Narudia kukwambia, nimekuthibishia Mungu yupo, tatizo lake wewe ni kipofu; huelewi ninachoandika.
Hata nikikuthibitishia kwa vitendo , bado hautaweza kuamini. Mimi ni shuhuda wa mambo mengi ya ufalme wa Mungu.
1. Nimenusurika kufa mara nyingi sana lakini kwa nguvu za Mungu nipo salama. Labda Nitoe mfano mmoja, nilitekwa na Magaidi unaowasikia wanachinja watu , zaidi ya mara 2
2. Nimewahi kumuona Yesu Kristu mara tatu. Na kila siku namuona kwa kupitia visions. Ninazo taarifa nyingi sana za Ufalme wa Mungu ambazo ni ngeni masikioni mwa watu.
3. Nimewahi kumuona MWALIMU NYERERE mara moja baada ya kifo chake (2015) ; Ninaelewa vitu vingi sana kuhusu Taifa hili na siri zake ambavyo ni vigeni masikioni mwa watu. Na ni vya ukweli mtupu.
Kiufupi, I am the genuine witness of the Kingdom of God. His time is my time.