Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Mnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.

Mnasema Mungu anajithibitisha mwenyewe.

Kuna wanaosema yupo, apparently amejithibitisha kwao.

Kuna tunaokataa. Hajajithibitisha kwetu.

Inakuwaje Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, awapendelee wengine kwa kujithibitisha kwao, halafu wengine atutuoe, asijithibitishe kwetu?

Tukikosa kumjua na kufariki na dhambi (kwa sababu hajajithibitisha kwetu), suku ya hukumu akituuliza kwa nini nyinyi mlinikana nanhamkunioenda, tykasema Mungu wewe mwenye uwezo wote, unayepanga yote, hukutuoa neema ya kujithibitisha kwetu, atasemaje?

Hivi mzazi anaweza kumnyima mtoto nafasi ya kujifunza kusoma, halafu mtoto akishindwa kujua kusoma, mzazi awe na haki ya kumuadhibu mtoto kwa sababu mtoto hajui kusima?
Hii hoja nzito mno haiwezi pingwa kirahisi
 
Hiyo SIMILE katika mfano namba 3 yadhihirisha WAZI kabisa kuwa mtoa comment ni mtu wa SHARI ....

You could have AVOIDED such ABUSIVE LANGUAGE in delivering whatever message you intended to deliver ....
Watu wanaotaka kuona shari,hata ukiwasalimia"Hello", wataona umewatukana.

Na wasiotaka shari, hata ukiwatukana, wataona hukumaanisha kutukana.

Mimi nimetumia mfano ambao utaeleweka kwa watu wote.

Wewe unaruhusiwa kuona shari ambapo haipo, ni haki yako ya kikatiba.
 
Hii hoja nzito mno haiwezi pingwa kirahisi
Ukiona watu wanavyoijibu kiwepesi wepesi tu kama huna munkariunaweza kusema hapa si sehemu saizi yangu kuendelea kujadiliana.

Sijapewa jibu la kueleweka mpaka sasa kuhusu hoja hii.
 
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea?

Je, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakutaka tu?

Kama ni hivyo, je, ni kweli ana upendo wote?

Au, alitaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, lakini hakiweza tu?

Kama ni hivyo, je, ni kweli ana uwezo wote?
Deism is the belief that one God exists and created the world, but that the Creator does/do not alter the original plan for the universe, but presides over it in the form of Providence.
Deism typically rejects supernatural events (such as prophecies, miracles, and divine revelations) prominent in organized religion. Instead, Deism holds that religious beliefs must be founded on human reason and observed features of the natural world, and that these sources reveal the existence of a supreme being as creator.
 
Sasa mtu mwenyewe haamini kama Mungu yupo so nimjibu nini?
Mjibu kuwa Mungu yupo na amejidhihirisha sehemu kadhaa na usubiri maswali yake juu ya utakachomthibitishia na kama atakuwa ameelewa vema ataamini.
 
Deism is the belief that one God exists and created the world, but that the Creator does/do not alter the original plan for the universe, but presides over it in the form of Providence.
Deism typically rejects supernatural events (such as prophecies, miracles, and divine revelations) prominent in organized religion. Instead, Deism holds that religious beliefs must be founded on human reason and observed features of the natural world, and that these sources reveal the existence of a supreme being as creator.
There is no proof that such a God exists.

Now for human affairs to be organized by reason, no God at all is needed.
 
Sasa mtu mwenyewe haamini kama Mungu yupo so nimjibu nini?
jibu kuwa Mungu yupo na utoe referance sahihi zinazothibitisha huo uwepo wke ..nasio uanze kutoa mahubiri ambayo wenzako wameshayatoa na mwisho wasiku imeonekana kuwa hawana hoja za maana ...haya mwaga nondo hizo mkuu
 
HAKUNA ANAYEWEZA KUMJIBU KIRANGA HOJA ZAKE ....WOTE WANAOJARIBU KUZIJIBU WAMEKUWA WANAISHIA KUONGEA BLAAA BLAA TU "''Jamaa ana maswali mazito mtu ambayo mtu mwenye upeo mdogo hawezi kung'amua kitu
Mapadri wa kanisa katoliki wanaweza kumjibu ila asiwe mbishi tuu
 
Sasa mtu mwenyewe haamini kama Mungu yupo so nimjibu nini?
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Kuamini hata mimi naweza kukuambia mimi Mungu,ukaamini.

Je, kuamini kwakokutanifanya mimi niwe Mungu? Hasha.

Lakini, anayetaka kujua, kwa uchunguzi, anataka zaidi ya kuamini.

Kwa nini jambo muhimukama hili, linaloongoza maisha ya watu, unataka kulipa majibu rahisi tu ya kuamini?

Nikikwambia mimi ni Mungu nipe mshahara wako wote kila mwezi utaamini?
 
Kama Mungu hayupo hata hiyo siku ya mwisho ni hadithi tu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Na Mungu mnayemsema ni wa haki itakuwaje ahukumu watu bila hata kuwasikiliza utetezi wao?
Kwa hiyo siku ukifariki kiongozi utazikwa vp?? hakutakua na mapambio, Ibada, sala, dua, ?

Note: sikuombei ufariki.. misimamo yako na fikra zako zimenifanya niwaze hivo.
 
Hapana. Unapoprove kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 hutumii mlango wowote mmoja wa fahamu kati ya mitano.

Unatumia logic iliyo akilini.

Unafanya "proof by contradiction".

Proof hiyo hiyo inatumika kuonesha Mungu hayupo.

Ndiyo maana sijauliza uthibitishobwa kuwepo kwa Mungubkwa kutaka.

1. Nione picha yake anaonekamaje.
2. Nimguse nijue ana feel vipi.
3. Nimnuse nijue ananukiaje.
4. Nimlambe nijue taste yake ikoje.
5. Nisikie sauti yake inasikikaje.

Sasa mtu kama mimi niliyeomba logical explanation, utaniwekaje kwenye kundi la materialists wanaotaka kujua mambo kwa five senses?

Nikikwambia kuna pembetatu yenye pembe sita ambayo huwezi kuijua kwa five senses, utakubali?
hahaaaa .....@dead body
 
mpka hapa niwazi umeshindwa kuthibitisha kuwa Mungu yupo ..una amino vitabu ambavyo vinetungwa na watu kama wewe ..tena wakati wanatunga hata hukuwapo unajuaje kama hawakuvifanyia editing nakuingiza maneno ambayo waliyapendekeza wao wenyew "" ninani ambaye alikuwa nishuhuda akiona roho mtakatifu akiwaa hadithia hizo habari hao ambao walioziandika ..!?? tuwe tunajipa muda wakujifanyia tafakuri aiseee ...sipingi uwepo wa Mungu "" lakini naamini sio huyu aliyetajwa ktika hvi vitabu vyetu. Mungu wa kwenye hivi vitabu amejaa udahifu mnoo ..tunaambiwa kuwa NI Mungu anaye tupenda hapo hapo anawaacha watu wanakufa kwa vimbunga.. matetemeko ..wanaokufa wanaacha mayatima na wajane wasio jua hatima ya maisha yao ..matokeo take wanaishi kwa mateso na manyanyaso huku Mungu anayetupnda na muweza wa yote akiwatizima tu "" huyu Mungu anaye tupenda na muweza wa yote anashindwa vipi kuondoa uwepo wa ISIS KULE SYRIA ..KWANINI ASIIFNYE CONGO IWE NA AMANI ..HUYU MUNGU ANASHINDWA NINI KUWAONDOA BOKO HARAMU NIGERIA ..kama hayo bado yanafanyika huku tunaamini kuwa Mungu yupo na anatupnda ..nitakuwa siko sahihi endapo nikihoji huo upendo na uwezo wa yote alionao dhidi Yetu ....
Mkuu nimeleta mada ya MUNGU, DINI NA IMANI but mods wameihamisha seems wameipeleka jukwaa la Dini lkini kifupi kuna nadharia inaitwa DEISM hii ina aamini Mungu yupo lakini nguvu za huyu Mungu ziliisha/zimelingana na ulimwengu alioutengeneza kiasi kwamba sasa hivi hana uwezo wa kubadili chochote zaidi ya kuangalia creation zake!..
Pia kuna nadharia ya PANTHEISM hii yenyewe inaamini Muumbaji na Uumbaji wake ni kitu kimoja ambacho hakiwezi tenganishwa hapa namaanisha MOTHER NATURE ndio MUUMBAJI wetu!.
Au kuna ile ingine ya AUTOTHEISM yenyewe inaamini kila mtu ana uungu ndani yake ni just kuufikia ukifata njia fulani, nazani hapa watu wa meditation wanahusika!.
All in all asijitokeze mtu akasema hizo ni nadharia tu nitamuuliza swali ashindwe lijibu na kusababisha niharibu Imani yangu
Ukiniuliza Nitafata DEISM simple, clear and understandable!
- wick
 
Shukurani kwa kuelewa.

Tena ukifikiria sana, utaona kwamba mfano wako wa rais una mantiki sana.

Kwa sababu dhana ya Mungu imeendana sana na dhana ya mamlaka ya serikali. Watu waliotawala walipotaka kuwalainisha waliotawaliwa wakubali kutawaliwa waliunganisha utawala na dini.

Ndiyo maana mpaka leo falme kama za Uingereza mfalme/ malkia ni mkuu wa kanisa.

Vatican Papa ni head of state.

Hata huku kwetu, hata watu ambao walikuwa kanisani hawakanyagi, kanisa lao Palm Beach Hotel na komunio yao ni Scotch Whisky, walipopata urais wakageuka wacha Mungu kila Jumapili wapo St. immaculata pale Upanga. Halafu walipomaliza urais wakaishia hatuwaoni tena.

Falme za kale za China, Misri, Ubabeli, Persia, Mesopotamia mpaka ufalme wa Ufaransa wa Ancien Regime, zote zilisema zina "mandate of heaven". Kwamba ni falme zilizowekwa na Mungu. Ukizipinga unampinga Mungu.

Watu wakaonewa lakini wakaogooa kupinga kwa sababu wanamuogooa Mungu. Ambaye hayupo. Kasemwa tu na wafalme ili wafalme wapate unafuu kutawala bila fujo.

Sasa katika muktadha kama huo, mfalme anaweza kusema kiandikwe kitabu kitakachosema asiyeamini Mungu ni mpumbavu. Halafu watu wakaogopa kuitwa wapumbavu.

Na katika uoga huo ndipo wanapogeuka wapumbavu kweli.

Wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa upumbavu wenyewe.
aiseeee ....wewe jamaa ni conscious sana aiseee ..tatizo unatoa elimu kubwa elimu ya Uproffesor kwa wanafunzi wa Madrasa ...hawawezi kukuelewa
 
Back
Top Bottom