ndio nawezaMpaka sasa.
1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Unazidi kutaja vitu vingine ambavyo huwezi kuthibitisha vipo, kama malaika.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kwa nini Mungu aumbe ulimwengu unaoruhusu maovu?
Mungu huyo ni muovu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio nawezaMpaka sasa.
1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Unazidi kutaja vitu vingine ambavyo huwezi kuthibitisha vipo, kama malaika.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kwa nini Mungu aumbe ulimwengu unaoruhusu maovu?
Mungu huyo ni muovu?
Thibitisha Mungu yupo.ndio naweza
ama kweliNi kujifariji tu.
Tunajipa majibu rahisi kwa maswali magumu ambayo hatuyajui.
Wewe kuhitaji kula tu ni uthibitisho Mungu hayupo.Ngoja niende kula nitarudi kumjibu huyo kiranga
Roho ni habari nyingine ya uzushi.Mambo ya kiroho huwezi kuyazungumzia kimwili
huyu hapa ..njooo ukutane na kichwa hiki ""Hapo katika logic umefanya kosa linaitwa non sequitur.
www.dictionary.com
non se·qui·tur
ˌnän ˈsekwədər/
noun
a conclusion or statement that does not logically follow from the previous argument or statement.
Umeunganisha premise na conclusion wakati hazina uhusiano.
Ni kama vile umesema.
1.Kila mwanamke ni mtu.
2.John Magufuli ni mtu.
3.Hivyo, John Magufuli ni mwanamke.
Tukikubali kwamba kila kitu kina mwanzo wake (nitarudi hapa kama ukiweka kwenda nami), hujathibitisha chanzo chetu ni Mungu. Umelazimisha bila kuonesha kimantiki umetokaje kwenye "kila kitu kina chanzo chake" ukafika kwenye "chanzo chetu ni Mungu".
Umeruka step na kufikia conclusion uliyoitoa hewani kama yuke aliyefikia conclusion ya "John Magufuli ni mwanamke".
Hujajibu suala la "the problem of evil".
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea?
Je, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakutaka tu?
Kama ni hivyo, je, ni kweli ana upendo wote?
Au, alitaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, lakini hakiweza tu?
Kama ni hivyo, je, ni kweli ana uwezo wote?
Mungu huyu yupo kweli au ni hadithi za mapokeo tu?
Mungu atajithibitisha mwenyewe kwa Kiranga naye atakuja humuhumu akipata neema hiyo kuja kukiri. Mtu hawezi kumtetea Mungu. Mungu hujitetea mwenyewe na hujithibitisha mwenyewe. Watumishi wa Mungu kazi yao ni kuhubiri tu Injili. Wapo watakaoamini na huenda wakawepo wasioamini kama Kiranga. Sasa huwezi kumlazimisha. Mwacheni na muombeeni kwa Mungu ampe kuamini.View attachment 714415
View attachment 714416
View attachment 714419
View attachment 714421
View attachment 714422
View attachment 714425
View attachment 714428
View attachment 714430
View attachment 714438
View attachment 714444
View attachment 714445
View attachment 714446
Mkuu anahoja za msingi mzijibu kwa ustaarabu tu msimtukane huku hamna jibu mlililolitoa.Sasa mtumishi wa Mungu unatukana wazi tu halafu mpagani Kiranga ndio anakwambia usitukane jibu tu kistaarabu.Hapa kuna tatizo
Mjitokeze mjibu kwa hoja na akiamini ataenda kuongeza Kanisa
HAHAAAA ..MKUU HAPO HAWEZI KUJIBU KITU ATAKUCHOSHA TU ...NIMEPENDA HUO UFAFANUZI ULIOUTOA HAP KWENYE HZO AYA ZA JUU ..JAMAA WEWE NI MTU HATARI SANA ...HIVI KWANINI MIMI SINA AKILI KAMA ZAKO ...MY FOOTHapo katika logic umefanya kosa linaitwa non sequitur.
www.dictionary.com
non se·qui·tur
ˌnän ˈsekwədər/
noun
a conclusion or statement that does not logically follow from the previous argument or statement.
Umeunganisha premise na conclusion wakati hazina uhusiano.
Ni kama vile umesema.
1.Kila mwanamke ni mtu.
2.John Magufuli ni mtu.
3.Hivyo, John Magufuli ni mwanamke.
Tukikubali kwamba kila kitu kina mwanzo wake (nitarudi hapa kama ukiweka kwenda nami), hujathibitisha chanzo chetu ni Mungu. Umelazimisha bila kuonesha kimantiki umetokaje kwenye "kila kitu kina chanzo chake" ukafika kwenye "chanzo chetu ni Mungu".
Umeruka step na kufikia conclusion uliyoitoa hewani kama yuke aliyefikia conclusion ya "John Magufuli ni mwanamke".
Hujajibu suala la "the problem of evil".
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea?
Je, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakutaka tu?
Kama ni hivyo, je, ni kweli ana upendo wote?
Au, alitaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, lakini hakiweza tu?
Kama ni hivyo, je, ni kweli ana uwezo wote?
Mungu huyu yupo kweli au ni hadithi za mapokeo tu?
kiranga katoa hoja anatka uthibitishe kwanza kama Mungu yupo wewe waanza blaaahaa blaaaahh mahubiri kibao ..hivi ndivyo mlivyo fundishwa namna ya kujibu hoja....huyu Jamaa sio size yko mkuu utakimbia bure ..sio kila hoja nilazime muwe mnajibu nyingine kimo chake cha kufikiri hamkiwezi zina kina kirefu ....Mungu atajithibitisha mwenyewe kwa Kiranga naye atakuja humuhumu akipata neema hiyo kuja kukiri. Mtu hawezi kumtetea Mungu. Mungu hujitetea mwenyewe na hujithibitisha mwenyewe. Watumishi wa Mungu kazi yao ni kuhubiri tu Injili. Wapo watakaoamini na huenda wakawepo wasioamini kama Kiranga. Sasa huwezi kumlazimisha. Mwacheni na muombeeni kwa Mungu ampe kuamini.
hahaha ngoja nianze mm kutoka mbio [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]huyu hapa ..njooo ukutane na kichwa hiki ""
halafu hao wanaojifnya wafia dini nao waite tuone kama hawajaacha kivuli humu "" lazima watoke mbio Mr Miller
Hivi kwann mwapenda kuchuma dhambi ya uongo kirahisi tu.Me japo ni MROMA ila hoja za Kiranga siziwezi kuzijibu.Huwa natulia nasubiri wataalamu waje kujibu ila nao wanakuja kusema amini tu yupo
the most high and powerful holy spirit than all of ours ,,,,,he is the uniting holy spirit from the all others difference spirits ,,he is the centre of peaceThibitisha Mungu yupo.
Huu si uthibitisho. Haya ni mahubiri.the most high and powerful holy spirit than all of ours ,,,,,he is the uniting holy spirit from the all others difference spirits ,,he is the centre of peace
Kuliko kusema ww ni Muislim (unaamin ktk Mungu) hafu huku unamkana na kusema hayupo/una mashaka nae kua hayupo bora uache tu Kua Muislamkiranga katoa hoja anatka uthibitishe kwanza kama Mungu yupo wewe waanza blaaahaa blaaaahh mahubiri kibao ..hivi ndivyo mlivyo fundishwa namna ya kujibu hoja....huyu Jamaa sio size yko mkuu utakimbia bure ..sio kila hoja nilazime muwe mnajibu nyingine kimo chake cha kufikiri hamkiwezi zina kina kirefu ....
hahaaa wewe tulia kaa pembeni uone watu wanavyo zikana wenyewe hoja zao mkuu ""hahaha ngoja nianze mm kutoka mbio [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]