Swali langu la problem of evil/suffering aliulizwa Papa Francis Ufilipino na kisichana kidogo mwaka 2015.Mapadri wa kanisa katoliki wanaweza kumjibu ila asiwe mbishi tuu
Unaweza kuzivunja lakini huna mbinu?Anavielewa sana sema atapita kimya sababu anajua siwezi vitumia effectively kumuelekeza they are complicated in such!..[emoji23]
Me nimekubali arguments za Kiranga although zipo strong but naweza zivunja lakini sina mbinu so he wins ingawa what i can't explain doesn't mean its false!.
God is the ultimate arbitrary entity.hahahah Kiranga siwezi bishana directly nachoweza ni kupangua hoja zake kwa kutumia mnyororo wa reasoning arguments kwake bible/quran are just books!..Tatizo nahangaika na mods wanirudishie Account lakini ili kumuweza kiranga usitumie Bible quotes tumia Principle of Avoiding Arbitrariness (PAA) au Principle of Avoiding Circularity (PAC).
Yupo humu humu kwa id nyingine ...kama mfuatiliaji utagundua japo kapunguza flani zile majibu "kuntu"Wlimleftisha jamaa, sidhani kama anatumia JF tena
Proof gani hiyo uliyonayo inaonesha Mungu hayupo?Hapana. Unapoprove kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 hutumii mlango wowote mmoja wa fahamu kati ya mitano.
Unatumia logic iliyo akilini.
Unafanya "proof by contradiction".
Proof hiyo hiyo inatumika kuonesha Mungu hayupo.
Ndiyo maana sijauliza uthibitishobwa kuwepo kwa Mungubkwa kutaka.
1. Nione picha yake anaonekamaje.
2. Nimguse nijue ana feel vipi.
3. Nimnuse nijue ananukiaje.
4. Nimlambe nijue taste yake ikoje.
5. Nisikie sauti yake inasikikaje.
Sasa mtu kama mimi niliyeomba logical explanation, utaniwekaje kwenye kundi la materialists wanaotaka kujua mambo kwa five senses?
Nikikwambia kuna pembetatu yenye pembe sita ambayo huwezi kuijua kwa five senses, utakubali?
Kama unakubali logic, unaelewa "proof by contradiction" ni nini.Proof gani hiyo uliyonayo inaonesha Mungu hayupo?
Hata kama unatumia logic, kuna base unayoitumia... Either umeona jambo hili, kisha ukaona lile halafu uka connect dots ukapata conclusion. Huwezi kutumia logic bila kuwa na grounds, na hizo grounds zinatokana na kile ulichokivuna kwa kuona, kusikia, kugusa, kulamba au kunusa.
So far hata wewe ku prove kutokuwepo kwa Mungu huwezi..... Lakini watu wanaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuangalia creation na mambo mengine ambayo mpaka leo sayansi imeshindwa kuyaelezea
Unaunganisha mambo mamwili ambayo hayana ulinganisho.Hivi wale mnaosema hakuna Mungu mnataka kuniambia uwepo wa dunia hii na viumbe vyote vimetokea bahati mbaya tu??? Yaani mtu una akili ya kujua mema na mabaya, unajua kuwa kuna kupenda, kuoa, kuolewa, kujamiiana, kujuta, kuchukia, kuhuzunika, kufurahi, n.k haya yote yanayotuzunguka, kunyesha mvua, tunapanda na tuna uhakika tutavuna bado tu mtu haamini kwamba kuna Mungu.??!!
Yupo...another I'd..Wlimleftisha jamaa, sidhani kama anatumia JF tena
Kwanza logic is just one among number of ways of knowing... Here I'm saying it is not an absolute means of knowingKama unakubali logic, unaelewa "proof by contradiction" ni nini.
God is said to be all knowing, all loving and all capable.
Such a loving and capable God would not create a universe in which evil and sufferring is possible. The very thought of creating that universe is against the very core being if that God.
But we see that our unuverse has sufferi g and evil.
Therefore this universe was not created by sich a God.
In fact, this universe cintradicts the existence of such a God.
There is your logical proof, by contradiction.
God does not exist.
He is a fictictious figment of an overactive imagination.
Tehteh wee nuksii!!!??? [emoji118] [emoji118] [emoji118] sio kwa kavu hilo [emoji23] [emoji23] [emoji1]huyo ameshazoea kushinda kwenye majukwaa ya umbea atajua wapi kama kuna mtu anayeitwa kiranga humu Jf ...
ungemwambia kuhusu kina shunie .mzigua90 hapo sawa
Unaunganisha mambo mamwili ambayo hayana ulinganisho.
Mtu akisema hakunaMungu, amesema hakunaMungu, hajasemaduniaimetokea kwa bahati mbaya.
Kwa nini unataka kuunganisha kwamba kusema hakuna Mungu ni kusema duniaimetokea kwa bahati mbaya?
That is a logical non sequitur.
Ni kama mtu anasema square root ya 2 si kumi, halafu ukasema "hivi hawa wanaosema square root ya 2 si kumi wanataka kusemaje kwamba square root ya 2 ni 5?".
Nani kataja 5?
Kusema square root ya 2 si 10 haimaanishi nikusema square root ya 2 ni 5.
Umetoajibu ambalohujapewa halafu ukasema umepewa.
Hilo moja.
Pili mpaka uelewe moja kwanza.
In my view that all powerfull is not there i have stated i believe in deism where it narrate God was once powerful and created the universe the set plans in-motion but now Hes not that powerfull to change anything rather He just watches His creation waiting them to come to an end.God has no beginning, has no end, is contained in no system of reason, is all powerful all loving and all capable yet he allowed evil to exist.
Ngoja nirejee notes za theodicy kama ntapatamo majibu [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]HAKUNA ANAYEWEZA KUMJIBU KIRANGA HOJA ZAKE ....WOTE WANAOJARIBU KUZIJIBU WAMEKUWA WANAISHIA KUONGEA BLAAA BLAA TU "''Jamaa ana maswali mazito mtu ambayo mtu mwenye upeo mdogo hawezi kung'amua kitu
Unataka kukataa proof ya kwamba Mungu hayupo inayotumia logic, halafu hapo hapo unataka tukubali proof yako kwamba Mungu yupo ambayo inatumia logic?Kwanza logic is just one among number of ways of knowing... Here I'm saying it is not an absolute means of knowing
Second, who says one can not prove the existence of God by logic...
Here we go....
No one has ever explaining where did the first human being come from
But now there is human being everywhere
So, where are they from
Obviously Created by a certain super force, and that force is who we call God
That is not a God my friend, that may be some Superman or Batman or King Kong or Godzilla or some very intelligent alien, but not God.In my view that all powerfull is not there i have stated i believe in deism where it narrate God was once powerful and created the universe the set plans in-motion but now Hes not that powerfull to change anything rather He just watches His creation waiting them to come to an end.