einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
Wewe kiswahili hujui?Unaposema hutaki kuamini unataka kuelewa una maanisha nini?
Hapo hujaelewa nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kiswahili hujui?Unaposema hutaki kuamini unataka kuelewa una maanisha nini?
Elezea wewe hapo ili ujue ni nini sijaelewa.Wewe kiswahili hujui?
Hapo hujaelewa nini sasa?
Ulichoki quote umekisoma?Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Jibu "Naweza" au "Siwezi".
Ngoja nikuambie kitu kimja ili wakati mwingine usije kujisumbua kuni quote....Mpeni majibu ya maswali yake sio nnaaza kufarijiana
Unaweza ukaona mimi ni kilaza kutokana na ufinyu wako wa kufikiri!Ngoja nikuambie kitu kimja ili wakati mwingine usije kujisumbua kuni quote....
Yaani kwangu wewe ni kilaza na post zako huwa nazi ignore tu....
Kwa maana hiyo usije kujisumbua ku quote hata hii hapa maana nitakuona una matatizo zaidi ya ambayo umeshaji expose hapa....
Ni bora ukaonesha angalau unaelewa hata maandishi machache kama haya....
Huwa nasema kila siku hapa,huwezi kuamini bila kuwa na sababu.Eiyer said:Ulichoki quote umekisoma/
Hiki ni kiswahili?😀😀Hishakiye1 said:Kiranga, Jina laki linatumiwa katika waabuduo miwili kwani wao husadiki kuwa Kiranga ni muweza mke japo wanamtofautisha na Mungu.
Hapo sijaelewa.Alama
uitumiayo kama utambulisho huenda yaonyesha Kiranga aonaye. Utasadikiwa kubadili imani za watu juu ya Mungu
Sayansi ina majibu sahihi ya hayo maswali uliyoulizaendapo utawezawathibitishiavyanzo vya viumbe. Mfano mahusiano ya mwili na utashi na kwa nn vinate (kifo)na utengano huo hupelekea nn na nini kinafuata.
Ni kweli kabisa na sababu zipo milioni nyingi tu....Huwa nasema kila siku hapa,huwezi kuamini bila kuwa na sababu.
Unapoamini Mungu,lazima uwe na sababu iliyokufanya uamini
Inawezekana unauliza kitu ambacho hujajua nini tofauti yake....Kuwa na hoja ya kutetea unachoamini,ni hatua ya kwanza ya uthibitisho
Nitakupa,jibu kwanza hilo swali hapo juu....Sasa leteni sababu/hoja zinazo-support imani yenu
Sawa......Kisha na sisi tutawapa sababu zilizotufanya tukatae hizo hoja au sababu zenu za kuamini uwepo wa Mungu
Hakuna aliyeshindwa cochote,tujadili hili hapa hapa.....Mtashindwa na hapo?
Kwenye bandiko langu hapo juu,umeona neno ushaidi?Eiyer said:Inawezekana unauliza kitu ambacho hujajua nini tofauti yake....
Unataka ushahidi au uthibitiosho?
Hakuna Mungu apaswaye kuabudiwa kwa haki ila Allah!Hiyo kiarabu ukiitafsiri inasema hakuna mungu ila Allah, hapo ndio inaniacha hoi, inapinga halafu inakubali yupo...
Ok....Kwenye bandiko langu hapo juu,umeona neno ushaidi?
Sitaki ushaidi wala uthibitisho,nataka sababu zinazowafanya muamini uwepo wa Mungu
Na hoja zinazotetea imani yenu.
Kuthibitisha unachoamini na kuwa na sababu ya kuamini ni vitu viwili tofauti.
Haya lete hizo sababu
Hizo sentensi umeziandika wewe,usije kuzikataaEiyer said:Ok...
Mntiki inakataa vitu kuwepo from no where
Zile sentensi zako hapo juu,Kwasababu hiyo kuna mwanzilishi/kianzilishi......
Nilijua tu utakuja huku na utajiona umeweka hoja ya msingi sana.....Hizo sentensi umeziandika wewe,usije kuzikataa
Na mimi nitazitumia hizo hizo
Zile sentensi zako hapo juu,
Si tu zinakataa kitu kutokuwa na chanzo/exists out of blue,pia zinakataa kitu kuwa na mwanzilishi
Kama kila kitu lazima kiwe na chanzo,Je kipi ni chanzo cha mwanzilishi wa kwanza?
Kama ulimwengu unamuhitaji Mungu[Mwanzilishi]
Na hata Mungu mwenyewe anahitaji mwanzilishi
Na kama Mungu haitaji mwanzilishi
Kwanini ulimwengu unatakiwa uwe na mwanzilishi?
Kusema Mungu hana mwanzilishi
[Hana mwanzo wala mwisho]
Ni sawa na kusema,Mungu katokea from no where,kinyume kabisa na zile sentensi zako hapo juu.
Kama sheria za mantiki zinakataa vitu kuwepo from no where/kutokea bila chanzo
Je,chanzo cha Mungu ni kipi?
[Nijibu tuendelee na mjadala]
Kwa nini unakwepa kujibu simply kama unaweza kuthibitisha au huwezi na unarukia gymnastics?Ulichoki quote umekisoma?
Bdo hujajibu nilichokuuliza....Kwa nini unakwepa kujibu simply kama unaweza kuthibitisha au huwezi na unarukia gymnastics?
Nasoma post zako nimekudharau jumlaHebu tuondokee hapa na kukariri kwako.
Nyie kazi yote mnayoifanya hapa duniani malipo yenu ni kuimba na kusifu tu huko mbinguni...
Si bora mle bata tu kabisa..
Wewe sijui kama umenielewaNilijua tu utakuja huku na utajiona umeweka hoja ya msingi sana.....
Huku tutafika tu na kuna majibu mujarabu wa hili suala lako,lakini kabla ya kufika huko,kwanza tulimalize hili la kuwepo mwanzilishi wa kila tunachokiona na tusichokiona hapa ulimwenguni,je unakubaliana na mimi kwamba kukubali kuwa kuna mambo au vitu vipo tu from no where ni kinyume na mantiki?
Yaani anaeweza kukubali kwamba ajali inaweza ikatokea tu bila kuwa na sababu ni kichaa peke yake lakini mtu anae reason hawezi?
Tukubaliane kwanza hapo kisha tuendelee.......
Yaliyo ya sirini niyake MUNGU, na aliyo tufunilia ndio yetu na ndio inatupasa tuyajadili. Kumb 29:29