Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

hapa umenielewesha kuwa pamoja na kuweka definition ya automaton umeshindwa kujua umeweka nini. vyote ulivyoviweka hapa haviusiani na mambo ambayo mwanadamu ANAYAFANYA kwa sababu kawa PROGRAMMED na Mungu. tunapozungumzia automation hapa tunazungumzia the mind that pushes a man to CHOOSE. those faculties ambazo umezitaja hapo hazihusiani na power of choice in what is available to that man.

sasa kwa sababu umeshindwa hata kung'amua automaton ni kitu gani pamoja na kuisoma kote huko, nilikwambia huko nyuma wewe huna uwezo hata wa kugundua hata pale nitakapokuthibitishia kuwa Mungu yupo. Akili hiyo huna. unazunguka tu na realm yako iliyofungiwa kwenye logic ulizojifunza kwa kusikia kilichotokea ndani ya hii miaka 6000 ya uwepo wa dunia wakati Mungu amekuwepo tu from the eternity.

ungejua kuwa anaowaumba wana power ya kuchagua chochote within their reach katika hii miniature scenario ungefahamu kuwa Mungu si wa kulazimisha vitu vifanya kama anavyotaka ingawa anaweka matokeo ya kufanya uchaguzi huo. na hiyo ni kanuni yake ambayo hata yeye mwenyewe haivunji.

we unanichosha tu. hujui unachozungumza unaleta usiyoyajua hapa.
Swali la msingi ni hili.

Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo watu wana uwezo wa kuchagua, lakini haina matetemeko ya ardhi?

Uwezo wa mtu kuchagua mazuri na mabaya hauna uhusiano wowote na majanga ya asili kama matetemeko ya ardhi.

Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?

Hujajibu swali hili.
 
Sasa unaanza kuwa na nuru.

Bwana asema hivi katika Mwanzo 3:17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;

Hebu tafakari hayo labda utapata kitu.
 
Unaelewa kwamba hujajibu swali nililokuuliza na kama kuna swali umejibu sijauliza?

Nimekuuliza hivi.

Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?

Hujajibu swali hili.
 
Ungeweza pia kuanza na Mwanzo 1:1 ungepata picha kamili.

Sikujibu mpaka useme umeelewa nini Mwanzo 3:17.
 
Sikujibu mpaka useme umeelewa nini Mwanzo 3:17.

Mwanzo 3:17

"Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile;kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako."

Nimeelewa ulichoandika, nimeelewa argument yako iko wapi, lakini argument yako ni weak.

Mimi hupenda kufanya "immanent criticism". Kuonesha udhaifu wa jambo kwa kuanza kwa kulikubali kwanza. Halafu kulichambua kutoka ndani, mpaka unafika sehemuunaona kwamba, hata kamanikianza kwakulikubalihili jambo, nikifanya uchambuzi nakuja kuona halina mantiki.

Kwa hiyo acha nianze kwa kukukubalia, katika jitihada zangu za kukuonesha udhaifu wahoja yako ya kuwepo kwa Mungu.

Unasema Mungu yupo, na kaumba watu wana free will kwa sababu hajataka kuumba watu walio automatons.

Watu wenyewe wakaitumia free will vibaya.

Nakuuliza tena.

Huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambaofree willipolakini watu wanachagua mambo mazuri tu, kwa sababu mabaya hayajaumbwa?

Au, basi tuseme free will iwepo, mabaya na mazuri yawepo.

Lile tetemeko la ardhi linalofukia vitoto vichanga lina uhusiano gani na free will?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambaohauna tetemeko la ardhi, na watu wakawa na free will zao?

Tetemeko la ardhi linahusiana vipi na free will? Ulimwengu ambaohauna tetemekola ardhi utazuiaje free will?

Hujajibu swali hili.

Kwanini mnamkubali Mungu mnayesema ana uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote anayeua mamilioni ya watoto kwa tetemekola ardhi analoweza kulizuia, halafu mnasema watawalawa dunia hii wawajibike ICC kwa kuruhusu watu elfu kadhaa kuawa wakati watawalahao hawana nguvu zote, ujuzi wote wala upendo wote?

Hamuoni kwamba mna sloppy logic inayomkubali Mungu ambaye hayupo?
 
Mungu ninaye muelewa Mimi, He dwells in Secret places, sio kwenye public places kama huyo wa kwenu..
Contradiction ya maneno haya ndiyo huzidi kuniondolea kabisa imani dhidi ya hivi vitabu vyenu vya imani.Yaani unasema Mungu wako hukaa kwenye sehemu za siri na si sehemu za wazi.At the same time tunahubiriwa kuwa Mungu yuko mahala pote.Ama hizo public places haziko miongoni mwa mahala pote!?
 
Huyo Mungu anayekaa sehemu ya siri kamuibia nani mpaka ajifiche?

Kwa nini akae sehemu ya siri? Kukaa sehemu ya siri kunatokana na mapungufu, ni mapungufu kwenyewe kwa maana ya kukosa uhuru na kunazaa mapungufu ya kutojulikana vizuri.

Sasa huyu Mungu anayetakiwa kujulikana vizuri, watu wasipomjua watahukumiwa kwa kutomjua, halafu tunaambiwa anakaa sehemu za siri.

Kama yupo, kwenye hukumu nikiulizwa, kwa nini hujakubali Mungu yupo, kwa nini ulisema Mungu hayupo na ukamkataa, nikajibu nilisema hivyo kwa kuwa Mungu anakaa sehemu za siri na hakujidhihirisha wazi kwangu, na hivyo kama kuna makosa, makosa ni yake huyo Mungu kwa kukaa sehemu za siri na kutojidhihirisha wazi, huyo Mungu atanihukumu mimi vipi wakati yeye ndiye kaamua kukaa sehemu za siri?

Anataka tucheze kombolela kutafutana wakati anaweza kujiweka wazi kila mtu amjue bila utata wowote?

Mungu gani huyo?

Huyu Mungu yupo kweli au ni hadithi za kuungwa ungwa tu?

Mungu huyu hayupo. Angekuwepo kila mtu angemjua kwa uhakika na kusingekuwa na ubishi kwamba yupo.
 
Hakuna swali nmeshindwa kujibu mkuu, kama habari za kumthibitisha Mungu tenga Muda ni siku moja tu hutokaa kuuliza upuuzi tena. Kuhusu ufahamiu wa Mungu, nmesema hakuna awezaye kuthubutu kueleza zaidi ya kushangazwa,
1.Hujathibitisha Mungu yupo. Kama unafikiri umethibitisha nipe sehemu na numuu wapi umethibitisha.

2. Hujaondoa contradiction ya problem of evil.

3. Hujaondoa contradictions na inconsistencies lukuki zilizomo ndani ya Biblia.

Kwa sababu huyo Mungu unayesema yupo, hayupo.

Kujaribu kuthibitisha kwamba yupo ni sawa na kujaribu kuthibitisha kwamba kuna "pembe tatu yenye pembe sita" katika jometri ya bapa za Euclid.
 
Unaelewa kwamba hujajibu swali nililokuuliza na kama kuna swali umejibu sijauliza?

Nimekuuliza hivi.

Kwanini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na matetemeko ya ardhi yanayoua na kuzika watoto wachanga wasio na hatia? Kwa nini kaumba hivyo wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezi kutokea?

Hujajibu swali hili.
Kwanza je, unakubali kwamba dunia iliumbwa na Mwenyezi Mungu?
 
Maswali yako yote yanajibika, hasa hilo la kumthibitisha Mungu. Yapo yasio jibika ila hilo lina majibu Mengi sana. Nakushauri jifunze taratibu tabia za Mungu na zimeainishwa wazi kupitia vitabu vitakatifu, acha kupinga uepo wa Mungu na kazi zake .. sisi ni wanadamu tu. Mapepo wanekiri uwepo wa Mungu itakua wew mwanadamu?
Huyu huyu mungu was kusahau hebu niambie hapa kituko cha wana wa srael na mungu wao wa kusahau mpaka akakumbushwa na musa eti akumbuke agano alilowaapia ibrahimu na isaka soma hapa
Screenshot_20180321-231434.jpg
 
Mimisiku zote niko na R.I.P tu mkuu.

Hapa sasa hivi nimetoka kumpiga mtu wangu $400 ambayo hajaitegemea Bongo usawa wa Magufuli. Basi kafuraaaahi.

Na akifurahi mimi na R.I.P sana huku viwanjani.
Mkuu pole na misumbuko ya kila siku.
Mkuu natamani tuonane niongee nawewe nadhani tunaweza jifunza kitu pamoja.
 
Yaani muna umiza kichwa kwa jambo dogo kama hilo la kutumia akili tu halitaki hata kutumia vifungu vya vitabu vitakatifu akili tu inakubali uwepo wa mungu na uweza wake labda uwe mvivu wa kufikiri
 
Hivi Kiranga amewahi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo? Kuna ushahidi aliokuja nao kuthibitisha kwamba Mungu hayupo? Au ni dhana ile ile iliyozoeleka ya kuzunguka mbuyu!
Sasa atathibitishaje kitu ambacho anaamini hakipo!?.Nyinyi mnaoamini kipo ndiyo mnapaswa kuthibitisha uwepo wa Mungu.Mi namwelewa sana Kiranga.

Acheni kuzunguka mbuyu wenyewe.
 
Back
Top Bottom