Je! Mungu ni yule yule?

Mungu akusaidie,akufungue ufahamu na kukupa maarifa ya kwamba kuamini yeye yupo sio imani potofu kamwe.Mi naishi katika uwepo wake ndo maana najua.Wewe huwezi kujua hadi uwe na utayari.
wewe ulipaswa kujibu hoja nasio kuruka ruka maswali ''' binafsi na amini uwepo wa mungu lakini haimaanishi kuwa sipaswi kuwa sikiliza wenye hoja zakutoamini uwepo wake ..kuna wakati huwa wanakuja nahoja nzuri tu fikirishi hoja ambazo watu tunaoamini uwepo wa mugu tunashindwa kuzijibu ...yatupasa tuwe tunajifnza kutafuta maarifa mapya pia tofauti na Yale ambayo tumekuwa tunafundishwa na wazazi wetu ama walimu wetu pasipo kukubali kwa utashi wetu ..yaani tume shinikizwa kujifnza
 
Sawa
 
Mi sijakuelewa kbsaaaa
 
Bible is contradicted ndio maana wazungu wamesha ikimbia siku nyingi. Wamewaachia nyie inabidi uwaelimisha na wengine manake ww umesha anza kui question. Na hapo ndio utapata ukweli kamili
 
Of course maelezo, kitu gani katika maelezo hujaelewa?

Au huelewi hata ambapo hujaelewa ni wapi?
hahaa kumbe upo online ..kwakweli mimi ni muislam lakini ukifuatilia deep kuhusu haya maswala ya dini yanatia kichefu chefu aiseee ..Mara cjui malaika ana mabawa " Mara cjui tukifa tutakwenda mbinguni ..ilahli mbingu mpka leo haijulikani ilipo
 
Upeo waki-gt hautoshi kumdadavua Mungu sababu ni utashi mdogo sana.
 
Mungu yupo ; Vithibitisho, ni Uumbaji wake, Matendo yake, Wateule wake, Ukuu wake, Sheria zake, Elimu yake, Siri zake, Upendo wake, Rehema zake, Nguvu zake, n.k
Hivyo ulivyovitaja unaviona kwa macho!!
 
Ndio ni yule yule, Jana, Leo na hata Milele.
Katika Agano la Kale alikuwa mkali ili kuwathibitishia watu kuwa yeye yupo mwenye nguvu kuliko wote.
Katika Agano Jipya, yeye ni mpole na kwakuwa kila mtu anamjua, ameleta Ujumbe wa Upendo.
Mpende Mungu na jirani yako kama nafsi yako.
Kwa jinsi hii Mungu ameupenda Ulimwengu hata amemtoa Mwanaye wa pekee ili kila amwaminiye asipotee.
Mungu ni Upendo kwa sasa.
 


Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.

Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
























Mkuu anahoja za msingi mzijibu kwa ustaarabu tu msimtukane huku hamna jibu mlililolitoa.Sasa mtumishi wa Mungu unatukana wazi tu halafu mpagani Kiranga ndio anakwambia usitukane jibu tu kistaarabu.Hapa kuna tatizo

Mjitokeze mjibu kwa hoja na akiamini ataenda kuongeza Kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…