria za mantiki zinakataa vitu kuwepo from no where/kutokea bila chanzo

Je,chanzo cha Mungu ni kipi?
[Nijibu tuendelee na mjadala]
 
Nilijua tu utakuja huku na utajiona umeweka hoja ya msingi sana.....

Huku tutafika tu na kuna majibu mujarabu wa hili suala lako,lakini kabla ya kufika huko,kwanza tulimalize hili la kuwepo mwanzilishi wa kila tunachokiona na tusichokiona hapa ulimwenguni,je unakubaliana na mimi kwamba kukubali kuwa kuna mambo au vitu vipo tu from no where ni kinyume na mantiki?

Yaani anaeweza kukubali kwamba ajali inaweza ikatokea tu bila kuwa na sababu ni kichaa peke yake lakini mtu anae reason hawezi?

Tukubaliane kwanza hapo kisha tuendelee.......
 
Kwa nini unakwepa kujibu simply kama unaweza kuthibitisha au huwezi na unarukia gymnastics?
Bdo hujajibu nilichokuuliza....

Naona unaruka ruka kama mahindi kwenye kikaango....
 
Hebu tuondokee hapa na kukariri kwako.
Nyie kazi yote mnayoifanya hapa duniani malipo yenu ni kuimba na kusifu tu huko mbinguni...
Si bora mle bata tu kabisa..
Nasoma post zako nimekudharau jumla
 
Yaliyo ya sirini niyake MUNGU, na aliyo tufunilia ndio yetu na ndio inatupasa tuyajadili. Kumb 29:29
 
Wewe sijui kama umenielewa

Hivi umeelewa nilichoandika kweli?

Kama ungenielewa usingeuliza hilo swali maana nimeshalijibu.

Kila kitu lazima kiwe na chanzo
 
y
Yaliyo ya sirini niyake MUNGU, na aliyo tufunilia ndio yetu na ndio inatupasa tuyajadili. Kumb 29:29

niyapi hayo tuliyo funuliwa mkuu, em funguka kidogo tunufaike nasi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…