Je! Mungu ni yule yule?

Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Unazidi kutaja vitu vingine ambavyo huwezi kuthibitisha vipo, kama malaika.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kwa nini Mungu aumbe ulimwengu unaoruhusu maovu?

Mungu huyo ni muovu?
ndio naweza
 
Ngoja niende kula nitarudi kumjibu huyo kiranga
Wewe kuhitaji kula tu ni uthibitisho Mungu hayupo.

Kiumbe kinachohitaji kula ni kiumbe ambacho kina udhaifu na upungufu.

Mnasema Mungu ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.

Mungu wa aina hiyo kuumba kiumbe chenye udhaifu na upungufu hivyo haiyumkiniki.

Lakini tunaona unahitaji kula na usipokula unafariki.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
huyu hapa ..njooo ukutane na kichwa hiki ""
halafu hao wanaojifnya wafia dini nao waite tuone kama hawajaacha kivuli humu "" lazima watoke mbio Mr Miller
 
Mungu atajithibitisha mwenyewe kwa Kiranga naye atakuja humuhumu akipata neema hiyo kuja kukiri. Mtu hawezi kumtetea Mungu. Mungu hujitetea mwenyewe na hujithibitisha mwenyewe. Watumishi wa Mungu kazi yao ni kuhubiri tu Injili. Wapo watakaoamini na huenda wakawepo wasioamini kama Kiranga. Sasa huwezi kumlazimisha. Mwacheni na muombeeni kwa Mungu ampe kuamini.
 
HAHAAAA ..MKUU HAPO HAWEZI KUJIBU KITU ATAKUCHOSHA TU ...NIMEPENDA HUO UFAFANUZI ULIOUTOA HAP KWENYE HZO AYA ZA JUU ..JAMAA WEWE NI MTU HATARI SANA ...HIVI KWANINI MIMI SINA AKILI KAMA ZAKO ...MY FOOT
 
kiranga katoa hoja anatka uthibitishe kwanza kama Mungu yupo wewe waanza blaaahaa blaaaahh mahubiri kibao ..hivi ndivyo mlivyo fundishwa namna ya kujibu hoja....huyu Jamaa sio size yko mkuu utakimbia bure ..sio kila hoja nilazime muwe mnajibu nyingine kimo chake cha kufikiri hamkiwezi zina kina kirefu ....
 
huyu hapa ..njooo ukutane na kichwa hiki ""
halafu hao wanaojifnya wafia dini nao waite tuone kama hawajaacha kivuli humu "" lazima watoke mbio Mr Miller
hahaha ngoja nianze mm kutoka mbio [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]
 
Me japo ni MROMA ila hoja za Kiranga siziwezi kuzijibu.Huwa natulia nasubiri wataalamu waje kujibu ila nao wanakuja kusema amini tu yupo
Hivi kwann mwapenda kuchuma dhambi ya uongo kirahisi tu.
Toka lini mtu aitwaye HAJI / AL KHAJI akawa Mroma au ulimaanisha utaifaa (Exactly ulimaanisha Roman Catholic)
Yaonesha unaupenda u katoriki basi tu ILA mudi huko aliko anahudhunika sana kumkana hadharani..
Anyway nisikuandame sana Labda Umeslimu
 
mmmh ngoja nipite tu mana cna hoja mi najua kusali tu
 
kumthibitishia Kiranga kuwa Mungu yupo ni sawa na kutuaminisha wengine kuwa Bob Magogo ana nia njema na nchi hii!
 
the most high and powerful holy spirit than all of ours ,,,,,he is the uniting holy spirit from the all others difference spirits ,,he is the centre of peace
Huu si uthibitisho. Haya ni mahubiri.

Sijasema nataka mahubiri.

Nimeomba uthibitisho.
 
Kuliko kusema ww ni Muislim (unaamin ktk Mungu) hafu huku unamkana na kusema hayupo/una mashaka nae kua hayupo bora uache tu Kua Muislam
 
hahaha ngoja nianze mm kutoka mbio [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]
hahaaa wewe tulia kaa pembeni uone watu wanavyo zikana wenyewe hoja zao mkuu ""

mimi na wewe maamuma ngoja tuwaache wajuvi wa hizi kazi...nikiona hawaelewi na muita na newton aje hapa.."" lazima waache unyayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…