Je! Mungu ni yule yule?

Hii hoja nzito mno haiwezi pingwa kirahisi
 
Hiyo SIMILE katika mfano namba 3 yadhihirisha WAZI kabisa kuwa mtoa comment ni mtu wa SHARI ....

You could have AVOIDED such ABUSIVE LANGUAGE in delivering whatever message you intended to deliver ....
Watu wanaotaka kuona shari,hata ukiwasalimia"Hello", wataona umewatukana.

Na wasiotaka shari, hata ukiwatukana, wataona hukumaanisha kutukana.

Mimi nimetumia mfano ambao utaeleweka kwa watu wote.

Wewe unaruhusiwa kuona shari ambapo haipo, ni haki yako ya kikatiba.
 
Hii hoja nzito mno haiwezi pingwa kirahisi
Ukiona watu wanavyoijibu kiwepesi wepesi tu kama huna munkariunaweza kusema hapa si sehemu saizi yangu kuendelea kujadiliana.

Sijapewa jibu la kueleweka mpaka sasa kuhusu hoja hii.
 
Deism is the belief that one God exists and created the world, but that the Creator does/do not alter the original plan for the universe, but presides over it in the form of Providence.
Deism typically rejects supernatural events (such as prophecies, miracles, and divine revelations) prominent in organized religion. Instead, Deism holds that religious beliefs must be founded on human reason and observed features of the natural world, and that these sources reveal the existence of a supreme being as creator.
 
Sasa mtu mwenyewe haamini kama Mungu yupo so nimjibu nini?
Mjibu kuwa Mungu yupo na amejidhihirisha sehemu kadhaa na usubiri maswali yake juu ya utakachomthibitishia na kama atakuwa ameelewa vema ataamini.
 
There is no proof that such a God exists.

Now for human affairs to be organized by reason, no God at all is needed.
 
Sasa mtu mwenyewe haamini kama Mungu yupo so nimjibu nini?
jibu kuwa Mungu yupo na utoe referance sahihi zinazothibitisha huo uwepo wke ..nasio uanze kutoa mahubiri ambayo wenzako wameshayatoa na mwisho wasiku imeonekana kuwa hawana hoja za maana ...haya mwaga nondo hizo mkuu
 
HAKUNA ANAYEWEZA KUMJIBU KIRANGA HOJA ZAKE ....WOTE WANAOJARIBU KUZIJIBU WAMEKUWA WANAISHIA KUONGEA BLAAA BLAA TU "''Jamaa ana maswali mazito mtu ambayo mtu mwenye upeo mdogo hawezi kung'amua kitu
Mapadri wa kanisa katoliki wanaweza kumjibu ila asiwe mbishi tuu
 
Sasa mtu mwenyewe haamini kama Mungu yupo so nimjibu nini?
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Kuamini hata mimi naweza kukuambia mimi Mungu,ukaamini.

Je, kuamini kwakokutanifanya mimi niwe Mungu? Hasha.

Lakini, anayetaka kujua, kwa uchunguzi, anataka zaidi ya kuamini.

Kwa nini jambo muhimukama hili, linaloongoza maisha ya watu, unataka kulipa majibu rahisi tu ya kuamini?

Nikikwambia mimi ni Mungu nipe mshahara wako wote kila mwezi utaamini?
 
Kama Mungu hayupo hata hiyo siku ya mwisho ni hadithi tu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Na Mungu mnayemsema ni wa haki itakuwaje ahukumu watu bila hata kuwasikiliza utetezi wao?
Kwa hiyo siku ukifariki kiongozi utazikwa vp?? hakutakua na mapambio, Ibada, sala, dua, ?

Note: sikuombei ufariki.. misimamo yako na fikra zako zimenifanya niwaze hivo.
 
hahaaaa .....@dead body
 
Mkuu nimeleta mada ya MUNGU, DINI NA IMANI but mods wameihamisha seems wameipeleka jukwaa la Dini lkini kifupi kuna nadharia inaitwa DEISM hii ina aamini Mungu yupo lakini nguvu za huyu Mungu ziliisha/zimelingana na ulimwengu alioutengeneza kiasi kwamba sasa hivi hana uwezo wa kubadili chochote zaidi ya kuangalia creation zake!..
Pia kuna nadharia ya PANTHEISM hii yenyewe inaamini Muumbaji na Uumbaji wake ni kitu kimoja ambacho hakiwezi tenganishwa hapa namaanisha MOTHER NATURE ndio MUUMBAJI wetu!.
Au kuna ile ingine ya AUTOTHEISM yenyewe inaamini kila mtu ana uungu ndani yake ni just kuufikia ukifata njia fulani, nazani hapa watu wa meditation wanahusika!.
All in all asijitokeze mtu akasema hizo ni nadharia tu nitamuuliza swali ashindwe lijibu na kusababisha niharibu Imani yangu
Ukiniuliza Nitafata DEISM simple, clear and understandable!
- wick
 
aiseeee ....wewe jamaa ni conscious sana aiseee ..tatizo unatoa elimu kubwa elimu ya Uproffesor kwa wanafunzi wa Madrasa ...hawawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…