Hujathibitisha kwamba mungu yupo. Umepiga porojo za logical non sequitur.Uwezekana wa kuthibitishika kama mungu yupo upo ila ww huwezi sababu unatumia akili na akili ni kitu kidogo inabidi utumie kitu kikubwa zaidi ya akili kama ufahamu au unaposema i yaan mkono wangu, mguu wangu,mwili wangu hapo kuna mwili na wangu kitu gani kinachosimama badala ya hivi vyote
Kay unaishiaga tu kunicheka na wakati wa msaada sikuoni ,haha
Kuthibitisha hawatumii maneno tumia things like meditation usipokuwa tayari kujifunza hutaelewa kamwe. Talking is the repetition of what you have already know but listening you can learn something new. Mfano mungu ni your own presence yaan uwepo wako unafanya mungu awepo unaweza kujitafuta mwenyewe kwa kutumia akili?Hujathibitisha kwamba mungu yupo. Umepiga porojo za logical non sequitur.
Gibberish.Kuthibitisha hawatumii maneno tumia things like meditation usipokuwa tayari kujifunza hutaelewa kamwe. Talking is the repetition of what you have already know but listening you can learn something new. Mfano mungu ni your own presence yaan uwepo wako unafanya mungu awepo unaweza kujitafuta mwenyewe kwa kutumia akili?
Unaposema kwamba unapogain knowledge ni ushahidi kwamba mungu yupo linamaanisha kabla ya ku gain knowledge mungu alikubania.Hahahaha uncleben kwanza nilikuwa nataka ni-suggest kukusaidia ku-adopt hao watoto utakaozaa na huyo kimada wako ili kuwaondoa kwenye hiyo familia yenye mkanyanyiko hivyo, ila sister wako aka-suggest mtawatunza wenyewe kwa kuwapa elimu ahera kutoka pande zote...teh teh teh watakuwa busy sana watoto wa watu...
Kuhusu kukusaidia kwenye huu mjadala kuhusu uwepo wa Mungu, niseme tu ukweli bado sija-master jinsi ya ku-articulate argument ya uwepo wa Mungu.
Ndio ninaamini Mungu yupo.
Nilimsoma mwanasayansi mmoja alisema anaamini Mungu anaji-reveal kwetu wakati tunapo-gain knowledge na uelewa wa huu ulimwengu na vitu vilivyopo na mambo yake. Niseme tu nami pia naamini hivyo. Yani kwamba, Unapo-gain knowledge na uelewa wa jambo fulani, manake ni kwamba Mungu ameji-reveal kwako. Kwa hiyo kila binadamu ana kiwango chake ambacho Mungu ameji-reveal kwake, na hii processes ni kidogo kidogo na ni on going...
Tatizo linakuja pale binadamu anapo-gain hiyo knowlege na kutotaka ku appreciate na kumu-aknowledge Mungu kwamba ndio nguvu iliyo behind hiyo specific knowlege na matokeo yake huyo mtu anashindwa kui-respect ile knowledge aliyo nayo, na ndio hapo Mungu anapogota kuji-reveal, kwasababu kwa binadamu kama huyo, hiyo knowledge itakwenda kutumika kinyume na ilivyokusudiwa... Kwa hiyo naamini Mungu yupo na anaji-reveal kwetu kwa kiasi tunavyotumia utashi wetu kutambua na kuelewa huu ulimwengu na mambo yake, na pale tunapo respect huo uelewa tulioupata ni kwamba tume m-respect Mungu naye anazidi kutupa uelewa zaidi i.e. anazidi kuji-reveal kwetu zaidi....
Tuchukue ule mfano ulioutoa hapo nyuma, mtu anakuwa na uwezo wa kutambua na kuelewa kuwa mziki hauna rangi na kwamba duara halina harufu... lakini katika quest ya kumtambua Mungu kwa articulation yangu, shida inakuja pale anaposhindwa kuwa na uwezo wa ku-apreciate "in awe" hiyo 'wonder and complexity' ya uwezo wake wa kuona+kutambua, na kunusa+kutambua, kwamba umetokana na Mungu/nguvu ambayo ipo juu yake... anachofanya ni anaikana hiyo nguvu/Mungu, kwamba haipo na wakati imeshaanza kuji-reveal kwake, kwasabau tu anataka aipangie perfection kwa standard zake yeye mwenyewe alizojiwekea kama binadamu za mema na mabaya...anajisahau kwamba bado yuko kwenye quest ya kuitambua hiyo nguvu kwa hiyo kuanza kui-criticise kwamba kwanini imeruhusu zuri hili au baya hili, haisaidii kwasababu bado yupo kwenye journey ya kuitambua, na kama atafanikiwa kufika mwisho wa hiyo safari basi labda atapata majibu ya maswali yake yote na nafikiri anaweza hata akawa amekuwa na uwezo sawa na hiyo nguvu/Mungu...teh teh teh...au hata kujikuta yeye ndie Mungu.
Uncleben, hivi kwenye vitabu vitakatifu si imeandikwa kwamba uwezo wa kujua mema na mabaya alikuwa anabaki nao Mungu tu? Sisi tulikuwa tunatakiwa tupete tu kimaisha, hatukuhitaji kujua mema wala mabaya, ilikuwa sio kazi yetu, Mungu mwenyewe ndiye ange deal na issue ya mema na mabaya...
...alafu uncleben, rafiki zako wakija na issue za kuthibitisha mie siiipo...teh teh teh...
Mimi kama mimi, ninapopata uelewa wa jambo fulani, hapo nimejithibitishia Mungu yupo ndio maana kukawa na jambo la kuelewa at first place.
Habar za siku ndugu Kiranga naona bado uko nao hao jamaa.Nilikuwa busy sasa nitakuwa available humu jf kwa sasa.Unaposema kwamba unapogain knowledge ni ushahidi kwamba mungu yupo linamaanisha kabla ya ku gain knowledge mungu alikubania.
Maana yake mungu mchoyo.
Uchoyo si tabia ya kiungu.
Unajichanganya.
Unaposema kwamba unapogain knowledge ni ushahidi kwamba mungu yupo linamaanisha kabla ya ku gain knowledge mungu alikubania.

Nimejichanganya nini, wapi nimesema kabla ya kugain hiyo knowlege, ulikuwa nayo au haukuwa nayo, na kwamba ni mpaka Mungu aseme!?
Wewe ndie unaleta issue ya ugawaji...
...hivi mpaka sasa umeshajua wewe kama ulivyo hapo, umekuwepo vipi hapa? umeshajua whether ulijileta mwenyewe au kuna "chochote" kile kingine kilicho behind uwepo wako... Kwanini usijikite kwanza kuedelea kutafuta nini "siri/chanzo/sababu/governor/chochote" iliyopelekea uwepo wako? Kiranga, binadamu mbalimbali wako kwenye "quest" hiyo hiyo, na mwenzako anapojaribu kukuelezea kwa upande wake yeye amefikia wapi jaribu ku-respect sio lazima ukubaliane nae. Lakini sio kumpinga na wakati wewe hutoi alternative... Kama mtu anakuhubiria sio lazima ukubaliane nae... cha muhimu ni wewe kuendelea kutafuta 'whatever'... na utakapopata hiyo "whatever/chochote/nguvu/Mungu/jibu" kwa facts na kwa mtiririko ulio logically constistent... then... then...
Well, natambua kwamba at times, wengine, walioko kwenye hii quest wanategemea pia majibu/utambuzi wa quest za wengine ili wa aply kwenye safari zao wenyewe ili waweze kuendelea, hapo ndio linapokuja swala la ku respect safari na utambuzi wa wengine....
Hujajibu hoja iliyoibuliwa.Naona kazi hii inakulipa kweli ndugu Kiranga!
Uthibitisho maana yake ni nini kwanza? Maana tunaweza kuwa hatukubaliani uthibitisho maana yake ni nini na kil unachoita wewe uthibitisho wengine tukaona si uthibitisho.Atheist mnasema Mungu hayupo, mimi ninaamini yupo. Atheists wanataka uthibitisho, nawapa uthibitisho WANAUKATAA. Sasa hapo najiuliza maswali , wao hawaamini kuwa Mungu yupo lakini mimi nikiwapa sababu za uwepo wake HAWATAKI. Sasa mnataka mimi nifanyaje, nisiamini uwepo wa Mungu kama nyie, au sababu zangu hamzielewi?
Basi nipeni nyie sababu zenu zinazowafanya mfikirie kwamba Mungu hayupo, maana huwezi kusema tu hayupo bila kuwa na sababu.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.Sasa wewe utathibitishiwaje kitu ambacho haukijui?wewe unauliza chanzo cha mungu!hivi kweli wewe hicho unachosema hakipo unajua hata sifa zake kweli?ndiyo maana nilikwambia hata hayo unayoyasoma wewe ni hadithi za watu wenye kutaka uamini hivyo unavyoamini.
Inashangaza unaamini mungu ndiye chanzo halafu unaniambia nitafute chanzo cha mimi kuwepo hapa. Umeshindwa kunionyesha ni vipi mungu ni chanzo? Unaweza kuthibitisha mungu ndiye chanzo?
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Must complexity come out of even greater complexity?
Kama unajua ku respect utambuzi wa wengine, mbona hata hutaki kujibu maswali yangu au angalau kukiri kwamba huna majibu?
Haha asante sana Kay ambaye hajakuelewa hapa atakua tu na matatizo yake ,na samahani pia kwa kukuingiza kwenye majadiliano yanayoweza kukukwaza ,Hahahaha uncleben kwanza nilikuwa nataka ni-suggest kukusaidia ku-adopt hao watoto utakaozaa na huyo kimada wako ili kuwaondoa kwenye hiyo familia yenye mkanyanyiko hivyo, ila sister wako aka-suggest mtawatunza wenyewe kwa kuwapa elimu ahera kutoka pande zote...teh teh teh watakuwa busy sana watoto wa watu...
Kuhusu kukusaidia kwenye huu mjadala kuhusu uwepo wa Mungu, niseme tu ukweli bado sija-master jinsi ya ku-articulate argument ya uwepo wa Mungu.
Ndio ninaamini Mungu yupo.
Nilimsoma mwanasayansi mmoja alisema anaamini Mungu anaji-reveal kwetu wakati tunapo-gain knowledge na uelewa wa huu ulimwengu na vitu vilivyopo na mambo yake. Niseme tu nami pia naamini hivyo. Yani kwamba, Unapo-gain knowledge na uelewa wa jambo fulani, manake ni kwamba Mungu ameji-reveal kwako. Kwa hiyo kila binadamu ana kiwango chake ambacho Mungu ameji-reveal kwake, na hii processes ni kidogo kidogo na ni on going...
Tatizo linakuja pale binadamu anapo-gain hiyo knowlege na kutotaka ku appreciate na kumu-aknowledge Mungu kwamba ndio nguvu iliyo behind hiyo specific knowlege na matokeo yake huyo mtu anashindwa kui-respect ile knowledge aliyo nayo, na ndio hapo Mungu anapogota kuji-reveal, kwasababu kwa binadamu kama huyo, hiyo knowledge itakwenda kutumika kinyume na ilivyokusudiwa... Kwa hiyo naamini Mungu yupo na anaji-reveal kwetu kwa kiasi tunavyotumia utashi wetu kutambua na kuelewa huu ulimwengu na mambo yake, na pale tunapo respect huo uelewa tulioupata ni kwamba tume m-respect Mungu naye anazidi kutupa uelewa zaidi i.e. anazidi kuji-reveal kwetu zaidi....
Tuchukue ule mfano ulioutoa hapo nyuma, mtu anakuwa na uwezo wa kutambua na kuelewa kuwa mziki hauna rangi na kwamba duara halina harufu... lakini katika quest ya kumtambua Mungu kwa articulation yangu, shida inakuja pale anaposhindwa kuwa na uwezo wa ku-apreciate "in awe" hiyo 'wonder and complexity' ya uwezo wake wa kuona+kutambua, na kunusa+kutambua, kwamba umetokana na Mungu/nguvu ambayo ipo juu yake... anachofanya ni anaikana hiyo nguvu/Mungu, kwamba haipo na wakati imeshaanza kuji-reveal kwake, kwasabau tu anataka aipangie perfection kwa standard zake yeye mwenyewe alizojiwekea kama binadamu za mema na mabaya...anajisahau kwamba bado yuko kwenye quest ya kuitambua hiyo nguvu kwa hiyo kuanza kui-criticise kwamba kwanini imeruhusu zuri hili au baya hili, haisaidii kwasababu bado yupo kwenye journey ya kuitambua, na kama atafanikiwa kufika mwisho wa hiyo safari basi labda atapata majibu ya maswali yake yote na nafikiri anaweza hata akawa amekuwa na uwezo sawa na hiyo nguvu/Mungu...teh teh teh...au hata kujikuta yeye ndie Mungu.
Uncleben, hivi kwenye vitabu vitakatifu si imeandikwa kwamba uwezo wa kujua mema na mabaya alikuwa anabaki nao Mungu tu? Sisi tulikuwa tunatakiwa tupete tu kimaisha, hatukuhitaji kujua mema wala mabaya, ilikuwa sio kazi yetu, Mungu mwenyewe ndiye ange deal na issue ya mema na mabaya...
...alafu uncleben, rafiki zako wakija na issue za kuthibitisha mie siiipo...teh teh teh...
Mimi kama mimi, ninapopata uelewa wa jambo fulani, hapo nimejithibitishia Mungu yupo ndio maana kukawa na jambo la kuelewa at first place.
Haha asante sana Kay ambaye hajakuelewa hapa atakua tu na matatizo yake ,na samahani pia kwa kukuingiza kwenye majadiliano yanayoweza kukukwaza ,
Hao watoto hata upatikanaji wao sidhani kama utapata kibali mbele ya aliye tuumba ,mtu unaweza zaa matango kwa kufuru ....,nitawaleta tu na imani utakua na chumvi uwale tu kwa kachumbari , ,Hakuna kabisa kukwazika uncleben.
Mie naomba tu, kama hao watoto wataanza kutokea, uwe unawaleta kwa auntie yao wapate ku-wind down baada ya uchovu wa classes za elimu ahera... dah... hahaha